Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Naomba unisaidie niondokane na ujinga sasa.... kwenye tukio la starship sijaona hiki ninachokuomba.

Mbona ni kitu kidogo sana?(Just maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka [emoji1371][emoji288])....fanya hivyo usiwe mchoyo wa maarifa.

NB: Naamini hata wewe unatamani siku moja uone jinsi maji yanavyo behave kwenye dunia Tufe linalozunguka....nipo sahihi?
Labda nkuulize swali,

Kwenye hiyo clip ya Dunia yetu ambayo imechukuliwa siku sio nyingi....Umeona shape gani ya Dunia ?
 
Wenzangu kina nani?
Watu wa Dunia Tufe
Wenzangu kina nani?

Huwa Nakupuza boss, unashindwa kuchunguza hata maswali ninayokuuliza ukagundua hilo? wewe si mtu wa kuzungumza nae vitu serious kwa nia ya kuelimishana sababu huna hiyo nia. Unafaa kupoteza muda mtu ukiwa unapumzika au huna la kifanya. Muda sasa nimekutumia kwa namna hiyo.

Mfano hapa nimemalizana na ripoti ndo nataka nikuulize hivi jua huko hewani kwenye flat earth limeshikiliwa na nini? Kwanini halichomi maji ya mvua yakakauka kabla hayajashuka chini?
Yes kimsingi tunapuuziana, binafsi natumia spare time tu...maana kujadiliana na mtu anaesema maji yana shape kisha hajui yana shape gani.. hupaswi kutumia nguvu na muda wako mwingi kwa Mtu wa aina hiyo...

So,. watu wa betting huwa wanasema it's both teams to score yaani GG!

NB:- You pour water into a cup it becomes a cup, you put it into a bottle it becomes a bottle, you put it into a teapot it becomes a teapot,.the water can flow or it can crash,...be formless, shapeless like water...BE WATER MY FRIEND__Bruce Lee......hayo maneno yana falsafa kubwa ndani yake kwamba mtu unapaswa kuwa flexible, formless & shapeless kama yalivyo Maji...ukishajua na kua hivyo basi utaweza kuishi maisha ya furaha kwenye hali karibia zote kwenye maisha ya Dunia ambayo always yapo challenging🤝🏼.

Lengo lako hasa ni nini? kwamba hujui kama hata Parachute kufloat kwenye hewa air resistance inahusika?

Maana isije kuwa unanipa kazi ya kuelezea,.huku ukiwa ushajipanga kupinga...
_____________________________
Soma kisha elewa,.. nadhani hutouliza tena hili swali:-
Air resistance,.....plays a crucial role in how a parachute works. When a parachute is deployed, it opens up and increases the surface area facing the direction of motion. As the parachute moves through the air, the air molecules collide with the surface of the parachute, creating a force opposite to the direction of motion.The magnitude of air resistance depends on several factors, including the speed of the parachute, the size and shape of the parachute, and the density of the air.
As the parachute falls, the air resistance gradually slows it down, eventually reaching a point where the parachute reaches its terminal velocity, the maximum speed at which it can fall.

By increasing the surface area of the parachute, the air resistance is increased, which helps to slow down the descent of the parachute and the person or object attached to it. This is how parachutes are able to safely slow down and control the descent of objects falling from high altitudes.
Hii ngeli ya copy &paste kwa Google 😄😄
 
Kwamba ushawahi kuleta ushahidi wa Maji yanavyo work kwenye dunia Tufe linalozunguka?

Hujawahi mtaalamu,....ukiuleta sasa hivi nitaamini kweli Dunia ni Tufe linalozunguka.
Umeng'ang'ania hoja ya maji kila post, Ila ukiulizwa maswali unazunguka mbuyu tu hudadavui chochote......
Nilishawahi kukuuliza kupwa na kujaa kwa majinukaja na ngonjera za mwinuko.
Nikakuuliza huo mwinuko unahamahama? Maana yanarudi tena ukala Kona mpaka leo
 
Acha uongo bhana,... uliuliza kuhusu maji ya daraja la surrender...au maji yana kupwa na kujaa kwenye daraja la surrender?

