Tuonyeshe basi hiyo video ya Dunia yetu yenye quality ya hali ya juu...Dunia yetu Ilipigwa picha na kurekodiwa video yenye quality ya hali ya juu kuwahi kutokea.
Yes sijaona Tufe 👉🏼🌍Huoni ?
Quality haikua nzuri sana kutokana na matabaka na hali ya hewa huko, Elon kaboresha yote hayo kafunga camera yenye uwezo wa kukabiliana na hali zote na kuchukua picha pamoja na video zenye quality nzuri..Tuonyeshe basi hiyo video ya Dunia yetu yenye quality ya hali ya juu...
Kumbe NASA picha zao zilikua hazina quality na siku zote husemi hapa.
Sawa tusaidie hiyo video mkuu,...ili tufunge mjadala rasmi.Quality haikua nzuri sana kutokana na matabaka na hali ya hewa huko, Elon kaboresha yote hayo kafunga camera yenye uwezo wa kukabiliana na hali zote na kuchukua picha pamoja na video zenye quality nzuri..
Mpaka utakubali, Endelea kutokuiona.Yes sijaona Tufe [emoji1371][emoji288]
Sawa,.nadhani ukituwekea hiyo video yenye quality ya hali ya juu itakua kitu cha maana sana.Mpaka utakubali, Endelea kutokuiona.
Clip nliyonayo ni ndefu sana, Utanisamehe kwa hilo nakuomba uingie page ya Space X utaiona hiyo clip.Sawa tusaidie hiyo video mkuu,...ili tufunge mjadala rasmi.
Ahsante.
Sawa ngoja nicheki nikiipata nitaiweka hapa Kwa faida ya wengi. 🤝🏼Clip nliyonayo ni ndefu sana, Utanisamehe kwa hilo nakuomba uingie page ya Space X utaiona hiyo clip.
Pamoja sana [emoji1666]Sawa ngoja nicheki nikiipata nitaiweka hapa Kwa faida ya wengi. [emoji1755]
Haya video hizi hapa... Una maoni gani?Pamoja sana [emoji1666]
Tatizo lako unavyoelezea nadharia zako hutumii concepts mpya unaiba hizi hizi za dunia tufe ula unazipotoshaHilo ndiyo tatizo la kukariri sasa,...eti Mass sio uzito.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwamba kadri hizo particles zinavyoongezeka kama unavyosema ndiyo uzito(mass)wa mzigo unaongezeka..... inasikitisha sana kama simple logic kama hiyo inakupa shida basi kazi ipo.
Pamoja na elimu kukufuata kila uchwao..wewe umeamua kutoka mbio kuikimbia.
Video ya pili ndio nlihitaji uangalie...Hiyo clip umeifupisha umetuonyesha sehemu hiyo tu
Kaangalie video yote,
Machakosi au hateeb10 ni nani anatakiwa kujibu hili swali? Naona mmelipita..Presumably according to your hypothesis the Sun must absolutely set and rise right? And if it sets there will be darkness everywhere on earth (meaning all continents will go dark) and vice versa is true for the day light right?
Please enlighten me on this phenomenon called THE MIDNIGHT SUN (sun doesn’t set) based on your hypothesis..
And wait.. Earth is the center of Universe? Are you a scientist?
Hilo swali nimelijibu ila nitakusaidia Kwa urahisi hapa ili usiulize tena maisha yako yote.....
(i) Air resistance ina act against motion of the object.,
(ii) So., ikiwa object imerushwa juu automatically Air resistance itafanya object hiyo irudi chini,.as a result of its resistance.
NB:- Kwa kukusaidia tena,.KINYUME CHA "JUU" NI "CHINI"...so, ikiwa kitu kimerushwa juu na ushaambiwa Air resistance ina act against the motion of that object,.hupaswi tena kufikiria kuhusu left,right or up cause that's not the opposite direction of where the object was heading,.... Am I making myself clear??!
Usipoelewa hapo,.hutokuja uelewe tena.Ahsante.
Akikuelewa mimi ntatuma muamala kwenye lipa namba ya JFHapana you are not making yourself clear shehe.
Unaweza kuelezea kinachofanyika hapa na air resistance inavyofanya kazi kama kweli "you are making yourself clear"View attachment 2940186
Yes nadhani ni vizuri tuishie hapa,. kwasababu kimsingi kujadiliana na mtu aliyekariri nadharia ni kama vile unajadiliana na Marehemu Newtown tu...... Na hiyo inatokana na mtu kutotaka kufikiria nje ya kile alichokariri.Tatizo lako unavyoelezea nadharia zako hutumii concepts mpya unaiba hizi hizi za dunia tufe ula unazipotosha
Kama tu huwezi kutofautisha mass na weight ....siwezi kuendelea huu mjadala na wewe usikute nabishana na mtu anayesaidiwa na Google bila kuwa na uelewa wowote
Akikuelewa mimi ntatuma muamala kwenye lipa namba ya JF
mimi sina muda wa kueleza flat earther kitu chochote mkuu 🤣Wewe inaonekana umeelewa vizuri sana ... elezea basi with regard to air resistance hiyo picha aliyoweka hapo inamaanisha nini?
Ukielezea Kwa ufasaha muamala utakuhusu...