Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Unaona ? Unataka twende tena kwenye ishu nyingne ya mass na weight ? Tupaache ,tutumie neno mass au uzito
Vzr, kivipi mass inafanya vitu vifall?

Remind you ulisema kuwa puto likiwekewa hewa kinapungua uzito(mass) kivipi?
 
Kaka ,mpaka wakat mwingine [emoji120][emoji120][emoji120] ,nakuachia contact pm
 
So,..Kwa kutumia hiyo picha hapo juu umethibitisha vipi Dunia kuzunguka na kwamba ni tufe?!

Hiyo picha haiingii akilini.
Picha haingii akilini How, Elezea sehemu ambazo una wasi wasi kwenye hiyo picha
 
Picha haingii akilini How, Elezea sehemu ambazo una wasi wasi kwenye hiyo picha
Wasiwasi upo sehemu nyingi Tu......ila swali la msingi ni Je, hiyo picha inathibitisha vipi kwamba Dunia inazunguka?
 
Unajichanganya Sana .. Hoja ya msingi ni kwamba Jua lina move.,...hizo nyingine ni hadithi tu ambazo huna uhakika nazo umeambiwa ukaamini.

Logically ukishasema Jua lina move hutakiwi tena kusema Jua lipo stationary!

Nadhani umeelewa sasa.
 
Antarctica sasa hivi watu wanaenda kutalii, Hata wewe unaweza kwenda ni wewe na pesa yako
 
Kwahy hiyo ndo weakness pekee iliyokufanya uache kuamini Dunia ni duara??

Okay we unaweza survive kwenye baridi Kali? Umeambiwa Kuna barafu na baridi Kali sana na ndio maana hakuna mtu anaishi. Ni reserve kwaajili ya researches tu
Kwa kuongezea, Sasa hivi hata watu wa kawaida wanaruhusiwa kwenda kutalii

Zipo taasisi zinazopeleka watu wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…