Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Dunia yetu Ilipigwa picha na kurekodiwa video yenye quality ya hali ya juu kuwahi kutokea.
Tuonyeshe basi hiyo video ya Dunia yetu yenye quality ya hali ya juu...

Kumbe NASA picha zao zilikua hazina quality na siku zote husemi hapa.
 
Tuonyeshe basi hiyo video ya Dunia yetu yenye quality ya hali ya juu...

Kumbe NASA picha zao zilikua hazina quality na siku zote husemi hapa.
Quality haikua nzuri sana kutokana na matabaka na hali ya hewa huko, Elon kaboresha yote hayo kafunga camera yenye uwezo wa kukabiliana na hali zote na kuchukua picha pamoja na video zenye quality nzuri..
 
Sawa tusaidie hiyo video mkuu,...ili tufunge mjadala rasmi.

Ahsante.
 
Hilo ndiyo tatizo la kukariri sasa,...eti Mass sio uzito.

Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwamba kadri hizo particles zinavyoongezeka kama unavyosema ndiyo uzito(mass)wa mzigo unaongezeka..... inasikitisha sana kama simple logic kama hiyo inakupa shida basi kazi ipo.

Pamoja na elimu kukufuata kila uchwao..wewe umeamua kutoka mbio kuikimbia.
Tatizo lako unavyoelezea nadharia zako hutumii concepts mpya unaiba hizi hizi za dunia tufe ula unazipotosha
Kama tu huwezi kutofautisha mass na weight ....siwezi kuendelea huu mjadala na wewe usikute nabishana na mtu anayesaidiwa na Google bila kuwa na uelewa wowote
 
Haya video hizi hapa... Una maoni gani?

View attachment 2939434

View attachment 2939435
Kaangalie video yote,

Nna imani kuanzia leo hautodai uthibitisho wa umbo la Dunia maana huo unatosha.

Na sio huo tu bado video/picha zitaendelea kutolewa maana teknolojia ya ndugu Elon camera zilizofungwa zinachukua picha na video zenye quality nzuri na bora sana.

Kwahiyo jiandae kwa mengi, Ujifunze kwa vitendo.
787272939.jpg
76579757.jpg
 
1. Facts are sacred​

"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.

"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
 
Presumably according to your hypothesis the Sun must absolutely set and rise right? And if it sets there will be darkness everywhere on earth (meaning all continents will go dark) and vice versa is true for the day light right?

Please enlighten me on this phenomenon called THE MIDNIGHT SUN (sun doesn’t set) based on your hypothesis..

And wait.. Earth is the center of Universe? Are you a scientist?
Machakosi au hateeb10 ni nani anatakiwa kujibu hili swali? Naona mmelipita..
 
Hilo swali nimelijibu ila nitakusaidia Kwa urahisi hapa ili usiulize tena maisha yako yote.....

(i) Air resistance ina act against motion of the object.,
(ii) So., ikiwa object imerushwa juu automatically Air resistance itafanya object hiyo irudi chini,.as a result of its resistance.

NB:- Kwa kukusaidia tena,.KINYUME CHA "JUU" NI "CHINI"...so, ikiwa kitu kimerushwa juu na ushaambiwa Air resistance ina act against the motion of that object,.hupaswi tena kufikiria kuhusu left,right or up cause that's not the opposite direction of where the object was heading,.... Am I making myself clear??!

Usipoelewa hapo,.hutokuja uelewe tena.Ahsante.

Hapana you are not making yourself clear shehe.
Unaweza kuelezea kinachofanyika hapa na air resistance inavyofanya kazi kama kweli "you are making yourself clear"
28677c9d-770b-4afa-a2bd-45b0a0dfd98d.jpg
 
Tatizo lako unavyoelezea nadharia zako hutumii concepts mpya unaiba hizi hizi za dunia tufe ula unazipotosha
Kama tu huwezi kutofautisha mass na weight ....siwezi kuendelea huu mjadala na wewe usikute nabishana na mtu anayesaidiwa na Google bila kuwa na uelewa wowote
Yes nadhani ni vizuri tuishie hapa,. kwasababu kimsingi kujadiliana na mtu aliyekariri nadharia ni kama vile unajadiliana na Marehemu Newtown tu...... Na hiyo inatokana na mtu kutotaka kufikiria nje ya kile alichokariri.

Eti nasaidiwa na Google,...wakati kuhusu uzito hata layman huwezi kumdanganya chochote Kwasababu ni vitu simple na logic ya kawaida kabisa haihitaji Google wala vitabu vya Chand kuelewa.
 
Akikuelewa mimi ntatuma muamala kwenye lipa namba ya JF

Wewe inaonekana umeelewa vizuri sana ... elezea basi with regard to air resistance hiyo picha aliyoweka hapo inamaanisha nini?

Ukielezea Kwa ufasaha muamala utakuhusu...
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wewe inaonekana umeelewa vizuri sana ... elezea basi with regard to air resistance hiyo picha aliyoweka hapo inamaanisha nini?

Ukielezea Kwa ufasaha muamala utakuhusu...
mimi sina muda wa kueleza flat earther kitu chochote mkuu 🤣
 
Back
Top Bottom