Ukiwa mzushi jitahidi uwe na kumbukumbu.
 
Acha uongo bhana,... uliuliza kuhusu maji ya daraja la surrender...au maji yana kupwa na kujaa kwenye daraja la surrender?

Ukiwa mzushi jitahidi uwe na kumbukumbu.
Haya Basi tuelezee scenario ya kupwa na kujaa kwa uflati Ethan😀
 
Lengo lako hasa ni nini? kwamba hujui kama hata Parachute kufloat kwenye hewa air resistance inahusika?

Maana isije kuwa unanipa kazi ya kuelezea,.huku ukiwa ushajipanga kupinga...
_____________________________
Soma kisha elewa,.. nadhani hutouliza tena hili swali:-
Air resistance,.....plays a crucial role in how a parachute works. When a parachute is deployed, it opens up and increases the surface area facing the direction of motion. As the parachute moves through the air, the air molecules collide with the surface of the parachute, creating a force opposite to the direction of motion.The magnitude of air resistance depends on several factors, including the speed of the parachute, the size and shape of the parachute, and the density of the air.
As the parachute falls, the air resistance gradually slows it down, eventually reaching a point where the parachute reaches its terminal velocity, the maximum speed at which it can fall.

By increasing the surface area of the parachute, the air resistance is increased, which helps to slow down the descent of the parachute and the person or object attached to it. This is how parachutes are able to safely slow down and control the descent of objects falling from high altitudes.
Umeelewa kweli kilichoandikwa hapa ama umegoogle tu hata kusoma umeshindwa!?
 
Umeelewa kweli kilichoandikwa hapa ama umegoogle tu hata kusoma umeshindwa!?
Then,.una uhakika nime Google?

Uzuri wa Google uki copy hayo maneno kama yalivyo kisha nenda uka paste,...itakuletea mpaka nukta kama ni kweli nime copy....

Fanya hivyo basi Ku prove kama nime Google....la sivyo utakua mzushaji tu.
 
Watu wa Dunia Tufe

Yes kimsingi tunapuuziana, binafsi natumia spare time tu...maana kujadiliana na mtu anaesema maji yana shape kisha hajui yana shape gani.. hupaswi kutumia nguvu na muda wako mwingi kwa Mtu wa aina hiyo...

So,. watu wa betting huwa wanasema it's both teams to score yaani GG!

NB:- You pour water into a cup it becomes a cup, you put it into a bottle it becomes a bottle, you put it into a teapot it becomes a teapot,.the water can flow or it can crash,...be formless, shapeless like water...BE WATER MY FRIEND__Bruce Lee......hayo maneno yana falsafa kubwa ndani yake kwamba mtu unapaswa kuwa flexible, formless & shapeless kama yalivyo Maji...ukishajua na kua hivyo basi utaweza kuishi maisha ya furaha kwenye hali karibia zote kwenye maisha ya Dunia ambayo always yapo challenging🤝🏼.

View attachment 2940568
Na jua kuchoma mvua ikakauka? Hujanijibu hilo. Kwanini jua halichomi mvua ikakauka?
 
Sawa ahsante kwa kushiriki....
Haya tarehe 8 mwezi wa 4 itakua ni kupatwa kwa jua

Vipi wataalamu wa Flat Earth wana mchango gani kwenye kufahamu haya ?

Na ukumbuke ulisema kwa nadharia yenu ya jua kuzunguka Dunia hakuna anaejua hata namna linavyofanya mzunguko wake [emoji16], Kuwa hata kupatwa kwa mwezi au Jua huwa vinakutana tu huko majuu.

Au mnasubiri hili tukio la tarehe 8 kama miujiza ?
 
