The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sasa hiyo michoro inaawakilisha nn?Narudia tena,..the so called curved flight paths zipo kwenye michoro Tu kwenye uhalisia hazipo.... kama unabisha lete uthibitisho kwenye uhalisia au endelea kutukana.
anthony_art
Kwa kuwa anga lipo void Ndege inaweza kuamua ipite wapi kulingana na scenarios tofauti tofauti.....na ikashaamua kupita path Fulani basi hiyo path ndiyo tunaiita route ....sasa njia(route)hizo hazina curve yoyote., kwenye michoro ambayo ni nadharia tu ndiyo utaona curve.Choosing route, means route zipo na sijasema Kuna route Moja, ww unasema ndege inajiamulia route,
Kabla ya kuangalia michoro kwanini usifocus na uhalisia?Sasa hiyo michoro inaawakilisha nn?
Dunia sio Duara,.....na Ndege haiwezi automatically kufuata curvature,.lazima action ya kufuata curvature ihusike kitu ambacho hakitokei Ndege zinasafiri bila kufuata the so called curve..... Ndege zinasafiri horizontally over a flat surface na ndio maana zikaitwa "AeroPLANE "Wewe ndio huitumii akili, Anga ni la Dunia na Dunia ni duara sasa ukipitia angani kutoka point Moja ya Dunia mpk point nyingne ambayo kimsingi ipo mbali automatically utafata curvature,
Ww akili yako unadhani angankuna route inaonekana
Kwenye Dunia Gani sasa?Kwa mfano Ndege ikisafiri in the straight line without bending to the curve,..Je haitoweza kufika to the desired destination?
Kwenye Dunia Tufe...Kwenye Dunia Gani sasa?
Ati nipo addicted na picha&videoNdiyo maana huwa nasema kwamba upo addicted na videos & picha....... ukiangalia vizuri nje kupitia kioo cha Ndege unaona kabisa jinsi Dunia ilivyo flat cha kushangaza umeamua kuangalia hiyo picha na sio uhalisia unaouona nje.
Huyu mwamba sio ujinga tu, nna wasi wasi na afya yake ya akiliUnauliza kitu alafu unanicondition Kwa vitu vya kijinga, alafu unaropoka et ndege zinajichagulia route zinazotaka zenyewe yaan kwamba ukitaka kwenda marekani ndege niaamua tu yenyewe, Sasa naona nakuja kama najadiriana na mtu ambae hajielew
Sasa kwann watumia michoro ambayo Haina uhalisia na route Yao?? Wewe utakuwa na matatizo, ndege haiamui ipite popote na ndio maana Kuna mtu anaecontrol na kuwasiliana na rubani Ili kuwezesha ndege ipite kwenye route inayotakiwa na sio inapita inavyotaka yenyewe.Kwa kuwa anga lipo void Ndege inaweza kuamua ipite wapi kulingana na scenarios tofauti tofauti.....na ikashaamua kupita path Fulani basi hiyo path ndiyo tunaiita route ....sasa njia(route)hizo hazina curve yoyote., kwenye michoro ambayo ni nadharia tu ndiyo utaona curve.
Can something which is void be curved/bend?
Sasa utasafirisha wote? Ambao hawatasafiri Bado watakataa na kudai walioenda wamenunuliwa,Kwa hiyo ikatokea kundi la watu wakasafiri kulizunguka bara la Atlantica, then case closed?
Nadharia ya Dunia kuwa flat ni ya zamani sana kabla teknolojia haijakuwa na ilifindishwa hapo zamani kama nadharia tu lkn Kwa Sasa umbo la Dunia sio hoja tena.Kwa hiyo ikatokea kundi la watu wakasafiri kulizunguka bara la Atlantica, then case closed?
Ungekua na akili yenye afya,... ungejua kutofautisha Kati ya CGI na real pictures,....sasa shida yako ni kwamba unataka uone uhalisia kwa kutumia CGI'S huoni haiingii akilini.Ati nipo addicted na picha&video
Ndugu ulitaka niwe addicted na maneno matupu ? Sio wewe ambae huwa unaomba video au picha inayoonyesha curve ? Au sio wewe
Picha au video isingekua muhimu, usingekua unahitaji picha za hivyo vitu unavyoviomba.
Na je ina maana umeshindwa kutambua nmekutumia hiyo clip kwa lengo gani na kwanini ?
Pamoja na hayo yote..Hii haiifanyi Dunia kuwa tufe linalozunguka.Huyu mwamba sio ujinga tu, nna wasi wasi na afya yake ya akili
Sasa kama Dunia ni tufe kwann isiwezekane?Kwenye Dunia Tufe...
Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ?Ungekua na akili yenye afya,... ungejua kutofautisha Kati ya CGI na real pictures,....sasa shida yako ni kwamba unataka uone uhalisia kwa kutumia CGI'S huoni haiingii akilini.
Ninapokuambia ulete picha namaanisha real ones na sio CGI'S.
Leta uthibitisho wako kuwa Dunia sio tufe na haizungukiPamoja na hayo yote..Hii haiifanyi Dunia kuwa tufe linalozunguka.
Huyu jamaa ni mgonjwa, sasa kama mtu anakwambia umletee ushahidi wa route za ndege alafu anakwambia usilete michoro, sasa sijui anataka nilete barabara ya ndege,Hivi we jamaa unajielewa kweli ? unazungumzia video ipi ?
Hiii nliyoituma mwishoni ?
Nikuulize, flat earthers Wana ramani yoyote ya Dunia hii ambayo wamewahi kuichora!??Bangi mbaya kaka,...watu wanaamishwa tu wanajaa...
Muulize kama hizo designated flight path zingekua curved,.... kwanini Wana assume flat earth & non-rotating earth kwenye Piloting?
anthony_art
Changamoto sana huyu jamaa,Huyu jamaa ni mgonjwa, sasa kama mtu anakwambia umletee ushahidi wa route za ndege alafu anakwambia usilete michoro, sasa sijui anataka nilete barabara ya ndege,