Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Unadhani, Tunawezaje kujua siku maalumu matukio kama haya yanapotokea ? jibu ( Kanuni zinazotumika ni kutokana na Dunia kuwa Tufe )Kama moon Ina move why not isitokee
Kwanza naomba tubadili topic kidogo ,tukiachana na ishu za flat na tufeUnadhani, Tunawezaje kujua siku maalumu matukio kama haya yanapotokea ? jibu ( Kanuni zinazotumika ni kutokana na Dunia kuwa Tufe )
Nyinyi Flat Earther huwa mnasubiri watu ambao mnapingana nao wawape taarifa ya siku matukio kama haya yatakapotokea
Usikwepe,, Kwanini tuachane na kitu muhimu ambacho nataka kafahamu ?Kwanza naomba tubadili topic kidogo ,tukiachana na ishu za flat na tufe
Je, tunakubaliana mwez una move , kwanini unahisi jua halina movement
Na nikujibu maswali yako,Kwanza naomba tubadili topic kidogo ,tukiachana na ishu za flat na tufe
Je, tunakubaliana mwez una move , kwanini unahisi jua halina movement
Sina evidence kama wewe unavosema hizo ishu tulizosoma kama ship's visibility, ila najaribu kukuonesha weakness ya theory zakoNa nikujibu maswali yako,
Mwezi unazunguka Dunia
Kuhusu Jua, Umeuliza kwanini "nahisi Jua halina movement",
Kuna sehemu nmewahi kuandika kitu kama hicho ?
Point ni Jua haizunguki Dunia, Jua ni kubwa mno.
Nimepewa uthibitisho?Ok
Uthibitisho upo na umepewa ila wewe HUUTAKI
Hakuna anayeweza kukushikia fimbo AKULAZIMISHE
Ila wewe sijaona UTHIBITISHO wako hata mmoja...... HATA WA MASHAKA TU
Ulituma clip kuhusu Curvature baharini? HahhLakini kuna clip nlikitumia kuhusu curve baharini uliipita kimya kimya,
Hiyo clip yako haimake sense mkuu.
Yaani,. unasema uthibitisho wa kwamba Dunia inazunguka ni Ship visibility......Then unataka watu wenye akili timamu wakuamini?Naona wewe ndio unalazimisha sina uthibitisho,
Tangu mwanzo tunakwambia uthibitisho ni Usiku na mchana, Ship visibility ila kwasababu akili uliyonayo unashindwa kuitumia huwezi kuona kama ni uthibitisho.
Hahh,.kwamba umeona kusema elimu kuhusu Jua ni kubwa kwangu ndiyo njia rahisi ya kulikimbia swali la msingi nililokuuliza?Elimu ya kulihusu Jua kwako ni kubwa sana utachanganyikiwa,
Kuna majibu huwezi kupewa hadi tumalize huku kwanza,
Ukishaelewa kuwa Dunia ni tufe
Ukishaelewa kuwa Dunia inazunguka Jua, Hapo ndio tutakuja tuwaelimishe kuhusu Jua na muundo wake pamoja na mijongeo yake.
Well said, tuwe huru na kugenerate facts zetumsibishane kuhusu evidence za nani yuko sahihi kati ya ukweli wa umbo la dunia.
ushahidi wa yeyote humu utakua umetokana na maharifa au taffiti zilizoffanywa na wengine. nikiwa na maanisha hatutaweza kuupata uthibitisho kwa njia ya video bali kwa milango yetu ya fahamu.
MASWALI YANGU NINAYOJIULIZAGA SANA>
1. Kwanza ni sababu gani hasa iliyopelekea watu tufundishwe umbo la Dunia?
2. Ni kwanini Jua limesimama na Mwezi unatembea?
- lakini kwanini mimi na wewe tunaona vyote Jua na Mwezi vikitembea na katika ukubwa uleule na katika ueleekeo uleule.?
Nlituma hii clip, unacheka niniUlituma clip kuhusu Curvature baharini? Hahh
Baharini hakuna curve bhana,...ni mawazo yako Tu kichwani hayo.
Nani kakimbia swali ? Si naona namna mambo madogo yanavyokuumiza kichwa lazima twende kwa mtiririko huo,Hahh,.kwamba umeona kusema elimu kuhusu Jua ni kubwa kwangu ndiyo njia rahisi ya kulikimbia swali la msingi nililokuuliza?
Vizuri sana [emoji1376][emoji1376]
Kumekucha.Yaani,. unasema uthibitisho wa kwamba Dunia inazunguka ni Ship visibility......Then unataka watu wenye akili timamu wakuamini?
Yani ukishasema usiku na mchana ndiyo tayari unakua umethibitisha kuzunguka Kwa Dunia?
Sio rahisi.
Embu elezea hoja za Dunia flat..Hivo hvo ,kwenye Dunia kua duara Kuna mapungufu tena mengi , atleast hoja ya flat earth angalau inaeleweka kirahisi
Swali unalouliza ni pana mno, na kuelewa lazima JUA ujue linakaa vipEmbu elezea hoja za Dunia flat..
So,..Kwa kutumia hiyo picha hapo juu umethibitisha vipi Dunia kuzunguka na kwamba ni tufe?!Kumekucha.
Mpaka sasa nlishakutumia picha iliyochukuliwa na Starship, Uliona umbo gani kwenye ile picha ?
Shirika la anga China na wenyewe wamepiga picha ya Dunia na chombo chao siku si nyingi, Hiyo hapo chini
Ila wewe unaleta maneno maneno hapa.
View attachment 2964335
Hamna kitu kinachoniumiza kichwa........Nani kakimbia swali ? Si naona namna mambo madogo yanavyokuumiza kichwa lazima twende kwa mtiririko huo,
Siwezi nikaanza kujibu maswali ambayo msingi wake ni lazima uelewe kwanza tunayojadili sasa, Ukielewa huko tutafika.
Narudia Kwa mara ya mwisho unatakiwa ujue maana ya neno WITH RESPECT TO,Sio mpaka video ukachukue wewe,... unaweza ukatumia secondary sources pia.
Kwani wewe si tulishakubaliana humu kwamba Jua lina move?? Au ushasahau?
Inashangaza kuona unataka video wakati ni wewe uliyekiri humu kwamba ulikosea kusema Jua lipo stationary.