The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ndio kama hiyo video, unaona majengo yanamove kumbe hayamove.😀Au una mfano wa kipi tukionacho kilivyo sivyo kilivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kama hiyo video, unaona majengo yanamove kumbe hayamove.😀Au una mfano wa kipi tukionacho kilivyo sivyo kilivyo?
Kimsingi hakuna utofauti Kwa kutazama,KUMBUKA KUNIJIBU..!
Kwakuangalia angani wakati Mwezi ukitembea na wakati Jua ikitembea, Kuna utofauti gani wa mitembeo hiyo hadi tuamini Kimoja Hakitembei?
Na Kwanini Hauamini kua mwezi ndio Umesimama na Jua ndilo linalotembea?
Kwa nadharia hiyo je Ungefundishwa Mwezi Umesimama na Jua linatembea, leo hii ungepinga kwa hoja zipi?
Usitake advantage ya kuwa navyotaja vipo kwenye mitaala, kuwa kwenye mitaala haimaanishi tusivifikrie, Mimi zaman nilisoma Ili kufaulu mtihan tu, lkn badae hasa baada ya kukutana na hoja za flat earth, nilisoma zaidi Kwa Lengo la kujifunza Ili kujua, na nikabaini Kuna weaknesses nyingi kwenye flat earth tena maelezo Yao yanatofautiana sana kwenye hoja Moja maelezo tofauti, Kwa mfano tu niliuliza solar eclipse majibu yamekuja tofauti na yote hayamake sense, Sasa hata ww unaona kabisa wapi Kuna tatizo.Narudi katika maswali yako yote sita. Ni hivi, yote uliyoyaulizwa yapo katika mitaala kuanzia elimu ya shule na vyuoni.... Je mitaala ya Flat Earth inafundishwa? Kwanini haifundishwi ingali Ipo.? Wewe unaenibishia mimi, katika hayo maswali yako je Unajua hizo nazo ni topic katika elimu ya Dunia Tambarare? Umewahi Kujifunza?
Sasa kama unapinga unachokijua na unaelimu nacho, kwann usinipe majibu ya maswali niliyokuuliza kuliko kuleta story ndeefu, tena umesema hayo maswali ni topic kwenye flat earth, basi jibu hayo maswali Kwa kutumia concept zakoninachotofautiana na wewe ni sehemu ndogo sana... ndio maana unatumia nguvu kubwa kukosoa hoja na kuweka yaleyale tuliyofundishwa ambayo mimi kwa uelewa wangu nilikua napata utata...
ila nilipobahatika kujifunza na hoja za fflat earth mengi ya yaliyokua yananipa utata yanathibitika kirahisi na yanasapotiwa na milango yangu ya fahamu.
SASA BASI..!
ili tuyajadili hayo swali kwa swali au hoja kwa hoja inabidi mimi na wewe wote tuwe tuna elimu zote za dunia mviringo na dunia tambarare huku zote zikiwa ni za Duara.
Narudi katika maswali yako yote sita. Ni hivi, yote uliyoyaulizwa yapo katika mitaala kuanzia elimu ya shule na vyuoni.... Je mitaala ya Flat Earth inafundishwa? Kwanini haifundishwi ingali Ipo.? Wewe unaenibishia mimi, katika hayo maswali yako je Unajua hizo nazo ni topic katika elimu ya Dunia Tambarare? Umewahi Kujifunza?
USIPINGE USICHOKIJUA. Mimi nayapinga ninayoyajua kwakufundishwa yanapinga kwa kujifunza sio kwakukataa.
Wengi wenu ukiwamo wewe.. kwanza tuu Nadharia yenyewe ya Flatearth hauielewi wala kuijua inavyofanya kazi na inavyotoa matokeo. Usingeulizwa maswali yako hivyo.
pili kama ulikubali kuingia darasani na ukabatilishiwa namna unavyoliona jua, basi usikatae kuingia darasani kujifunza namna ukweli wa unavyoliona Jua.
Niulize maswali ya kuzihoji hoja...Na Usijiffunze kupitia ubishi.
Ninajibu maswali ili kila mwenye kuweza kuelewa na kujipa tafakuri imsaidie. hapa nataka tuwaze zaidi kwa akili zetu, tukimix na za darasani basi tuwe nazo zote za dunia mviringo na tambarare.
Kama una uliza juu ya usiku na mchana unavyopa tikana katika flatearth ina maana hauna elimu hiyo.. sasa kwanini unaibishia.?
sijakosea wala kubishana na wenzangu nimejibu kukupa picha rahisi.. sasa kama upo tayari nipe muda wakukufundisha hilo kama ulivyompa muda huo mwalimu aliyekufundisha katika shape ya dunia mviringo.
Bro ndio maana nipo hapa, na nauliza maswali nahitaji majibu Ili nijifinze ww unaleta hadithi tena😀😀pili kama ulikubali kuingia darasani na ukabatilishiwa namna unavyoliona jua, basi usikatae kuingia darasani kujifunza namna ukweli wa unavyoliona Jua.
Sawa siielewi basi nipe hiyo elimu kupitia hayo maswali 😀Wengi wenu ukiwamo wewe.. kwanza tuu Nadharia yenyewe ya Flatearth hauielewi wala kuijua inavyofanya kazi na inavyotoa matokeo. Usingeulizwa maswali yako hivyo
Na hili ndio darasa nililoingia Ili nipate majibu nifungue macho, kwahy jibu hoja zangu Ili unifungue macho au hili ni kanisa tusihoji tuamini tu kama vilivyo? Jibu hayo maswali kama utona nakubishiapili kama ulikubali kuingia darasani na ukabatilishiwa namna unavyoliona jua, basi usikatae kuingia darasani kujifunza namna ukweli wa unavyoliona Jua.
