hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Umeandika maelezo mengi ila kuna swali la msingi nimekuuliza hapo hujalijibu....👇🏼Obstacle unayoizungumzia ndo dunia yenyewe.
Ulijaribu kufanya hata hesabu kidogo kujiridhisha kuwa 60km sio significant kufanya usione objects kwenye sphere?
Nimekuwekea image hapo chini ikusaidie hesabu za kutafuta height ya obstacle 'b' inayosababisha p1 and p2 wasionane.
View attachment 2980288
Mkuu tokea lini reflection ikawa sababu ya mwanga kutofika eneo husika kwenye line of sight???
zaidi zaidi reflection inasaidia mwanga kufika eneo ambalo ulitakiwa usifike.
View attachment 2980290
Hebu niambie hapo reflection inazuiaje hizo red rays zisifike kwenye R kutokea S??
ukifikiria kwa makini hizo purple rays zinaprovide alternate route kama red rays zimekuwa blocked.
Kwenye propagation of light, reflection ni advantage na sio disadvantage, side mirrors za kwenye magari ni mfano mzuri.
Na sio light pekee yake hata radio waves, reflection ni advantage maana inasaidia redio signals kufika bila kutegemea line of sight.
Au huoni hata Meli ikisafiri kwenda Zanzibar inasafiri horizontally without any bending towards the curve mpaka pwani ya Zanzibar?
Na Kwa kuongezea,.Je, tukitumia Helicopter kufuatisha Meli Kwa juu yake mpaka inafika kwenye pwani ya Zanzibar tutaweza kuobserve effect ya curvature, na kuona jinsi Meli inavyo bend towards the imaginary curve?
Ili mjadala huu uwe na msingi,..inabidi usiache maswali ya msingi bila kujibu.