Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kutoka google;

The distance between the north and south poles is approximately 7900 miles while the equatorial diameter is slightly larger at 7930 miles
vizuri,...kama unasema Dunia haina ukomo kwanini ukubwa wake usiwe referred as infinity?

kitu kisicho na ukomo huwezi ukasema eti kina distance fulani.... tumia akili yako vizuri mzee.
 
vizuri,...kama unasema Dunia haina ukomo kwanini ukubwa wake usiwe referred as infinity?

kitu kisicho na ukomo huwezi ukasema eti kina distance fulani.... tumia akili yako vizuri mzee.
Hapa hapa nataka nikuulize swali,
 
Au unataka kusema ukomo unaanza baada ya ile occupied space ? nmekuongezea point ya kutetea hoja yako
Yes,..Hiyo ndiyo maana ya ukomo......
occupied space!!

Unakosea unaposema eti dunia tufe πŸ‘‰πŸΌπŸŒ haina ukomo "edge"

Nadhani sasa umejua nini maana ya ukomo.

So, kimsingi ni kwamba kama unataka watu wakuletee edge of the flat earth,... itabidi uanze wewe kuonyesha edge of a spinning ball.
 
Mimi na wewe tunapishana sehemu moja,

Mimi natazama ukomo into it's own

Lakini wewe unatizama on....or in...
 
Ndiyo maana nikasema hujui maana ya ukomo....
Usiseme sijui maana ya ukomo,

Ila wewe umetengeneza maana yako na umeshikilia point hiyo....

Okay twende na maana hiyo hiyo...Ukomo wa Dunia ambayo ni flat kwa mtazamo wako, ni wapi ? ni nchi gani zimepakana na huo ukomo au kingo za Dunia flat ?
 
Kwani ukomo wa Dunia tufe wewe ushawahi kuuona?

kama hujawahi kuziona relax...
 
So hii hoja ya Dunia ni flat isiyo na mwisho wewe umebuni tu ?
Hapana sijabuni,. currently hakuna tafiti yoyote inayoonyesha mwisho wa dunia.....so mpaka hapo huwezi kuhitimisha kusema dunia ina mwisho, bali utasema mwisho wa dunia ni unknown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…