Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
hateeb10 hii hujaona sio?
 
Kwahiyo unakiri kwamba uelewa wako juu ya umbo la Dunia,...ni kutokana na ideas za wengine na sio uchunguzi binafsi Kwa kuhusisha akili yako?
Hivi Ili ubongo ufikrie si unahitaji taarifa? Hapo sasa Kuna aina tofauti tofauti za taarifa, Kuna taarifa Kwa njia ya kuambiwa, kusoma na kutazama.

Kwahy Kwa vyovyote vile nimehusisha akili yangu vyema. We hujiulizi kama ningekuwa napokea navyoambiwa bila kufikiri si ningeshakubaliana na Hekaya zako humu?
 
1. Dunia ni mostly tambarare ambapo ndani yake kuna milima,.. mabonde n.k (au huelewi kuhusu hili?)....mimi sikuambii whether Dunia ni sahani round au egg-shaped Kwasababu hiyo sio point ya msingi,...pont ya msingi ni kwamba ni flat kama tunavyoiona na ina make sense logically... tofauti na kusema ni Tufe....hakuna haja ya CGI'S labda kama unataka kuzungumzia imaginary Tufe.

2. Huwezi ukasema Dunia ina move,.. kwasababu utaonekana kichaa/mzushi.... kwanini nasema hivyo?, Kwasababu hauhisi,hauoni wala kusikia Dunia iki move,...na hiyo haitoshi hata teknolojia haijawahi kuonyesha dunia iki move....... atleast ukisema Jua lina move utaeleweka maana linaonekana kwenye position & point tofauti tofauti depending time husika.

NB:- Kwenye video hapo umeweka vizuri kabisa......ukiangalia kinachomove ni camera kama inavyoonekana hapo(ambapo kwenye case yetu tuchukulie ni "JUA") ....wakati huo Nyumba zipo stationary(ambapo kwenye case yetu ni "DUNIA).

NAAMINI HII ITASAIDIA.
 
Naamini ipo siku utakaa chini ufikirie hoja za msingi kuhusu umbo la Dunia.

Sio lazima iwe Leo,.bali hata uzeeni huko,.....busara zitakapoongezeka.
 
Ila ila gravity ipo sio? Yeye alisema gravity sio pull ila akaielezea gravity we unasema haipo halafu unamtumia Einstein kama ushahidi wakat hajawah kusema gravity haipo. Kuwa serious kidg.
Einstein alisema "Gravity sio Force".....


Narudia hayo si maneno yangu.....labda kama unabisha hakutamka hivyo na ukumbuke mpaka mwaka ambao alitoa hiyo kauli unajulikana.

NB:- Wewe muda wote unapambana kupinga kauli ya Einstein,..ukisema kwamba gravity ni force,...sasa tukuamini wewe au Einstein.?
 
Kwahy kwenye video umeona camera inamove au majengo yanamove? Embu kuwa mkweli, why baadhi ya majengo yalionekana mwanzo na baadae yakapotea? Tumia macho yako unachokiona sio unachojua.

Kiuhalisia majengo yanaonekana kumove from point yaliyokuwepo mpk point nyingne na ndio maana mengine yalipotea.

Similarly to the Sun, huwa tunaona Jua ndo linamove due to Earth's rotation yaani Assume jengo Moja wapo kati ya hayo ndio Jua alafu Camera ndio Dunia tuliyomo, kama jinsi unavyoona hayo majengo yanamove ndio same way hata Jua huliona kama linamove, that is called ILLUSION.

Lastly, nakuuliza tena unajua maana ya Frame of Reference? Maana nisije kuwa nabishana naww kumbe huelewi naongelea kitu gani.

Nilikupa mfano hukujibu;
Imagine upo kwenye basi wewe upo seat ya nyuma kabisa na dereva yupo mbele anaendesha gari, je ukimuamgalia dereva atakuwa anamove away "from the point uliyopo? " Kama unajua maana ya FRAME OF REFERENCE utaelewa kwann nimetumia neno "from the point uliyopo".
 
