Juakali jr
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 737
- 1,740
Zina appear kama vitu vingine vyote vinavyoappear duniani.So,.. unataka kusema hizo water bodies zina appear Kwa shape gani?, Je, hazipo level?
Mwisho wa dunia si ni kule kwenye Ice walls? sijui kwanini kusingekua na kuta za miti, labla ni kwa kua maji yangetoroka.Mwisho wa Dunia ni wapi?
Naona vya kutosha, mfano mwepesi ni space station iliyo km 400 kutokea duniani, lakini taa za Zanzibar zilizopo approx 60 km kutokea kwenye pwani ya dar hazionekani.The same way huwezi kuona mwisho wa anga la Dunia au universe Kwa ujumla wake,.. ndiyo hivyo hata mwisho wa Dunia huwezi kuuona pia.