Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Unaona ? Unataka twende tena kwenye ishu nyingne ya mass na weight ? Tupaache ,tutumie neno mass au uzito
Vzr, kivipi mass inafanya vitu vifall?

Remind you ulisema kuwa puto likiwekewa hewa kinapungua uzito(mass) kivipi?
 
Kaka ,mpaka wakat mwingine [emoji120][emoji120][emoji120] ,nakuachia contact pm
 
Movement nayoongelea ni hii unayofai inasababisha sunrise na sunset au usiku na mchana.

Nilichoongelea hapo nahisi unajitoa akili kama hujanielewa sayari zote zilizopo kwenye mfumo wa Jua with respect to Jua, Jua lipo stationary cause zote zinamove along with the sun.
Unajichanganya Sana .. Hoja ya msingi ni kwamba Jua lina move.,...hizo nyingine ni hadithi tu ambazo huna uhakika nazo umeambiwa ukaamini.

Logically ukishasema Jua lina move hutakiwi tena kusema Jua lipo stationary!

Nadhani umeelewa sasa.
 
Nakubali Kuna weakness,hata upande wako wa Dunia duara au tufe , after Antarctica mnasema the same Kuna barafu na hamna binadamu anaeweza ishi huko na hamna evidence ya picha au video
Na kama Dunia ni duara au tufe hilo bara Antarctica Kwa upande wa pili ilitakiwa ipakane na Europe ,je zimepakana?
Antarctica sasa hivi watu wanaenda kutalii, Hata wewe unaweza kwenda ni wewe na pesa yako
 
Kwahy hiyo ndo weakness pekee iliyokufanya uache kuamini Dunia ni duara??

Okay we unaweza survive kwenye baridi Kali? Umeambiwa Kuna barafu na baridi Kali sana na ndio maana hakuna mtu anaishi. Ni reserve kwaajili ya researches tu
Kwa kuongezea, Sasa hivi hata watu wa kawaida wanaruhusiwa kwenda kutalii

Zipo taasisi zinazopeleka watu wa kawaida.
1425380763.jpg
 
Back
Top Bottom