Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nmeshampa uthibitisho, Elon kawarahisishia watu kama hawa.
Naam kabisa mkuu, na wakisema ni edit nawachallenge flat earther watengeneze rocket ipae ituoneshe view yao ("HAPA NDO HAWATAKI KUSIKIA KITU KAMA HIKI SASA 🤣 🤣 ")
 
Hapana you are not making yourself clear shehe.
Unaweza kuelezea kinachofanyika hapa na air resistance inavyofanya kazi kama kweli "you are making yourself clear"View attachment 2940186

Lengo lako hasa ni nini? kwamba hujui kama hata Parachute kufloat kwenye hewa air resistance inahusika?

Maana isije kuwa unanipa kazi ya kuelezea,.huku ukiwa ushajipanga kupinga...
_____________________________
Soma kisha elewa,.. nadhani hutouliza tena hili swali:-
Air resistance,.....plays a crucial role in how a parachute works. When a parachute is deployed, it opens up and increases the surface area facing the direction of motion. As the parachute moves through the air, the air molecules collide with the surface of the parachute, creating a force opposite to the direction of motion.The magnitude of air resistance depends on several factors, including the speed of the parachute, the size and shape of the parachute, and the density of the air.
As the parachute falls, the air resistance gradually slows it down, eventually reaching a point where the parachute reaches its terminal velocity, the maximum speed at which it can fall.

By increasing the surface area of the parachute, the air resistance is increased, which helps to slow down the descent of the parachute and the person or object attached to it. This is how parachutes are able to safely slow down and control the descent of objects falling from high altitudes.
 
Naam kabisa mkuu, na wakisema ni edit nawachallenge flat earther watengeneze rocket ipae ituoneshe view yao ("HAPA NDO HAWATAKI KUSIKIA KITU KAMA HIKI SASA [emoji1787] [emoji1787] ")
Wakisema ni edit sitakua na haja ya kuweka mjadala na watu hawa.

Japo hawashindwi kusema hivyo [emoji16], Na hili tulio lilikua live.
 
Reactions: Lax
Wakisema ni edit sitakua na haja ya kuweka mjadala na watu hawa.

Japo hawashindwi kusema hivyo [emoji16], Na hili tulio lilikua live.
mimi nataka waseme hivo, niwape hilo jukumu la kwenda kurecord ukweli wao tuone "wajanja hawa hawatopinga pale"
 
mimi nataka waseme hivo, niwape hilo jukumu la kwenda kurecord ukweli wao tuone "wajanja hawa hawatopinga pale"
Haha sometimes nafikiria kwamba, Au wao kusema Dunia ni flat wanatania ili kuleta challenges tu! [emoji16]

Ngoja tuwasubiri, Na mengi yanakuja ya kuwastaajabisha.
 
Reactions: Lax
Machakosi au hateeb10 ni nani anatakiwa kujibu hili swali? Naona mmelipita..
Mkuu,.hilo swali lishajibiwa mara nyingi humu..... Kimsingi it's not accurate to say that the sun rise and set since the sun doesn't actually set nor rise.

The concept of the midnight sun disproves the narrative that the earth is constantly spinning. If the earth were constantly spinning, it would be impossible for the midnight sun scenario to occur,..SO THE MIDNIGHT SUN SCENARIO, SUPPORTS OUR SENSES THAT EARTH IS STATIONARY PLANE......
 
Kwanini niifupishe sasa? Kaangalie kwenye page yap utaona sijapunguza hata sekunde 1.

Yaaani kwamba kuna sehemu ndiyo inaonyesha Tufe ?
 
Dunia ingekuwa hivi, basi Russia na US ni majirani kabisa, na kwa mivutano yao, lazima mpaka sasa wangekuwa wameshachokonoana.
 
Kwanini niifupishe sasa? Kaangalie kwenye page yap utaona sijapunguza hata sekunde 1.

Yaaani kwamba kuna sehemu ndiyo inaonyesha Tufe ?
Mkuu kaangalie full video ya tukio lote,

Unakwepa nini ?

Nmekuonyesha na screenshot kwenye kipande cha hiyo video inayoonyesha tufe hujaona ?

Tukio lote lina zaidi ya dk 10.

Wewe kwasasa hauna ujanja, Na hoja ya Dunia ni tambarare imeshakufa nadhani sasa umeshaamini kuwa Dunia ni tufe.
 
Dunia ingekuwa hivi, basi Russia na US ni majirani kabisa, na kwa mivutano yao, lazima mpaka sasa wangekuwa wameshachokonoana.
Sahihi mkuu....tatizo watu hawataki kufikiria
 
Video nimeiona yaani kwanini unahisi nakwepa.., Hakuna chochote cha kukwepa.... kimsingi hizo video hazithibitisha utufe wa Dunia....

Dunia sio tufe linalozunguka 👉🏼🌍... Dunia ni Stationary & Plane.
 
Video nimeiona yaani kwanini unahisi nakwepa.., Hakuna chochote cha kukwepa.... kimsingi hizo video hazithibitisha utufe wa Dunia....

Dunia sio tufe linalozunguka [emoji1371][emoji288]... Dunia ni Stationary & Plane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu ahsante kwa kushiriki.
 
“The sun doesn’t actually set and rise” instead?
 
The concept of the midnight sun disproves the narrative that the earth is constantly spinning. If the earth were constantly spinning, it would be impossible for the midnight sun scenario to occur,..SO THE MIDNIGHT SUN SCENARIO, SUPPORTS OUR SENSES THAT EARTH IS STATIONARY PLANE......

what is a midnight sun? Umeshawahi kushuhudia?

Kama dunia ni flat/plane kukiwa giza jua linakuwa wapi? Je inawezekama sehema moja ya dunia jua halizami (more accurately the rotation doesn’t hide the sun) na sehemu nyingine kuna giza kwa wakati huohuo kama dunia ni flat/plane?

Kwasababu logically jua lisipoonekana kila sehemu hakuna mwanga na jua likionekama kila sehemu kuna mwanga (according to your flat earth ideology)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…