Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Mkuu nahisi hujaelewa swali, ukiachia kitu hewani kinashuka chini,
Katika picha yako ya maji ya mwagika kuiacha dunia, kwa nini na dunia isianguke kuyafuata maji?
Maana ukiacha kitu hewani iwe object iwe liquid uelekeo ni ulele.
Hapana nimemuelewa vizuri tu......

Na pia umeleta hoja nzuri.., kwenye case hii let's assume kweli Dunia ni Tufe na limetulia hewani even though tunaambiwa linazunguka Kwa kasi.....Sasa tukija kwenye case ya maji ambayo yapo attached na Dunia na wote tunajua jinsi maji yanavyo behave yakiwa kwenye object yenye umbo la Tufe....
Je, ni mechanism gani inafanya Maji yastick kwenye tufe linalozunguka?

NB:- ukileta hiyo mechanism usisahau kuambatanisha na uthibitisho.
 
Nakumbuka tumewahi kujadili kuhusu components zinazounda Mwezi,

Kwa kutumia mtazamo wako wa maji kumwagika kwenye Dunia tufe nna swali..

Swali,
Je umewahi kujiuliza ikiwa Mwezi unaonekana ukiwa juu ni kwanini components zake haziwezi kudondoka kuja kwenye uso wa Dunia ?

Kama uliwahi kujiuliza ulipata majibu gani ?
 
Je, Maji ni miongoni mwa components zilizopo kwenye Mwezi?

Au kuna component yoyote iliyo katika hali ya kimiminika(liquid) kwenye Mwezi,Jua, Nyota au object yoyote nyingine iliyopo angani?
 
Kila nitakachokirusha angani, kinarudi duniani, nikichimba duniani nakutana na mawe na mchanga.
Mawe na mchanga vina density kuliko dunia, kwanini dunia iweze kuwa suspended angani angali ni denser kuliko anga? (Regardless ya shape yake)
 
Je, Maji ni miongoni mwa components zilizopo kwenye Mwezi?

Au kuna component yoyote iliyo katika hali ya kimiminika(liquid) kwenye Mwezi,Jua, Nyota au object yoyote nyingine iliyopo angani?
Jibu swali langu direct
 
Kila nitakachokirusha angani, kinarudi duniani, nikichimba duniani nakutana na mawe na mchanga.
Mawe na mchanga vina density kuliko dunia, kwanini dunia iweze kuwa suspended angani angali ni denser kuliko anga? (Regardless ya shape yake)
Mawe na mchanga vina density kubwa kuliko Dunia,.? Mawe na mchanga ni miongoni mwa components zinazounda Dunia...so statement yako ambayo inaonyesha hizo ni objects mbili tofauti yenyewe haipo sawa....

Tukirudi kwenye hoja kama unakumbuka nilishasema hapa kwamba let's assume wote hapa Tumekubaliana kwamba Dunia ni Tufe na lipo angani linazunguka,..

Swali ni,..Je mechanism gani inafanya Maji yastick kwenye dunia Tufe linalozunguka? ukileta hiyo mechanism usisahau kuambatanisha na uthibitisho.

NB:- Nakumbusha nimekubali Dunia ni Tufe linalozunguka,....lete majibu ya swali nililouliza sasa.

Ahsante.
 
Nilimaanisha mawe na mchanga navyoviona vinatengeneza dunia vinadensity kuliko anga.
Kwanini dunia iliyodenser kuliko anga iweze kuwa suspended angani?
Mimi sijui kitu mkuu, nisaidie nielewe mkuu.
 
Nilimaanisha mawe na mchanga navyoviona vinatengeneza dunia vinadensity kuliko anga.
Kwanini dunia iliyodenser kuliko anga iweze kuwa suspended angani?
Mimi sijui kitu mkuu, nisaidie nielewe mkuu.
Umejuaje kama Dunia ipo angani?
 
Mkuu, mimi sijui kitu, wewe nipe elimu tu.
Dunia ipo wapi?
Kama hujui kitu kwanini ulisema Dunia ipo angani sasa?

Mimi pia sijui ndiyo maana nimekuuliza umejuaje kama Dunia ipo angani?

Mimi pia nataka elimu toka kwako,.. na ndiyo maana nauliza ili nifahamu.
 
Kama hujui kitu kwanini ulisema Dunia ipo angani sasa?

Mimi pia sijui ndiyo maana nimekuuliza umejuaje kama Dunia ipo angani?

Mimi pia nataka elimu toka kwako,.. na ndiyo maana nauliza ili nifahamu.
Nilikua confused tu mkuu, ki uhalisia sijui kitu.
Ndo maana nafikiri elimu yako ni muhimu sana kwangu na kwa wenzangu ambao wapo confused kama mimi.
Dunia ipo wapi?
 
👂
 
Attachments

  • %23%F0%9F%8C%BB%0A%E5%AE%AE%E5%8F%A4%E5%B3%B6%E3%81%AE%E8%8A%B1%E3%81%AF%E3%82%AD%E3%83%AC%E3%...mp4
    10.2 MB
Nilikua confused tu mkuu, ki uhalisia sijui kitu.
Ndo maana nafikiri elimu yako ni muhimu sana kwangu na kwa wenzangu ambao wapo confused kama mimi.
Dunia ipo wapi?
sio kwamba ulikua confused bali hivyo ndiyo ulivyoambiwa na ukaamini kwamba Dunia ipo angani......................Mimi sijui exactly dunia ipo wapi so mtu au taasisi yoyote ikija na kusema Dunia ipo sehemu fulani siwezi kubisha moja kwa moja bali nitauliza maswali ya msingi kama nilivyofanya kwako..
 
Yani hapo unajiona ulitoa majibu ?
uliuliza hivi ..... "Je umewahi kujiuliza ikiwa Mwezi unaonekana ukiwa juu ni kwanini components zake haziwezi kudondoka kuja kwenye uso wa Dunia ?"

Nikakujibu hivi.... "Je, Maji ni miongoni mwa components zilizopo kwenye Mwezi?
Au kuna component yoyote iliyo katika hali ya kimiminika(liquid) kwenye Mwezi,Jua, Nyota au object yoyote nyingine iliyopo angani?"

Sasa kwa bahati mbaya ili uelewe kwamba jibu langu linajibu swali lako moja kwa moja, unapaswa utumie akili ya ziada.
.
 
Turudi nyuma nikuulize swali,

Point yako ( swali lako ) kuwa maji yanaweza vipi kustick kwenye Dunia tufe hii dhana inahusu maji pekee ?

Kwa maana hiyo haihusu other components kama mawe, pamoja na viumbe hai kama binadamu na wanyama ? Yani dhana ya swali lako inahusu maji tu ??
 
Ndiyo kwasasa point yangu ipo kwenye Maji,....
 
Mkuu, yani nategemea kupata elimu kutoka kwako kumbe na wewe hujui!
Sasa unaweza je kuwa mtoa elimu angali elimu unayotakiwa kuitoa huijui?
 
Umeambiwa kwamba ni gravitation ndio inasababisha vitu vi stick kwenye dunia tufe lakini hutaki, haya ni matatizo yako binafsi ya kukataa

Haya tuelezee wewe ni mechanism gani inatumika kufanya dunia sahani kustick sehemu moja inaelea na mechanism inayofanya jua na mwezi kuzunguka juu ya uso wa dunia sahani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…