NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
ninachotofautiana na wewe ni sehemu ndogo sana... ndio maana unatumia nguvu kubwa kukosoa hoja na kuweka yaleyale tuliyofundishwa ambayo mimi kwa uelewa wangu nilikua napata utata...hateeb10 nkumbison
Wakati upo hapa unakazana kubishana Dunia ni flat, Kuna mainjinia huko wanadesign barabara water supply, etc. wanatumia latitude na longitude kwenye design. Sasa kwenye Dunia flat hakuna latitude Wala longitude.
Na maswali yangu hayajawahi kujibiwa na mengine yalijibiwa kihuni huni tu. Mfano haya maswali👇👇,
1. Different Night skies:
Constellations zinazokuwa observed at northern pole during Night ni tofauti na zinazokuwa observed at northern pole. Kama Dunia ingekuwa flat basi wote tungekuwa tunaobserve same night sky.
2. Lunar eclipse:
Hii nimeshauliza sana humu majibu yenu ni hekaya tu,
3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.
4. Curiolis effect:
Hii hutokea pale vitu vinavyomove angani vina experience deflection due to Earth's rotation, Sasa naomba mnambie nyie kama Dunia hairorate ni nn kinasababisha.
5. Day and night length variations:
Length ya day and night inachange throughout the year.
6. Seasons of the year,
Na lastly nyie mnaoamini Dunia ni flat mnatofautiana sana hoja zenu, mfano tu mwingne ananambia Jua linazunguka kama coil nkumbison ,😀
Hamna hoja zenu zinazojitegemea
ila nilipobahatika kujifunza na hoja za fflat earth mengi ya yaliyokua yananipa utata yanathibitika kirahisi na yanasapotiwa na milango yangu ya fahamu.
SASA BASI..!
ili tuyajadili hayo swali kwa swali au hoja kwa hoja inabidi mimi na wewe wote tuwe tuna elimu zote za dunia mviringo na dunia tambarare huku zote zikiwa ni za Duara.
Narudi katika maswali yako yote sita. Ni hivi, yote uliyoyaulizwa yapo katika mitaala kuanzia elimu ya shule na vyuoni.... Je mitaala ya Flat Earth inafundishwa? Kwanini haifundishwi ingali Ipo.? Wewe unaenibishia mimi, katika hayo maswali yako je Unajua hizo nazo ni topic katika elimu ya Dunia Tambarare? Umewahi Kujifunza?
USIPINGE USICHOKIJUA. Mimi nayapinga ninayoyajua kwakufundishwa yanapinga kwa kujifunza sio kwakukataa.
Wengi wenu ukiwamo wewe.. kwanza tuu Nadharia yenyewe ya Flatearth hauielewi wala kuijua inavyofanya kazi na inavyotoa matokeo. Usingeulizwa maswali yako hivyo.
pili kama ulikubali kuingia darasani na ukabatilishiwa namna unavyoliona jua, basi usikatae kuingia darasani kujifunza namna ukweli wa unavyoliona Jua.
Niulize maswali ya kuzihoji hoja...Na Usijiffunze kupitia ubishi.
Ninajibu maswali ili kila mwenye kuweza kuelewa na kujipa tafakuri imsaidie. hapa nataka tuwaze zaidi kwa akili zetu, tukimix na za darasani basi tuwe nazo zote za dunia mviringo na tambarare.
Kama una uliza juu ya usiku na mchana unavyopa tikana katika flatearth ina maana hauna elimu hiyo.. sasa kwanini unaibishia.?
sijakosea wala kubishana na wenzangu nimejibu kukupa picha rahisi.. sasa kama upo tayari nipe muda wakukufundisha hilo kama ulivyompa muda huo mwalimu aliyekufundisha katika shape ya dunia mviringo.