Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Yapo maswali mengi tu ana skip,Nimemwambia anambie Einstein alisema nn kuhusu gravity, hajajibu. Theory ya general relativity inaelezea kwann object zenye maumbo madogo kwenye space zinazunguka maumbo makubwa.
Mfano: sayari kuzunguka Jua, mwezi kuzunguka Dunia.
Mawingu hayafuati curvature.....Bila fact, ukipinga kitu sema kwann? Wewe ukiangalia mawingu huoni yanafata curvature ya dunia???
Kwanza mpk saivi umeshakubali vitu viwiliHakuna curvature kwenye uhalisia labda kwenye cartoon Tu.
Yanafata nini?Mawingu hayafuati curvature.....
Wewe binafsi unaweza kuthibitisha Mkunjo wa Dunia?
Mfano unaelezea Gari, Dereva pamoja na abiriaSasa mfano huo si sahihi kufananishia Jua na Dunia.
yani hapo sawasawa na kusema Dereva na abiria wote wapo kwenye gari moja ambayo Kwa hoja yetu hapa Gari hiyo tuiite "JUA"
What about Gari nyingine "DUNIA"? gari hii ya "DUNIA" na yenyewe imebeba Dereva na abiria,.
Hizi gari mbili zote zina move,..Je, utaweza kusema gari mojawapo ipo stationary with respect to the other?
Nakusaidia kutengeneza mfano wenye uhalisia fungua akili yako,.
Tafuta muda kisha yalete hayo maswali......Yapo maswali mengi tu ana skip,
Anadai ni irrelevant, ndo nasubirii anambie irrelevant kivipi, kwamba haiwezekani dereva na abiria kuwa kwenye gari Moja?😀😀.Mfano unaelezea Gari, Dereva pamoja na abiria
Wewe unakuja na maelezo yako mengine, sijui magari mengine kalikwenda kakarudi...
Una shida gani Niga ?
Kwahiyo ili ujue Mkunjo wa Dunia unaangalia mawingu?Yanafata nini?
Ndio huo nimekupa, unataka nn?
Aya nyingne hizi
1. Flight path
2. Sunrise and sunset
3. Ship visibility
Basi sifananishi Jua na Dunia, nijibu kama ulivyo kwanza. Usirukie mbele hujui kwann nimeuliza.Sasa mfano huo si sahihi kufananishia Jua na Dunia
Una uhakika kuna slight curve?
Unasema tuamini milango yetu ya fahamuTafuta muda kisha yalete hayo maswali......
Focus na maswali yaliyopo sasahivi....
Mfano unaelezea Gari, Dereva pamoja na abiria
Wewe unakuja na maelezo yako mengine, sijui magari mengine kalikwenda kakarudi...
Una shida gani Niga
Najua kwanini unaniuliza,...akili yangu ipo mbele ya muda.Basi sifananishi Jua na Dunia, nijibu kama ulivyo kwanza. Usirukie mbele hujui kwann nimeuliza.
Kwahy mawingu yame curve kufata nini? Ukiwa sehem ambayo Haina mabonde Wala milima, angalia hata mbalii utaona kama mawingu yameshuka chini kwahy utanambia hayo mawingu yameshuka ardhini?Kwahiyo ili ujue Mkunjo wa Dunia unaangalia mawingu?
Hapo unakua unakisia Tu hujathibitisha.......hizo nyingine zote ni nadharia tu hakuna uthibitisho hapo.
Uwe unaomba hata mifano mingine, Ukiona uliopewa hauelewi.Sawa,.. ngoja nikuache na mfano wako wa Gari, Dereva na abiria....
Maana kwangu hauingii akilini.
Kwani ukinijibu utapungukiwa nini?😀😀 Nimekwambia sijafananisha Jua na Dunia, au umesahau kwann nilikuuliza huo mfano?Najua kwanini unaniuliza,...akili yangu ipo mbele ya muda.
Na hoja hapa NI Jua na Dunia.,..sasa kuzunguka zunguka na mifano irrelevant inaonyesha dalili za uoga,..twende moja Kwa moja kwenye point mifano iwe halisia tafadhali.
Na hii ni very simple na kila mtu anaweza kuona kwa urahisi kabisa,Kwahy mawingu yame curve kufata nini? Ukiwa sehem ambayo Haina mabonde Wala milima, angalia hata mbalii utaona kama mawingu yameshuka chini kwahy utanambia hayo mawingu yameshuka ardhini?
Hizo nyingne Nadharia kivipi? Sema kivipi sio unajibu tu simple.
Milango ya fahamu inajua kabisa kwamba ship visibility ni story za uongo.Unasema tuamini milango yetu ya fahamu
Lakini tukikueleza kuhusu Ship visibility unasema ni Illusion tu ile,
Je uthibitisho wa Jua kuzunguka Dunia na sio kuwa ni illusion tu uliupataje ? Tuelezee uthibitisho wako
Ndio ninauhakika, yaani kutoka hapa mpk kigoma huwez kulinganisha na hapa na marekani ukizingatia upo anganiUna uhakika kuna slight curve?
Sikuiona hii....Kwanza mpk saivi umeshakubali vitu viwili
1. The earth is not a perfect sphere(means it's almost a sphere)
2. Gravity sio force (ila ipo)
Mfano tu wa Ile video ya majengo umesema sio relevant unataka nn?Najua kwanini unaniuliza,...akili yangu ipo mbele ya muda.
Na hoja hapa NI Jua na Dunia.,..sasa kuzunguka zunguka na mifano irrelevant inaonyesha dalili za uoga,..twende moja Kwa moja kwenye point mifano iwe halisia tafadhali.