Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Bado hujajibu,... Ila kimsingi naamini umekubaliana na hoja ya Einstein kwamba gravity sio force,....so naamini utaacha kabisa humu kuaminisha watu kwamba gravity ndiyo inafanya vitu kuanguka na kupaa.
Wewe ni matako, kama huwez kusoma na kuelewa basiii,
 
Sawa umeshinda..,Dunia ni Tufe linalozunguka.
Wewe unajitoa akili, na kijitia uchizi, eti nikuletee ushahidi wa route ya ndege nisilete michoro, Sasa niletee nini? Picha ya barabara ya ndege? Au huna akili, isije kuwa tunaangaika na chizi humu.
 
Au we unahisi hiyo picha ya route nimetengeneza Mimi? Eti ndege ijipangie route yake yenyewe😀, hapa tunaangaika na chizi kweli
Au uliposema designated path ulimaanisha nn?
 
Wewe unajitoa akili, na kijitia uchizi, eti nikuletee ushahidi wa route ya ndege nisilete michoro, Sasa niletee nini? Picha ya barabara ya ndege? Au huna akili, isije kuwa tunaangaika na chizi humu.
Umeisaliti akili yako,...na ndiyo maana kufikiria on your own ni kosa la jinai kwako.

Tufanye umeshinda,...Dunia ni Tufe linalozunguka Kwa Kasi 🤝🏼
 
Wewe hujaisaliti akili yako? Basi naww niletee route ya ndege usilete michoro
 
Unauliza kitu alafu unanicondition Kwa vitu vya kijinga, alafu unaropoka et ndege zinajichagulia route zinazotaka zenyewe yaan kwamba ukitaka kwenda marekani ndege niaamua tu yenyewe, Sasa naona nakuja kama najadiriana na mtu ambae hajielew
 
Visual Flight Rules (VFR): Private planes can operate under VFR rules, which allows for more flexibility in choosing a route as long as visibility and weather conditions permit.

Usiwe na mihemuko... relax!
 
Sasa wewe Kwa akili yako unaona kabisa anga lipo void ,...unaleta hoja ya curved route.....

Can something which is void be curved or bend?

Tuliza akili ujifunze,....matusi hayatokusaidia
 
Narudia tena,..the so called curved flight paths zipo kwenye michoro Tu kwenye uhalisia hazipo.... kama unabisha lete uthibitisho kwenye uhalisia au endelea kutukana.

anthony_art
 
Visual Flight Rules (VFR): Private planes can operate under VFR rules, which allows for more flexibility in choosing a route as long as visibility and weather conditions permit.

Usiwe na mihemuko... relax!
Choosing route, means route zipo na sijasema Kuna route Moja, ww unasema ndege inajiamulia route,
 
Sasa wewe Kwa akili yako unaona kabisa anga lipo void ,...unaleta hoja ya curved route.....

Can something which is void be curved or bend?

Tuliza akili ujifunze,....matusi hayatokusaidia
Wewe ndio huitumii akili, Anga ni la Dunia na Dunia ni duara sasa ukipitia angani kutoka point Moja ya Dunia mpk point nyingne ambayo kimsingi ipo mbali automatically utafata curvature,

Ww akili yako unadhani angankuna route inaonekana
 
Back
Top Bottom