Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Labda nkuulize swali,

Kwenye hiyo clip ya Dunia yetu ambayo imechukuliwa siku sio nyingi....Umeona shape gani ya Dunia ?
 
Wenzangu kina nani?
Watu wa Dunia Tufe
Yes kimsingi tunapuuziana, binafsi natumia spare time tu...maana kujadiliana na mtu anaesema maji yana shape kisha hajui yana shape gani.. hupaswi kutumia nguvu na muda wako mwingi kwa Mtu wa aina hiyo...

So,. watu wa betting huwa wanasema it's both teams to score yaani GG!

NB:- You pour water into a cup it becomes a cup, you put it into a bottle it becomes a bottle, you put it into a teapot it becomes a teapot,.the water can flow or it can crash,...be formless, shapeless like water...BE WATER MY FRIEND__Bruce Lee......hayo maneno yana falsafa kubwa ndani yake kwamba mtu unapaswa kuwa flexible, formless & shapeless kama yalivyo Maji...ukishajua na kua hivyo basi utaweza kuishi maisha ya furaha kwenye hali karibia zote kwenye maisha ya Dunia ambayo always yapo challenging🀝🏼.





Your browser is not able to display this video.
 
Hii ngeli ya copy &paste kwa Google πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwamba ushawahi kuleta ushahidi wa Maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka?

Hujawahi mtaalamu,....ukiuleta sasa hivi nitaamini kweli Dunia ni Tufe linalozunguka.
Umeng'ang'ania hoja ya maji kila post, Ila ukiulizwa maswali unazunguka mbuyu tu hudadavui chochote......
Nilishawahi kukuuliza kupwa na kujaa kwa majinukaja na ngonjera za mwinuko.
Nikakuuliza huo mwinuko unahamahama? Maana yanarudi tena ukala Kona mpaka leo
 
Acha uongo bhana,... uliuliza kuhusu maji ya daraja la surrender...au maji yana kupwa na kujaa kwenye daraja la surrender?

Ukiwa mzushi jitahidi uwe na kumbukumbu.
 
Acha uongo bhana,... uliuliza kuhusu maji ya daraja la surrender...au maji yana kupwa na kujaa kwenye daraja la surrender?

Ukiwa mzushi jitahidi uwe na kumbukumbu.
Haya Basi tuelezee scenario ya kupwa na kujaa kwa uflati EthanπŸ˜€
 
Umeelewa kweli kilichoandikwa hapa ama umegoogle tu hata kusoma umeshindwa!?
 
Umeelewa kweli kilichoandikwa hapa ama umegoogle tu hata kusoma umeshindwa!?
Then,.una uhakika nime Google?

Uzuri wa Google uki copy hayo maneno kama yalivyo kisha nenda uka paste,...itakuletea mpaka nukta kama ni kweli nime copy....

Fanya hivyo basi Ku prove kama nime Google....la sivyo utakua mzushaji tu.
 
Na jua kuchoma mvua ikakauka? Hujanijibu hilo. Kwanini jua halichomi mvua ikakauka?
 
Sawa ahsante kwa kushiriki....
Haya tarehe 8 mwezi wa 4 itakua ni kupatwa kwa jua


Vipi wataalamu wa Flat Earth wana mchango gani kwenye kufahamu haya ?






Na ukumbuke ulisema kwa nadharia yenu ya jua kuzunguka Dunia hakuna anaejua hata namna linavyofanya mzunguko wake [emoji16], Kuwa hata kupatwa kwa mwezi au Jua huwa vinakutana tu huko majuu.



Au mnasubiri hili tukio la tarehe 8 kama miujiza ?
 

Simu yako inakusaidia nini? Shika simu yako nenda upande wa app ya Saa. Utaona miji mbalimbali katika dunia hii na mda wake.
Na wewe ni walewale wa kuamini kila unachoambiwa na mzungu, hivi hizo APP na hizi saa zimebuniwa na kutengenezwa na kina nani? Si ndo hawahawa ELITES πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ko kama walikuambia ramani ya dunia ni hii na gugo wakaiweka, wanashindwaje kukudanganya kwamba nchi fulani saa hizi ni usiku au mchana? Labda unipe namna nyingine!
 
Mbona wewe ni kilaza sana, Unatokea wapi mkuu ??


Hauna ndugu wanaoishi ughaibuni uwapigie uwaulize ?


Yani hata hili unataka ulete ubishani ?? Hapa hata flat Earth wenzako watakushangaa
 
Duh! Kwepa aibu ndogo ndogo kama hizi basi
Nipe PROOF tu bila kutumia APPLICATION za wazungu maake ndiyo haohao waliotuambia wamefika mwezini wakaweka bendera ikawa inapulizwa na upepo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ndiyo haohao wakatuonesha picha ya dunia kutoka mwezini na hakuna nyota iliyoonekana hata moja, ko nikisema unipe PROOF usichukulie kwamba ni kitu kidogo kwasababu tumewahi kudanganywa uongo mkubwa dunia nzima na kuna baadhi ya watu mpaka leo wanaamoni mwaka 1969 binadamu alikanyaga mwezini, ko Marekani siku hizi ni mwezini, sio?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ko nikikuambia unipe PROOF ya kwamba nchi fulani saizi ni usiku au mchana usichukulie ni kitu kidogo, unaweza kutumia APPLICATION za wazungu hawahawa na kumbe zilitengenezwa ili kuendelea kutulaza kwenye usingizi wa ujinga na imani.
 
Mbona wewe ni kilaza sana, Unatokea wapi mkuu ??


Hauna ndugu wanaoishi ughaibuni uwapigie uwaulize ?


Yani hata hili unataka ulete ubishani ?? Hapa hata flat Earth wenzako watakushangaa
Mi natokea Mbeya mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa kama dunia ni FLAT na juu imemulikwa na jua kwa wakati mmoja, jua limeangaza kote, utaniambiaje nchi fulani kuwe usiku halafu huku kwetu mchana au kinyume chake? Wa FLAT EARTH wenzangu hawawezi kunishangaa hata kidogo.
 
hateeb10
Hilo swali linakuhusu wewe ,

Flat mwenzako anauliza kama Dunia ni flat na juu ndio lilipo jua ina maana limeangaza kote utamuambiaje nchi fulani ni usiku na nchi fulani ni mchana

Mjibu tafadhali
 
Alafu unaaibisha watu wa Mbeya, Mbona huko watu wana akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…