Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwenye season ndio simple sana , angalia kwenye hio video jua linavyo change position kutype sana ndio shida but unaona hio changing ya position ndio season zinavyotokea ...... Hata kwenye Dunia ya duara najua umefundishwa jua kuchange position
 
Naomba nikujibu Kwa swali pia , kwenye Dunia duara nchi zote ziko direct Zina face jua direct ? Iwe north ,south,east na west?
Alafu kweny flat earth mwisho wa Dunia haujawa expored watasema Kuna barafu tu na ukuta unaitwa ICe wall
 
Orbit ndio imeshikilia hii Dunia ,Wala haifanyi Dunia kuzunguka
 
Vizuri sana , Jana ulitaja component za mwezi ... Kuna component ipi katika zile inasifa ya ku reflect?
Kwanza me sikutaja components za mwezi I think umechanganya,
Kujibu swali, ni kwamba kinachofanya reflection ya sun light ni kwamba lunar surface is covered in rocks and dusts zilizotengenezwa na madini ya silicates.

Kwahy hayo madini yanasifa ya kureflect mwanga.
 
Naomba nikujibu Kwa swali pia , kwenye Dunia duara nchi zote ziko direct Zina face jua direct ? Iwe north ,south,east na west?
Alafu kweny flat earth mwisho wa Dunia haujawa expored watasema Kuna barafu tu na ukuta unaitwa ICe wall
Haupo uwezekano wa nchi zote kuface Jua direct kutokana na umbo la Dunia tufe.

Kwann mwisho wa Dunia tambarare haujawa explored? Yaani Kwa miaka yote hii? Au unabuni majibu? Na kama unasema Kuna ice wall leta ushahidi hata wa picha ukiambatanisha na hiyo firmament
 
Hata kwenye theories yako , beyond Antarctica wanasema tu Kuna barafu but hawajawai kufika
Au kama Dunia ni duara kweli Antarctica imepakana na Norway hko ? Maana ndio Iko juu ya ramani
 
Kuna kitu kinaitwa ice wall , hicho ndio kinachotenganisha continent hizi 7 na continent nyingine ndani ya Dunia hii hii
 
Hata kwenye theories yako , beyond Antarctica wanasema tu Kuna barafu but hawajawai kufika
Au kama Dunia ni duara kweli Antarctica imepakana na Norway hko ? Maana ndio Iko juu ya ramani
Sa kama hawajawahi kufika walisemaje Kuna barafu???
 
Kuna kitu kinaitwa ice wall , hicho ndio kinachotenganisha continent hizi 7 na continent nyingine ndani ya Dunia hii hii
Kwahy kati ya bara na bara Kuna ice wall? Yaani Kwa mfano kati ya bara la Africa na bara la america Kuna ice walls?

Alafu nimekuuliza swali hujajibu umeniuliza swali nimejibu umesahau swali langu😀
 
ndoige I mean Hilo swali hujajibu umeuliza maswali tu
 
Kwahy kati ya bara na bara Kuna ice wall? Yaani Kwa mfano kati ya bara la Africa na bara la america Kuna ice walls?

Alafu nimekuuliza swali hujajibu umeniuliza swali nimejibu umesahau swali langu[emoji3]
Hujaelewa , nmesema tofauti na haya mabara 7 inasemekana Kuna mabara mengine ila barrier iliopo ndio inaitwa ice wall ..... Inasemekana hamna mtu aliewahi kwenda beyond hapo
 
Hujaelewa , nmesema tofauti na haya mabara 7 inasemekana Kuna mabara mengine ila barrier iliopo ndio inaitwa ice wall ..... Inasemekana hamna mtu aliewahi kwenda beyond hapo
Kwamba Kuna mabara mengine tena out ya haya saba?
Kama hakuna aliewahi kwenda huko how come unakubali naww eti Kuna mabara mengine out ya haya tuliyonayo? How do they find out?
 
Nmeuliza swali ndio ambalo pia umejibu kama ambavyo ningejibu , jua linazunguka kwahio Kila upande litakapokua wataliona lime base huko
Angalia hii picha vzr

Angalia hapo centre nilipoonyesha imagine nchi za hapo zitaona Jua kama nchi zilizo karibu na hiyo orbit ya Jua?(Zingatia mishale).

Na zaidi si wataona Jua Lina curve? wakat hicho kitu hakijawah kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…