The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Nimemwambia anambie Einstein alisema nn kuhusu gravity, hajajibu. Theory ya general relativity inaelezea kwann object zenye maumbo madogo kwenye space zinazunguka maumbo makubwa.Acha siasa wewe, Ungekua tayari kuelimishwa ungekua unauliza sehemu ambapo hujaelewa kwenye hii mifano inayotolewa, Na sio kuweka maana zako wewe
Mfano: sayari kuzunguka Jua, mwezi kuzunguka Dunia.