Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Acha siasa wewe, Ungekua tayari kuelimishwa ungekua unauliza sehemu ambapo hujaelewa kwenye hii mifano inayotolewa, Na sio kuweka maana zako wewe
Nimemwambia anambie Einstein alisema nn kuhusu gravity, hajajibu. Theory ya general relativity inaelezea kwann object zenye maumbo madogo kwenye space zinazunguka maumbo makubwa.
Mfano: sayari kuzunguka Jua, mwezi kuzunguka Dunia.
 
Kubali Kwanza kwamba ulikua unadanganya Kwa kudai eti Ndege zina adjust altitude Kwa ajili ya curvature,....kisha tutaendelea.
Nimekuuliza nimekudanganya wapi? Hujanambia, flight path always ni curve, na ndio sabab ya ndege ku adjust altitude. Ingekuwa flat kusingekuwa na sabab ya adjustment
 
Maana nilkua natazama namna unavyodai eti Mimi sijui maana ya altitude,... Brother kitu kama sikijui siwezi kuongelea nitatulia nijifunze
Nipe source ulipojifunzia hili la flight path kama hujachambua vya kuja kuleta hapa
 
Hakuna Cha irrevant hapa, kipi ni irrelevant hapo? Basi? Dereva? Wewe uliekaa nyuma? Au nini?
Narudia,.ili mfano wako uwe relevant fananisha vehicles mbili zinazo move kisha jiulize inawezekana kusema vehicle mojawapo ni stationary with respect to the other?

Unapokesea ni kufananisha watu wawili waliopo kwenye vehicle moja (yaani Dereva na abiria).

Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
 
Nimekuuliza nimekudanganya wapi? Hujanambia, flight path always ni curve, na ndio sabab ya ndege ku adjust altitude. Ingekuwa flat kusingekuwa na sabab ya adjustment
Daah huu ubishi sasa,... nilikuuliza na Tai nae akiadjust altitude ni kwa ajili ya curvature?

Can you prove the curvature? Kumbuka ni kitu imaginary Tu.
 
Narudia,.ili mfano wako uwe relevant fananisha vehicles mbili zinazo move kisha jiulize inawezekana kusema vehicle mojawapo ni stationary with respect to the other?

Unapokesea ni kufananisha watu wawili waliopo kwenye vehicle moja (yaani Dereva na abiria).

Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
Usinipangie mfano, jibu mfano wangu sio kusema ni irrelevant. Irrelevant kivipi? Kipi kimefanya uwe irrelevant? Namm nikisema mfano wako ni irrelevant bila sabab si tutakuwa vichaa wote?
 
Daah huu ubishi sasa,... nilikuuliza na Tai abe akiadjust altitude ni kwa ajili ya curvature?

Can you prove the curvature? Kumbuka ni kitu imaginary Tu.
Sasa tai anaruka umbali Gani? Kama ataruka kutoka Tanzania mpaka marekani basi itambidi aadjust.
 
Usinipangie mfano, jibu mfano wangu sio kusema ni irrelevant. Irrelevant kivipi? Kipi kimefanya uwe irrelevant? Namm nikisema mfano wako ni irrelevant bila sabab si tutakuwa vichaa wote?
Hivi unasoma kweli kaka,.....nimekupa sababu kwanini mfano wako ni irrelevant soma vizuri usiwe na hasira relax.......sababu ya mfano wako kuwa irrelevant ni hii 👇🏼

Unapokesea ni kufananisha watu wawili waliopo kwenye vehicle moja (yaani Dereva na abiria).

Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
 
Huu ni mfano wako ww, ule ni wangu jibu kwanza wangu ndio uliza na wako
Fananisha vehicles mbili zinazo move....maana wewe unasema Jua Lina move na Dunia pia ina move.....sasa chukulia Jua ni vehicle no.1 na Dunia ni vehicle no.2 kisha tuelezee kivipi vehicle mojawapo inaweza kuwa stationary with respect to the other?
 
Kwahiyo akiruka DSM mpaka Kigoma hana sababu ya kuadjust altitude kwasababu hakuna curvature?
Kutakuwa na slight curve (Dunia ni Kubwa sana), so Kwasabu yupo angani anaweza asi adjust, ila Kwa case ya ndege ni lazima i-adjust hata kama curve ni ndogo.
 
Sijakosea kwani haiwezekani watu wawili kuwa kwenye gari Moja(dereva na abiria?)
Sasa mfano huo si sahihi kufananishia Jua na Dunia.

yani hapo sawasawa na kusema Dereva na abiria wote wapo kwenye gari moja ambayo Kwa hoja yetu hapa Gari hiyo tuiite "JUA"

What about Gari nyingine "DUNIA"? gari hii ya "DUNIA" na yenyewe imebeba Dereva na abiria,.

Hizi gari mbili zote zina move,..Je, utaweza kusema gari mojawapo ipo stationary with respect to the other?

Nakusaidia kutengeneza mfano wenye uhalisia fungua akili yako,.
 
Back
Top Bottom