Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Watu hawataki kuelewa na Wana chagua evidence japo wao hawaleti evidence , nmeachana na huu mjadala kwasababu wengi wanabisha Kwa fact ambazo zimeandikwa wanashindwa ku reason
Hahh,..upo sahihi kaka.

Ukitaka uwabane waombe uthibitisho Tu,.. wanaingia mitini.
 
Okay ngoja nikuulize swali,...Jua lipo stationary au Lina move?

Na kama Lina move NI from:-
East to west?
West to East?

Ukijibu hapo nitamaliza mjadala.
Leta kwanza uthibitisho Jua ikiwa inazunguka Dunia.
 
Watu hawataki kuelewa na Wana chagua evidence japo wao hawaleti evidence , nmeachana na huu mjadala kwasababu wengi wanabisha Kwa fact ambazo zimeandikwa wanashindwa ku reason
Kuna maswali nlikuuliza haujajibu umekimbia, umerudi kuleta visingizio
 
Unaona unaleta hadithi sasa,....Kwa kuwa uelewa wako upo Juu lete uthibitisho,... tatizo nini?

Mbona request ndogo Sana hiyo?

Kama huna uthibitisho umeamua kuamini Tu,...sema kaka
Quote hadithi nliyoiandika hapo...
 
Quote hadithi nliyoiandika hapo...
Ninaposema hadithi namaanisha unaleta maneno wakati nimekuomba uthibitisho,.....mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kama Dunia inazunguka hii ni ishara tosha kwamba umeamini tu bila uthibitisho wowote.....nipo sahihi?
 
Wewe video ya Dunia kuzunguka nilikuomba pia ulileta?

Kama huwezi kuleta sema Tu,....
Sasa Mimi ntaleta vipi video Dunia inazunguka wakati nipo duniani??

Wewe unasema Jua ni local na linazunguka na lipo karibu lete video tuone mjongeo wake cause ni simple ku observe mjongeo wa kitu kilichokaribu
 
Watu hawataki kuelewa na Wana chagua evidence japo wao hawaleti evidence , nmeachana na huu mjadala kwasababu wengi wanabisha Kwa fact ambazo zimeandikwa wanashindwa ku reason
Nimekujibu hukuelewa??

Alafu ww kama ww, umesema umeona Kuna mapungufu au dukuduku kuhusu Dunia kuwa Duara, hiyo haikufanyi uamini kuwa Dunia ni flat, Ili uamini Dunia ni flat unapaswa uwe na uthibitisho.

Note: hata Hawa wanaoleta uthibitisho kuwa Dunia ni flat ndo Kuna mapungufu mengi zaidi ambayo hawawezi kuelezea.
 
Sasa Mimi ntaleta vipi video Dunia inazunguka wakati nipo duniani??

Wewe unasema Jua ni local na linazunguka na lipo karibu lete video tuone mjongeo wake cause ni simple ku observe mjongeo wa kitu kilichokaribu
Sio mpaka video ukachukue wewe,... unaweza ukatumia secondary sources pia.

Kwani wewe si tulishakubaliana humu kwamba Jua lina move?? Au ushasahau?

Inashangaza kuona unataka video wakati ni wewe uliyekiri humu kwamba ulikosea kusema Jua lipo stationary.
 
Hivo hvo ,kwenye Dunia kua duara Kuna mapungufu tena mengi , atleast hoja ya flat earth angalau inaeleweka kirahisi
 
Angalieni hio illustration, Kwa Alie omba video nahisi hio ni Bora zaid , naomba baada ya kuangalia hio maswali yaanzie hapo Ili tuelewane
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati tunaendelea na hizi hoja jaman , Mimi ni jobless ... Mwenye gape la kunishika mkono anishike Kwa kazi yeyote naweza adapt
 
Ninaposema hadithi namaanisha unaleta maneno wakati nimekuomba uthibitisho,.....mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kama Dunia inazunguka hii ni ishara tosha kwamba umeamini tu bila uthibitisho wowote.....nipo sahihi?
Naona wewe ndio unalazimisha sina uthibitisho,

Tangu mwanzo tunakwambia uthibitisho ni Usiku na mchana, Ship visibility ila kwasababu akili uliyonayo unashindwa kuitumia huwezi kuona kama ni uthibitisho.
 
Jua lipo stationary au Lina move?

Na kama Lina move NI from:-
East to west?
West to East?

[emoji419]
Elimu ya kulihusu Jua kwako ni kubwa sana utachanganyikiwa,

Kuna majibu huwezi kupewa hadi tumalize huku kwanza,

Ukishaelewa kuwa Dunia ni tufe
Ukishaelewa kuwa Dunia inazunguka Jua, Hapo ndio tutakuja tuwaelimishe kuhusu Jua na muundo wake pamoja na mijongeo yake.
 
Ndiyo sijui lengo Lao hasa ni nini.....

Maana huwezi Tu kuwaambia watu Dunia inazunguka kisha hakuna namna watu hao wanaweza kuhisi,kuona wala kusikia na hujawapa uthibitisho wowote kwa vipimo au hata video tu,.... Inashangaza!
Ok

Uthibitisho upo na umepewa ila wewe HUUTAKI

Hakuna anayeweza kukushikia fimbo AKULAZIMISHE

Ila wewe sijaona UTHIBITISHO wako hata mmoja...... HATA WA MASHAKA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…