Na ndio sababu tupo hapa ww leta hoja zako lkn ukileta janja janja unaulizwa maswali na uyajibuNinajibu maswali ili kila mwenye kuweza kuelewa na kujipa tafakuri imsaidie. hapa nataka tuwaze zaidi kwa akili zetu, tukimix na za darasani basi tuwe nazo zote za dunia mviringo na tambarare
Nikupe muda mara ngapi?? Hili ni jukwaa hurusijakosea wala kubishana na wenzangu nimejibu kukupa picha rahisi.. sasa kama upo tayari nipe muda wakukufundisha hilo kama ulivyompa muda huo mwalimu aliyekufundisha katika shape ya dunia mviringo.
Kama unahisi hatujasoma, basi tuelezee vzr Kwa kujibu hoja hizo(debunk) sio unazunguka sana sasa nani atakuamini au kukuelewaHiyo elimu yako ya phisics na anga uliyoipata je umeipata elimu hiyo katika usawa, yaani ya dunia tambarare na dunia mviringo? au umeipata elimu moja na kuiamini hiyohiyo.?
Elimu ya Dunia tambarare inapatiakana na imeelezea yote yanayoelezewa katika dunia mviringo someni kwanza ndio tuhojiane sisi waamini wote tukiwa tunakijua tukiongeleacho maana wengine mnadhani hii tambarare ni nadharia isiyokuwa na vitabu au madarasa.
Na hiyo sisi tunaita Map projection. Sasa nikuulize swali, wewe huoni kuwa hiyo raman ya flat imetokana na umbo la Dunia tufe (map projection)? Na Lengo ni kuweza kuonesha mabara yote vzr? Au unamaanisha tufe ndio limetokana na flat?simple tuu na kama kweli wewe ni mdadisi na mfukunyuzi na unaeweza kujaribu kitu... mi nakupa zoezi dogo tuu ili uweze kuihoji elimu yako na uffahamu wako.
1. chukua mpira wa miguu... uchore mabara yote. Chukua sinia, lichore mabara yote.
2. Kwa kuzingatia center ya mpira ambao tutasema ndio northpole, upasue mpira kitaalamu kwa lengo lakuufanya uonekane kama sinia.
3. chukua sinia, kwa kuzingatia katikati ya sinia ndio pawe juu jaribu kulilazimisha sinia hilo likupe shape ya mpira.
Kama utashindwa kufanya hivyo... basi kata kitambaa cheupe shape ya Duara la sinia.. kichore ramani ya dunia kama za FLAT EARTH pakiwa na barafu katika kingo.. halafu chukua kitambaa hiko kifunike katika mpira. je kuta za barafu ulizozichora hazitajikusanya katikati chini na kuonekana ni bara la Barafu?
Halafu utaniambia kama vipimo vyote vya dunia mviringo kama havitapitikana katika dunia duara. Jitahidi unielewe hapa maana Kuta za Barafu utakua umezifanya wewe mwenyewe kinadharia.
Iliuelewe ninacho maanisha ni hivi... Phisics inayopatikana katika Shape ya Tuffe ndio hiyohiyo inayopatikana katika Shape ya tambarare...
Kwanza Sio kweli kuwa ndege ikishapaa usawa wa safari yake hutembea nazo mpk inafika.Naomba unipe darasa kidogo la namna ndege inavyo adjust altitude ili kufuata curve. maana kwa uelewa wangu ndegge ikishapaa ikapata usawa wa saffari yake kama ni FT 20 atatembea nazo mpaka atakapotaka kushuka sasa hiyo curve inaifuata ndege au ndege inafanyaje ffanyaje ili iwe ina jiudjust kuifuata curve ili FT zake za kupaa zisiongezeke pale zirtakapoiacha hiyo curve?
Kama nilivyokwambia hapo awali ndege Ina device inaitwa Altimeter, ambayo ina-act kama senser na inaisaidia ndege kuadjust altitude,ndege inafanyaje ffanyaje ili iwe ina jiudjust kuifuata curve ili FT zake za kupaa zisiongezeke pale zirtakapoiacha hiyo curve?
Njia zake sio physical kama za ardhini.hata tren hufuata designeted path yake.. maana hata angani ndege zina njia zake..
Dunia inarotate almost 24hrs per rotation,tuambie huzunguka kwa speed gani hiyo ndogo
Narudia,....Ndege kuadjust altitude hakuhusiani kabisa na masuala ya curvature....... kuhusisha kitendo cha Ndege kuadjust altitude na Curvature ni uongo wa kiwango cha lami.Na hii ndio maana niliuliza kama Dunia ingekuwa flat Kwann ndege Ifanye adjustment ya altitude?
Sio sphere kamili wala sio sphere nusu......it's massively flattened.Kwahy unakubali Dunia ni sphere isiyokamili? Kama ndivyo basi hapo tupo sawa
Kwamba mida hii Jua lipo chini ya miguu yetu relatively.....?Ndio ni kweli (kama unavyomaanisha)
Dunia kiuhalisia ina sides achana na mambo ya nadharia za Tufe...Ukiuweka kichwa ako sawa utaelewa, Dunia tufe ikiwa projected Ili kutumia kama map ndio inakuwa presented Kwa four sides au zaidi, lakin Dunia tufe Haina sides mfano mdogo tu wewe nambie mpira unasides ngapi? Au maana ya side hujui?
Dunia Haina sides kama unavyosema kama kwenye square lakini Dunia imekuwa geographically dived kwenye two hemisphere southern hemisphere and the northern hemisphere.
Alisema gravity sio force as described by Isaac Newton, but rather a curvature of space and time caused by mass and energy.,...kisha akaelezea nadharia zake za relativity.Sasa Einstein alisema gravity ni nn?