abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Very good question!Why Don’t Planes Just Go Up and Stay Still and Wait for the Destination to Come Because the Earth is Spinning/Rotating?...... abdulrahman Said
Wewe unaona kabisa the sun moves relative to Earth, mwezi unamove relative to Earth, some days ziko na baridi some days ziko na joto doesn't that indicate position of Earth relative to the sun changes?Sawa unaniita mimi Idiot,..Lakini je ni nani Idiot kuzidi yule ambae anadai kitu fulani kipo kwenye motion lakini hana kitu cha ku compare motion yake kwacho?? Wewe unaposema Dunia ipo kwenye motion umefanya comparison na nini?.........Na aliyekuambia ili ujue kitu fulani kipo kwenye motion lazima ufanye comparison na kitu kingine ni nani??
Na tunasema hii imesimama kwasababu ile inatembea,....Hujawahi kupata ushahidi wowote kwamba Dunia inatembea,..umeshikiwa akili ukaambiwa Dunia inatembea umekubali na unataka kila mtu aamini hivyo,.. Jitahidi kufikiria vizuri.
Sasa weight ni nini mzee mbona unamaswali ya kijinga?Vizuri sana,..kumbe unajua kama weight ndiyo inavuta vitu chini,..sasa huo uongo wa kusema gravity ndiyo inavuta vitu chini umeutolea wapi?
NB: Does beam balance depend on gravity?
Kwahiyo unakubali kwamba hakuna picha wala video halisi iliyo capture dunia nzima from end-to-end, ili tuhitimishe dunia ni tufe linalozunguka?Sasa hata ukiletewa si utaita AI generated kwanini nijisumbue kufanya hivyo? Watu wenye ubongo mdgo kama wewe ni kwenda na nyinyi hivi hivi tu mtaelewa mpaka mavi yatoke kichwani humo,
Unavyosema unataka kuona end to end unamaanisha nn? Kwamba wewe ukipiga picha saivi tunakuona mbele na nyuma ama? 😂
Maharage ya wapi sijuwi hayo, huu mdahalo ningesuggest ufanyike live kwa zoom/Google meeting nikunyonyoe vizuri, ongea na flat eathers wenzako, pawepo na watu wakusikiliza na wafatiliaji pembeni tuongee kwa hoja
Kwahiyo haiwezekani kabisa kitu kimoja kuwa stationary while kitu kingine kina move?...... wewe ukiwa kwenye gari ambayo ipo kwenye mwendo kisha mimi nikiwa nimepanda juu ya mti.....Mimi nitakua sahihi kusema Mti pia una move kisa tu nimeliona Gari liki move?Wewe unaona kabisa the sun moves relative to Earth, mwezi unamove relative to Earth, some days ziko na baridi some days ziko na joto doesn't that indicate position of Earth relative to the sun changes?
This simole logic, tukuweke kwenye boksi alafu ufungiwe ndani then lirushwe kwenye space liende kwa constant speed na ww huwezi kuona nje unahisi utajuwa kama unamove???
Usikaze kichwa keep an open mind, huwezi kujuwa kama unamove unless ulinganishe na kitu kingine.
Hata ukiwekwa kwenye box kisha ufungiwe na urushwe kwenye space,..likienda kwa constant speed still utajua kama una move,...Human senses are so strong with some form of electrical impulses!This simole logic, tukuweke kwenye boksi alafu ufungiwe ndani then lirushwe kwenye space liende kwa constant speed na ww huwezi kuona nje unahisi utajuwa kama unamove???
Usikaze kichwa keep an open mind, huwezi kujuwa kama unamove unless ulinganishe na kitu kingine.
Hahhh,..Kwahiyo Ndege na Dunia zina move Kwa Speed Sawa?Very good question!
This is relativity, Earth inarotate along with everything on its surface ndo mana hata wewe hujioni kama unamove, jaribu hii ukiwa ndani ya gari inamove kwa constant speed rusha kitu juu then uone kitaenda nyuma au kitarudi pale pale kwenye mkono wako?
The same kwa ndege, inamove along with Earth at the same speed kwasababu tayri ilikuwa kwenye uso wa dunia
Nimekuuliza Beam Balance inategemea gravity,.....?Sasa weight ni nini mzee mbona unamaswali ya kijinga?
Weight ni total gravitational pull kitu kinaweza kukutana nayo, weight ya kitu inategemeana na gravity na mass (uzani), nakuoa simple task nenda kajaribu.
