hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hahh,..upo sahihi kaka.Watu hawataki kuelewa na Wana chagua evidence japo wao hawaleti evidence , nmeachana na huu mjadala kwasababu wengi wanabisha Kwa fact ambazo zimeandikwa wanashindwa ku reason
Ukitaka uwabane waombe uthibitisho Tu,.. wanaingia mitini.