Naamini ipo siku utakaa chini ufikirie hoja za msingi kuhusu umbo la Dunia.

Sio lazima iwe Leo,.bali hata uzeeni huko,.....busara zitakapoongezeka.
Ndo nimekwambia nimefikria ningekuwa sifikrii ningekubali HEKAYA zako.
 
Unasoma au unakurupuka, embu soma upya nilochoandika urudi hapa.

Umesema Einstein alisema Gravity sio force, it means gravity ipo na ndio maana akasema sio force, na akaielezea Kwa maelezo yake kuwa gravity ni nini, hakuna mahali alisema hakuna gravity.

Wewe hapa unasema hakuna gravity, hauoni unajibu contradict?????
 
Daaah,....basi hii ndiyo inasababisha tofauti ya mitazamo.

Niwe mkweli kabisa,... kwenye video uliyoweka naona kabisa Camera ndiyo inafanya movement & hayo majengo unayosema yamepotea ni kutokana na Camera Ku move from point ambayo majengo hayo yapo.


Inashangaza sana,...kwamba kwenye hiyo video nyumba ndiyo zina move?
 
Hata mimi sisemi gravity haipo,...bali msimamo wangu muda wote ni kwamba idea ya Gravity ipo overrated na kuna sehemu inatumika ambapo haihusiki kabisa,..huwezi ukasema vitu vinaanguka kwasababu ya gravity......wakati kiuhalisia case ya vitu kupaa na kuanguka inaelezeka vizuri kabisa bila kuhusisha gravity.

So kwenye angle hiyo naungana na Einstein kwamba "gravity sio force ".......yaani kimsingi ni kwamba ielezee gravity unavyotaka lakini ukisema ni "force" tayari unakua umetudanganya.
 
Niwe mkweli kabisa,... kwenye video uliyoweka naona kabisa Camera ndiyo inafanya movement & hayo majengo unayosema yamepotea ni kutokana na Camera Ku move from point ambayo majengo hayo yapo.
Wewe ni muongo mkubwa😀
Camera umeiona wapi hapo?
 
Sasa.., hapo Mimi na wewe nani mwenye matatizo binafsi?

Unasema unaishi kwenye dunia Tufe inayojizungusha....ukiambiwa ulete uthibitisho huna, sasa huoni kama una matatizo?
Acha utoto, Unataka ushahidi wa namna gani kama kila ushahidi unaukataa bila kuleta hata proof zako sahihi.
 
Wewe ni muongo mkubwa😀
Camera umeiona wapi hapo?
Ooh ushaanza kuchanganyikiwa sasa,.......


Kwamba nikiwa natazama football,...kisha nikasema "aaah hii camera walivyochukua video Kwa juu uwanja unaonakana mzuri Sana"......

Nitakua nakosea kusema hivyo,.Kwa kuwa sijaona camera?


Then,...nikija kwenye video husika uliyoweka inaweza ikawa sio camera,..inaweza ikawa video effects zimetumika kutengeneza hiyo animation lakini haileti tofauti yoyote na maelezo niliyotoa mwanzo.
 
Acha utoto, Unataka ushahidi wa namna gani kama kila ushahidi unaukataa bila kuleta hata proof zako sahihi.
Hujawahi kuleta uthibitisho,.....

Huenda,...hujui maana ya uthibitisho na hilo ni tatizo lingine.
 
Usijitoe akili, jibu swali umeiona camera hapo? Ndo maana nikakwambia usijibu as if unajua kuwa majengo hayawezi kumove jibu unachoona, ukijifanya mjanja mm ntajifanya mjinga😀. Kwahy nambie we umeiona hiyo camera mpaka useme camera ndio imemove?
 
Hahaha ona unavyojikoroga sasa, Ushaingia kwenye mfumo wewe.
 
No,.nimejibu kama swali lako ulivyouliza au hujui kama kwenye swali lako umetaja kabisa camera?


Au ulitaka nikueditie swali lako ndiyo nijibu?

Hii sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…