abdulrahman Said Hujibu maswali Yangu ila Unajitungia Maswali yako Na unayajibu..
Maswakinyangu yote hakuna Hata Moja ulilojibu 😅😅
Ila umejitungua Maswali yako ukayajibu kw Maelezo kibao ila Hakuna Hata swalimlangu Moja ulilojibu...
Sasa Narudia Tena Rudi kayasome Taratibu Bila Hasira wala Ngendembwe utaelewa tu..
Umeuliza Kuhusu Maana Ya Projection Sasa Nakujibu
Projection is a method for representing a curved surface,kama Ilivyopresentiwa the earth, na Mercator na wengine on a flat surface, like a map. It can also refer to the image or diagram created by this process
Sasa Umesema Alitumia Sijui maths and so on...
Lakini hakuna History yoyote iliyomuonyesha Gerardus Mercator Kuwa Alikuwa Mathematician Zaidi alikuwa Cosmographer na Cartographer yaami Mchoraji na Cosmo studies...
Sasa Mchoraji hakuwahi kutembea kwenda Kutafuta Measurements ila alitengeneza Spherical Earth ambayo Ramani yake ndo inatumiwa mpaka leo..
Kama Ukishindwa Swali Sema nimeshindwa inatosha kutunza Heshima Yako Engeneer