hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kupredict movement angani hakuifanyi Dunia iwe Tufe linalozunguka....Ingekuwa ina mapungufu isingetumika kutengeneza computer applications zinazoweza kupredict movement ya vitu angani.
Hiyo hapo juu ni moja wapo.Which Planets Can You See Tonight?
Choose tonight or another date and see which planets are shining in the sky above you or anywhere else.www.timeanddate.com
Mimi nachofikiri nadharia nzima ya dunia sahani ni useless kwa sababu hanipi chochote ambacho ni useful, itakapopatikana model inayofanyakazi hapo ndipo nitapobadili mtazamo wangu.
Sio rahisi kusema maswali ya mtu hayanalogic, ila yakiwa yanauliza kitu ambacho alishaelezewa hapo maswali hayo yanakosa logic.
Unachotakiwa ni kuthibitisha:-
1. Dunia ni Tufe ππΌ π
2. Dunia inazunguka.
Huwezi kuthibitisha hivyo vitu hapo juu Kwa kuuganisha dots Tu kama unavyofanya wewe....