Chukuwa mzani ingia nao kwenye lift, pima uzito wako kabla lift haijaanza kwenda alafu pima tena ikianza kwenda juu then ikienda chini alafu uone uzito utakaouoata ni ule ule?? Na unahisi kwanini umekuwa tofauti lift ikianza kwenda!
WEIGHT NI JUMLA YA NGUVU YA UVUTANO MASS INAKUTANA NAYO
Mimi natengeneza link, kama unatak leo arrange mambo yako tufanye!Kwahiyo unakubali kwamba hakuna picha wala video halisi iliyo capture dunia nzima from end-to-end, ili tuhitimishe dunia ni tufe linalozunguka?
Ukitaka mdahalo sawa tu,..waite wenzako wa dunia tufe nitatengeneza link ya google meeting tufanye mdahalo ili tumalize utata...
Wewe mbona huelewi!Kwahiyo haiwezekani kabisa kitu kimoja kuwa stationary while kitu kingine kina move?...... wewe ukiwa kwenye gari ambayo ipo kwenye mwendo kisha mimi nikiwa nimepanda juu ya mti.....Mimi nitakua sahihi kusema Mti pia una move kisa tu nimeliona Gari liki move?
Stupid! Siwezi kujibu huu upuuzi, you simply opted to go against common senseHata ukiwekwa kwenye box kisha ufungiwe na urushwe kwenye space,..likienda kwa constant speed still utajua kama una move,...Human senses are so strong with some form of electrical impulses!
Kwaiyo wewe unahisi imekaa, ushawahi kuona space stations zinavyorusha rocket zake? Or do you even know about rocket science??Hahhh,..Kwahiyo Ndege na Dunia zina move Kwa Speed Sawa?
NB: Hapa ndiyo umejiweka kwenye kitanzi sasa,,,,,umejaa kwenye mfumo.
Sasa wewe unazani inaweza kufanya kazi bila gravity? Mbona unakuwa mjinga.Nimekuuliza Beam Balance inategemea gravity,.....?
Naamini unajua inavyofanya kazi....
Hujajibu swali......Kwahiyo Ndege na Dunia zina move Kwa Speed Sawa?Kwaiyo wewe unahisi imekaa, ushawahi kuona space stations zinavyorusha rocket zake? Or do you even know about rocket science??
Eti umejaa kwenye mfumo, na unacheka kama lijinga kitu usichoelewa! Pumbavu kabisa.
Labda kama umewahi pia kurusha rocket yako utapingana pia na maelezo ya waliowahi kurisha rockets
Sio ndege tu, hata wewe hapo ulipo unamove along with the earth.Hujajibu swali......Kwahiyo Ndege na Dunia zina move Kwa Speed Sawa?
Wewe ndiyo huelewi,...nimekupa mfano na swali rahisi tu.........ipo hivi...Ikiwa wewe upo kwenye Gari inayotembea then mimi nipo juu ya mti,...Nitakua sahihi kusema mti pia una move?Wewe mbona huelewi!
Ukiwa kwenye gari inayotembea ukaangalia mti kwa nje wewe wa kwenye gari utaona mti unamove relative to you, mbona ni simole observation iyo kichwa chako kina nini ushindwe kuelewa!
.
Leta email twende live hii kutumia text mara umetoka online mara huonekani sioni faida yake, toa email niandae hapa uwaite na hao wenye mavi wenzako tuanze mdahalo
Huelewi unachoongea! Sasa wewe upo kwenye mti uliostationary utaona vipi kama mti unatembea??Wewe ndiyo huelewi,...nimekupa mfano na swali rahisi tu.........ipo hivi...Ikiwa wewe upo kwenye Gari inayotembea then mimi nipo juu ya mti,...Nitakua sahihi kusema mti pia una move?
Naona umekariri mtu akiwa kwenye gari,..vipi mtu akiwa kwenye mti....soma swali elewa kisha jibu..........
Uzani Upi Siku hizi kuna Digital measure hatutumii Spring tenaSasa weight ni nini mzee mbona unamaswali ya kijinga?
Weight ni total gravitational pull kitu kinaweza kukutana nayo, weight ya kitu inategemeana na gravity na mass (uzani), nakuoa simple task nenda kajaribu.
Chukuwa mzani ingia nao kwenye lift, pima uzito wako kabla lift haijaanza kwenda alafu pima tena ikianza kwenda juu then ikienda chini alafu uone uzito utakaouoata ni ule ule?? Na unahisi kwanini umekuwa tofauti lift ikianza kwenda!
WEIGHT NI JUMLA YA NGUVU YA UVUTANO MASS INAKUTANA NAYO