Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Nmeshampa uthibitisho, Elon kawarahisishia watu kama hawa.mimi sina muda wa kueleza flat earther kitu chochote mkuu [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeshampa uthibitisho, Elon kawarahisishia watu kama hawa.mimi sina muda wa kueleza flat earther kitu chochote mkuu [emoji1787]
Naam kabisa mkuu, na wakisema ni edit nawachallenge flat earther watengeneze rocket ipae ituoneshe view yao ("HAPA NDO HAWATAKI KUSIKIA KITU KAMA HIKI SASA 🤣 🤣 ")Nmeshampa uthibitisho, Elon kawarahisishia watu kama hawa.
Hapana you are not making yourself clear shehe.
Unaweza kuelezea kinachofanyika hapa na air resistance inavyofanya kazi kama kweli "you are making yourself clear"View attachment 2940186
Wakisema ni edit sitakua na haja ya kuweka mjadala na watu hawa.Naam kabisa mkuu, na wakisema ni edit nawachallenge flat earther watengeneze rocket ipae ituoneshe view yao ("HAPA NDO HAWATAKI KUSIKIA KITU KAMA HIKI SASA [emoji1787] [emoji1787] ")
mimi nataka waseme hivo, niwape hilo jukumu la kwenda kurecord ukweli wao tuone "wajanja hawa hawatopinga pale"Wakisema ni edit sitakua na haja ya kuweka mjadala na watu hawa.
Japo hawashindwi kusema hivyo [emoji16], Na hili tulio lilikua live.
Haha sometimes nafikiria kwamba, Au wao kusema Dunia ni flat wanatania ili kuleta challenges tu! [emoji16]mimi nataka waseme hivo, niwape hilo jukumu la kwenda kurecord ukweli wao tuone "wajanja hawa hawatopinga pale"
Mkuu,.hilo swali lishajibiwa mara nyingi humu..... Kimsingi it's not accurate to say that the sun rise and set since the sun doesn't actually set nor rise.
Kwanini niifupishe sasa? Kaangalie kwenye page yap utaona sijapunguza hata sekunde 1.Video ya pili ndio nlihitaji uangalie...Hiyo clip umeifupisha umetuonyesha sehemu hiyo tu
Ina maana ile sehemu inayoonyesha tufe hujaiona ndio uilete ? Au hujaangalia full video ? [emoji16][emoji16]
Na ukumbuke view imechukuliwa more than 100 miles up
Dunia ingekuwa hivi, basi Russia na US ni majirani kabisa, na kwa mivutano yao, lazima mpaka sasa wangekuwa wameshachokonoana.Lakini pia unafahamu kwamba,.. Dunia ambayo ipo Egg -shaped/elipsoid kama ambavyo huwa inachorwa haifanani kabisa na Dunia Tufe?
Yaani Tufe na elipsoid ni tofauti kabisa,.. atleast elipsoid inaonekana as if it's flat kama tunavyo observe kuliko Tufe la namna hii👇🏼.......View attachment 2926458
Mkuu kaangalie full video ya tukio lote,Kwanini niifupishe sasa? Kaangalie kwenye page yap utaona sijapunguza hata sekunde 1.
Yaaani kwamba kuna sehemu ndiyo inaonyesha Tufe ?
Sahihi mkuu....tatizo watu hawataki kufikiriaDunia ingekuwa hivi, basi Russia na US ni majirani kabisa, na kwa mivutano yao, lazima mpaka sasa wangekuwa wameshachokonoana.
Video nimeiona yaani kwanini unahisi nakwepa.., Hakuna chochote cha kukwepa.... kimsingi hizo video hazithibitisha utufe wa Dunia....Mkuu kaangalie full video ya tukio lote,
Unakwepa nini ?
Nmekuonyesha na screenshot kwenye kipande cha hiyo video inayoonyesha tufe hujaona ?
Tukio lote lina zaidi ya dk 10.
Wewe kwasasa hauna ujanja, Na hoja ya Dunia ni tambarare imeshakufa nadhani sasa umeshaamini kuwa Dunia ni tufe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Video nimeiona yaani kwanini unahisi nakwepa.., Hakuna chochote cha kukwepa.... kimsingi hizo video hazithibitisha utufe wa Dunia....
Dunia sio tufe linalozunguka [emoji1371][emoji288]... Dunia ni Stationary & Plane.
Mkuu,.hilo swali lishajibiwa mara nyingi humu..... Kimsingi it's not accurate to say that the sun rise and set since the sun doesn't actually set nor rise.
The concept of the midnight sun disproves the narrative that the earth is constantly spinning. If the earth were constantly spinning, it would be impossible for the midnight sun scenario to occur,..SO THE MIDNIGHT SUN SCENARIO, SUPPORTS OUR SENSES THAT EARTH IS STATIONARY PLANE......
Ahsante pia 🤝🏼[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ahsante kwa kushiriki.
magajizutoDunia ingekuwa hivi, basi Russia na US ni majirani kabisa, na kwa mivutano yao, lazima mpaka sasa wangekuwa wameshachokonoana.
Watu wa Flat earth mpo stone age bado,Ahsante pia [emoji1755]