Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ndio ninauhakika, yaani kutoka hapa mpk kigoma huwez kulinganisha na hapa na marekani ukizingatia upo angani
Curvature ipo angani au ardhini?

Nionyeshe video ya Ndege ikiwa inaenda down to the curvature of the earth.
 
Milango ya fahamu inajua kabisa kwamba ship visibility ni story za uongo.

Wewe upo indoctrinated ndiyo maana unaamini eti Meli inapotea Kwa kutumbukia through curve,.....level up your intelligence bro!
Emu ficha ujinga wako, Yani uongo jambo ambalo hata wewe ukienda kushinda pale coco beach unalishuhudia ?

Nielezee uongo ni upi hapo

Na haujajibu swali langu bado
 
Ndio ninauhakika, yaani kutoka hapa mpk kigoma huwez kulinganisha na hapa na marekani ukizingatia upo angani
Una uhakika?

Unaweza ukaniambia exactly street/Country ambapo Mkunjo wa Dunia unaanzia?
 
Curvature ipo angani au ardhini?

Nionyeshe video ya Ndege ikiwa inaenda down to the curvature of the earth.
Akili yako ndogo, ngoja nikusaidie.

Curvature ipo kwenye ardhi, kwahy ukiwa angani ukisema ufate ardhi hautokuwa na budi kufata curvature ya ardhi, kwahy uta curve angani kama mawingu yalivyo.
 
Attachments

  • images.jpeg
    9.9 KB · Views: 4
Emu ficha ujinga wako, Yani uongo jambo ambalo hata wewe ukienda kushinda pale coco beach unalishuhudia ?

Nielezee uongo ni upi hapo

Na haujajibu swali langu bado
Twende Beach tukodi drone,...then tuchukue video Kwa kutumia drone ifike mpaka point unayosema kuna curvature.

Je, tutaona hiyo curvature unayosema?

Upo tayari Kwa tafiti hiyo? Au unaogopa?
 
Akili yako ndogo, ngoja nikusaidie.

Curvature ipo kwenye ardhi, kwahy ukiwa angani ukisema ufate ardhi hautokuwa na budi kufata curvature ya ardhi, kwahy uta curve angani kama mawingu yalivyo.
Kama nilivyosema curvature utaiona kwenye cartoon Tu...kama hii uliyoweka hapo.
 
Kwa sabab huna hoja ndio maana utakomea kusema ivyo. Nimekupa video inaonesha rotation na curvature, hujasema tatizo liko wapi
 
Twende Beach tukodi drone,...then tuchukue video Kwa kutumia drone ifike mpaka point unayosema kuna curvature.

Je, tutaona hiyo curvature unayosema?

Upo tayari Kwa tafiti hiyo? Au unaogopa?
Aisee wewe ni mjinga kweli, yaani unataka uende kwenye curvature ilipo??πŸ˜€ Uoneshwe kwamba curvature hii hapa?kuwa serious.

Embu chukua mpira alafu nioneshe wapi curvature ilipo kwenye mpira.

Every point is a curvature
 
Hujajibu swali.......πŸ‘‡πŸΌ

Unaweza ukaniambia exactly street/Country ambapo Mkunjo wa Dunia unaanzia?
Nimekupa umbali ambayo curvature inatokea.

After every 5 km (3mile) inatokea curvature ya 4.6 m
 
Aisee wewe ni mjinga kweli, yaani unataka uende kwenye curvature ilipo??πŸ˜€ Uoneshwe kwamba curvature hii hapa?kuwa serious.

Embu chukua mpira alafu nioneshe wapi curvature ilipo kwenye mpira.

Every point is a curvature
Every point is a curvature?

Hii sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…