Ata application tuu ya google Earth inawaumbua...... mtu anakurupuka anakwambia dunia ni tambarare
emoji23.png
emoji23.png
......kuna washkajii nlisoma nao walikua wamebase sana kwenye imani zao walibisha hata satelites hazipoo..... sasa mtu kama huyuu hamna namna ya kumsaidia zaidi ya kumsikitikia...... etii science imeletwa na wazungu alafu unashabikia dini.....kama mmeshindwa kuielewa science someni hata history basii muielewe kua hata hizo dini zililetwa pia

Simu yako inakusaidia nini? Shika simu yako nenda upande wa app ya Saa. Utaona miji mbalimbali katika dunia hii na mda wake.
Na wewe ni walewale wa kuamini kila unachoambiwa na mzungu, hivi hizo APP na hizi saa zimebuniwa na kutengenezwa na kina nani? Si ndo hawahawa ELITES 😂😂😂 Ko kama walikuambia ramani ya dunia ni hii na gugo wakaiweka, wanashindwaje kukudanganya kwamba nchi fulani saa hizi ni usiku au mchana? Labda unipe namna nyingine!
 
Na wewe ni walewale wa kuamini kila unachoambiwa na mzungu, hivi hizo APP na hizi saa zimebuniwa na kutengenezwa na kina nani? Si ndo hawahawa ELITES [emoji23][emoji23][emoji23] Ko kama walikuambia ramani ya dunia ni hii na gugo wakaiweka, wanashindwaje kukudanganya kwamba nchi fulani saa ni usiku ai mchana? Labda unipe namna nyingine!
Mbona wewe ni kilaza sana, Unatokea wapi mkuu ??

Hauna ndugu wanaoishi ughaibuni uwapigie uwaulize ?

Yani hata hili unataka ulete ubishani ?? Hapa hata flat Earth wenzako watakushangaa
 
Duh! Kwepa aibu ndogo ndogo kama hizi basi
Nipe PROOF tu bila kutumia APPLICATION za wazungu maake ndiyo haohao waliotuambia wamefika mwezini wakaweka bendera ikawa inapulizwa na upepo 😂😂😂😂 Ndiyo haohao wakatuonesha picha ya dunia kutoka mwezini na hakuna nyota iliyoonekana hata moja, ko nikisema unipe PROOF usichukulie kwamba ni kitu kidogo kwasababu tumewahi kudanganywa uongo mkubwa dunia nzima na kuna baadhi ya watu mpaka leo wanaamoni mwaka 1969 binadamu alikanyaga mwezini, ko Marekani siku hizi ni mwezini, sio?😂😂😂😂 Ko nikikuambia unipe PROOF ya kwamba nchi fulani saizi ni usiku au mchana usichukulie ni kitu kidogo, unaweza kutumia APPLICATION za wazungu hawahawa na kumbe zilitengenezwa ili kuendelea kutulaza kwenye usingizi wa ujinga na imani.
 
Mbona wewe ni kilaza sana, Unatokea wapi mkuu ??

Hauna ndugu wanaoishi ughaibuni uwapigie uwaulize ?

Yani hata hili unataka ulete ubishani ?? Hapa hata flat Earth wenzako watakushangaa
Mi natokea Mbeya mkuu 😂😂😂 Sasa kama dunia ni FLAT na juu imemulikwa na jua kwa wakati mmoja, jua limeangaza kote, utaniambiaje nchi fulani kuwe usiku halafu huku kwetu mchana au kinyume chake? Wa FLAT EARTH wenzangu hawawezi kunishangaa hata kidogo.
 
Mi natokea Mbeya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kama dunia ni FLAT na juu imemulikwa na jua kwa wakati mmoja, jua limeangaza kote, utaniambiaje nchi fulani kuwe usiku halafu huku kwetu mchana au kinyume chake? Wa FLAT EARTH wenzangu hawawezi kunishangaa hata kidogo.
hateeb10
Hilo swali linakuhusu wewe ,

Flat mwenzako anauliza kama Dunia ni flat na juu ndio lilipo jua ina maana limeangaza kote utamuambiaje nchi fulani ni usiku na nchi fulani ni mchana

Mjibu tafadhali
 
Mi natokea Mbeya mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kama dunia ni FLAT na juu imemulikwa na jua kwa wakati mmoja, jua limeangaza kote, utaniambiaje nchi fulani kuwe usiku halafu huku kwetu mchana au kinyume chake? Wa FLAT EARTH wenzangu hawawezi kunishangaa hata kidogo.
Alafu unaaibisha watu wa Mbeya, Mbona huko watu wana akili sana.
 
Back
Top Bottom