hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hapana nimemuelewa vizuri tu......Mkuu nahisi hujaelewa swali, ukiachia kitu hewani kinashuka chini,
Katika picha yako ya maji ya mwagika kuiacha dunia, kwa nini na dunia isianguke kuyafuata maji?
Maana ukiacha kitu hewani iwe object iwe liquid uelekeo ni ulele.
Na pia umeleta hoja nzuri.., kwenye case hii let's assume kweli Dunia ni Tufe na limetulia hewani even though tunaambiwa linazunguka Kwa kasi.....Sasa tukija kwenye case ya maji ambayo yapo attached na Dunia na wote tunajua jinsi maji yanavyo behave yakiwa kwenye object yenye umbo la Tufe....
Je, ni mechanism gani inafanya Maji yastick kwenye tufe linalozunguka?
NB:- ukileta hiyo mechanism usisahau kuambatanisha na uthibitisho.