abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Mzee nikikwambia kichwa chako umeweka mavi nakosea? Sijakwambia siwezi kuthibitisha kama dunia ni tufe mpaka aje mtu mwingine aseme! Nilichopinga ni kuthibitisha dunia ni tufe ama sio tufe simply kwa kuconclude kutoka kwenye milango ya fahamu huo ni upungufu wa akili science doesn't work that way,Safi umemfafanulia vizuri zaidi,..... abdulrahman Said unakubali kwamba wewe huwezi kuthibitisha Dunia ni tufe linalozunguka bila kutegemea mtu mwingine akuambie kama asemavyo DR Mambo Jambo hapo juu?
NB:- Unfortunately hata huyo anaekuambia pia hawezi kuthibitisha zaidi ya kumtegemea mwingine and that goes to infinity...
Nataka tuthibitishe kupitia theories and laws of nature and this is the most logical reasoning we can make ila wewe ukaamua kupinga na kutaka kutumia milango ya fahamu kitu ambacho ni upuuzi na ndo ukafanya mpaka mjadala ufike huku.