Kwenye season ndio simple sana , angalia kwenye hio video jua linavyo change position kutype sana ndio shida but unaona hio changing ya position ndio season zinavyotokea ...... Hata kwenye Dunia ya duara najua umefundishwa jua kuchange positionHujajibu swali, hapo umeelezea usiku na mchana Bali haujaeleza ni kivipi sunset na sunrise zinavyotokea.
As Jua lipo juu na Lina emitt amounts of light , it will be visible anywhere if the earth is flat just assume tu hata taa za barabarani unaweza kuziona hata ukiwa mbali gizani. Kwahy naomba niambie ni kivipi Jua Lina disappear [emoji854].
Alafu nasubirii jibu la seasons of the year.