Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Unitembeze k.m ngapi ? Na Dunia ina k.m ngapi za mraba ?
Ndiyo maana nikasema nitakutembeza kadri utakavyoweza,.....ukitaka tunachukua usafiri wa bei chee Baiskeli Tu(ili observation iwe clear zaidi),.tunasafiri mpaka Morroco then tunavuka bahari pale tunaingia Spain....na kuendelea.
 
Ndiyo maana nikasema nitakutembeza kadri utakavyoweza,.....ukitaka tunachukua usafiri wa bei chee Baiskeli Tu(ili observation iwe clear zaidi),.tunasafiri mpaka Morroco then tunavuka bahari pale tunaingia Spain....na kuendelea.
Hahaha kuwa serious,

Mkuu, Dunia ni tufe
 
Kwanini haupo tayari kufanya observation halisia sasa ikiwa una uhakika na unachokimini?


Kwa style hiyo itabidi uendelee kuamini Katuni a.k.a CGI's!
Naona ntapoteza muda wangu tu,

Wewe hata picha ya kuchora tu namna Dunia inavyoonekana umeshindwa mpaka sasa.

Unaniletea hadithi za sehemu ya Dunia sio Dunia kamili.

Yani ukinitembeza Posta mpaka coco beach kisha uniambie hiyo ndio Dunia Flat
 
Narudia,....Ndege kuadjust altitude hakuhusiani kabisa na masuala ya curvature....... kuhusisha kitendo cha Ndege kuadjust altitude na Curvature ni uongo wa kiwango cha lami.

NB:- Hivi unaelewa maana ya kuadjust altitude? unaweza kuelezea kidogo maana yake halisi?
Nilikuuliza kama Dunia ingekuwa flat kwann ndege i-adjust altitude Ili kufata path yake? Holah!!
 
Dunia kiuhalisia ina sides achana na mambo ya nadharia za Tufe...

Hivi wewe binafsi ukiangalia Dunia bila akili za kushikiwa utasema haina sides?? Nadhani jibu ni hapana.
Kwa kuangalia sioni sides otherwise naweza kusema Ina millions of sides
 
Alisema gravity sio force as described by Isaac Newton, but rather a curvature of space and time caused by mass and energy.,...kisha akaelezea nadharia zake za relativity
Bado hujaelezea vzr, na alielezea namna gravity namna inafanya celestial body zenye mass ndogo kuzunguka (orbit) zenye mass Kubwa, na inaelezea sabab ya vitu kufall
 
Nilikuuliza kama Dunia ingekuwa flat kwann ndege i-adjust altitude Ili kufata path yake? Holah!!
Kwanza unatakiwa ufahamu kwamba Dunia kuwa flat/Tufe hakuhusiani na Ndege kuadjust altitude., unless uwe hujui nini maana ya kuadjust altitude.

Hata kama Dunia ingekua Tufe Ndege still zingekua na uwezo wa kuadjust altitude,...kama ilivyo sasa ambapo Dunia ni flat lakini still zinafanya hivyo....

Aircraft adjust their altitude by ascending (going upward) or descending (going downward) as needed. Pilots control these movements using the aircraft's controls to change its vertical position in the air......sasa kitendo hicho ⬅️ kunahusiana vipi na umbo la Dunia, huoni kama kwenye umbo lolote la Dunia kinawezekana as long as anga lipo void(empty)?


Nina wasiwasi hujui nini maana ya adjusting altitude....
 
Mbn unajichanganya?😀 Unakubali kuwa the earth is not a perfect sphere? Kama ndio unaelewa maana ya hiyo statement?
Kuna quote yko umenireply,.. nadhani itafaa kujibu hili swali lako...👇🏼
Flattened at its poles

Unaposema ni Flattened at its poles,...ni sawa na kusema Dunia ni Flat lakini sio perfect flat.....

Sasa,..Je, na Mimi nikikuuliza swali kama uliloniuliza Mimi kuhusu "earth is not a perfect sphere" nitakua sahihi??????

Maana naona hapa unakubali na kukiri mwenyewe kwamba Dunia sio perfect flat.
 
Kwa kuangalia sioni sides otherwise naweza kusema Ina millions of sides
Kwa akili ambayo imekua indoctrinated utasema Dunia haina sides,...ila Kwa akili huru yenye afya ni lazima utafahamu Tu kwamba Dunia ina sides.
 
Bado hujaelezea vzr, na alielezea namna gravity namna inafanya celestial body zenye mass ndogo kuzunguka (orbit) zenye mass Kubwa, na inaelezea sabab ya vitu kufall
Kwanza unakubaliana na statement yake aliposema "Gravity sio Force"?

Na kama unakubali kwanini ulikua unapambana kuonyesha gravity ni force,...na kila nilipojaribu kukuelewesha ukawa umejikita kwenye ubishi na kuleta formula ambazo zimetungwa tu kinadharia na hazi depict actual facts!?
 
Back
Top Bottom