abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Halafu usinilete video za upuuzi hapa, toa points acha kuleta upuuzi wa mtu fulani aliyeamua kuwajaza ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeenda NASA umekuja umesema ni AI generated sas mimi unataka nikule picha gani utakazoziamini?? Siwezi kurudia upuuzi,Sawa,.. hizo picha na video za Dunia zinazothibitishà kwamba Dunia ni tufe linalozunguka zipo wapi... unaweza kutusaidia tafadhali..
Dah mkuu,.. kwamba huna uhakika pia kuhusu Jua ndiyo linaloangazia Dunia,?...... Ngoja nikupe observation rahisi ili uthibitishe kwamba Jua ndiyo linaloangazia Dunia fikiria kwanini tukio la kupatwa kwa Jua hupelekea Giza Duniani... ? Ukishapata jibu hapo kuanzia leo utaondoa doubts zako about what lights up the day on earth.
Kupatwa kwa jua mwezi unakuwa kati kati ya jua na dunia what If I say mwezi ndio mkubwa kuliko every thing else thus why it Abstract light from reaching the Earth including the sun itself which is just part of the system that receives the light?? Kwanini wewe ukakimbilia jua ndo linatoa mwanga !Sawa,.. hizo picha na video za Dunia zinazothibitishà kwamba Dunia ni tufe linalozunguka zipo wapi... unaweza kutusaidia tafadhali..
Dah mkuu,.. kwamba huna uhakika pia kuhusu Jua ndiyo linaloangazia Dunia,?...... Ngoja nikupe observation rahisi ili uthibitishe kwamba Jua ndiyo linaloangazia Dunia fikiria kwanini tukio la kupatwa kwa Jua hupelekea Giza Duniani... ? Ukishapata jibu hapo kuanzia leo utaondoa doubts zako about what lights up the day on earth.
Sasa Mfano usiolingana Haufai Kuwa Mfano..Ungepitia texts ungeelewa maana ya mfano na mfano ulilenga kitu gani.
Nitarudia, nililetwa duniani kwajili ya haya mambo.
Sijatoa huo mfano kumaanisha kwamba sisi tupo ndani ya dunia la hasha, nimetoa mfano kuonesha huwezi kuthibitisha au kuweka conclusion juu ya state ya motion yako simply kwa kupitia milango ya fahamu. Nikatoa mfano wa boksi, mtu aliye kwenye boksi hawezi kuhitimisha kwamba yeye hamove eti kisa mule ndani anajiona hamove ametulia what if the box itself is uniformly moving in space???
Nieleweke hapo, sijatoa mfano kulinganisha na dunia nimetoa mfano kupinga hoja ya kutumia milango ya fahamu kuthibitisha kama dunia ni flat or inamove huo ni uongo, any man with sense hawezi kufanya hivyo
Hizo ulizoelezea Ni theory baada ya Kugundulika kwa Maths na Technology mbalimbali Ila usisahau theory nyingi ni Before that hao walifanyaje?Saafi!
Tuanze hapo kwenye kunullify theory, nimekwambia theories are like models kweny engineering mtu anaweza kuhypothesize without considering other conditions which at some point could affect the behaviours of the model. For instance, naweza kuwork on a theory kuhusian na energy ya gas molecules bit kwenye theory yangu at some point nikaconsider a motion of a gas molecule in one dimension or nika assume the molecules are far apart in a way no visible interaction is detected between molecules.
Nikafanya experiments zangu with support of Math's, at some point utaona theory yangu itawork vizuri kwenye condition maybe molecules zipo in a very steady motion at very low energy state but at higher energy utaona inaanza kuenda tofauti na ukweli kutokana na nini, niliconsider motion ya molecules kwenye dimension moja and other stuffs
Hiyo tunafanya sana kwenye science kwenye kuunda theory na models and zinawork to some extent but not accurate, sasa anaweza kuja mtu mwingine yeye akazingatia motion ya molecules in all three dimensions akazingatia pia na interaction this theory will be more accurate kuliko ya kwangu to that point tutaachana sasa na yangu tutafata iyo nyingine and mine will be null.
Theory zinatofautiana accuracy depending on the level of simplicity and neglecting of some parameters of the real world entities, theory haipingwi kwa kusema eti nimeona kwa macho sio sahihi huo ni ushuzi
Hivi Unaelewa Kuwa Hujajibu Swali ila Umeejielezea Wewe Kuwa Unasoma Engeeneer?Japi sijaelewa keypoint kwenye swali lako, ila ntakujibu kama hivi
1. I hope unaposema projection unaelewa maana yake ?
2. Theory ya spherical earth imeanza zamani tangu enzi za ugiriki ya kale. conclusions were made through geometrical analysis of the Earth's surface, Geometry was very famous field back in ancient time(hope unaelewa ni nini Geometry), Kina pythagoras and other Early mathematicians wamepiga sana geometry enzi izo, kuna watu waliweza kuestimate hadi radius ya dunia enzi izo, usifikiri watu wamekuja tu kuona saivi kuoitia nasa ndo wakasema ni sphere, picha za nasa zinathibitisha tu hii theory ya spherical earth ambayo imekuwepo miaka mingi.
(Niweke maelezo hapa, hakuna aliyeconclude kama earth ni sphere simply kwa kuamua tu. It happens kwenye muktadha unakuta unashindwa kupata majibu unayotaka au vipimo sahihi kutokana na wewe uliassume Earth ni flat)
Ntatoa mfano, Luckily I'm Majoring in engineering, iko hivi tukiwa tunadesign infrastructure za kutransmit microwave between towers for long distance communication kitu tunachozingatia ni spherical nature of the earth. Ukikosea tu kuset or microwaves hazifiki mnara wa pili
Hili ni tatizo tunalokutana nalo sana, na ndo mana nashangaa watu kama nyinyi mkijakusema Earth ni flat
(unaposema internal awareness unamaana gani) Mimi pia nakushangaa unaposema science inaongozwa na beliefs mzee,
Mfano tu, tunapofanya research kuna kitu kinaitwa bias. Hutakiwi kuforce kile unachoamini eti ndo iwe conclusion then what's the point for a reasearch? Hata unapofanya experiment na kukusanya data, the moment ulikuwa na bias basi hutofikia conclusion sahihi.
Kuna kitu tunaita pseudo science, huenda ndo mnayoizungunzia nyinyi. Sisi scientist hatuizingatii hii kama science ni uongo. It claims to be science but it is not science. Mfano mambo ya unajimu, hawa watu wa sijuwi cancer sijuwi sagittarius na madude menginw, wenyewe wanadhani ni science but HELL NO! hizi mostly ndo zinakuwa derived from beliefs.
Science haitokani na beliefs mzee, one of the rule kwenye kufanya scientific research ni lazima uabandon personal beliefs and inference and keep an open mind
Ndiyo nataka kujua Hizo theory accuracy yake na Unaweza Vipi kuthibitisha Accuracy ya Kitu ambacho hujawahi kukichunguza Kutumia Theory ya Mtu ambaye naye hajawahi Kuchunguza???Halafu sikuona hadi chini.
Temperature ya jua, umbali kutoka kwenye jua was entirely estimated from Math's by observing period of the Earth and temperature of the Earth with stefan's law unaestimate vizuri kabisa temperature ya jua
.
I did most of these enzi niko nasoma, kuna theories kibao with Mathematical backing unazotunia kuestimate temperature ya jua kitu ambacho mwenzako hateeb10 anapinga
Kwanini Unatumia Neno Think na Una uhakika Kitu ambacho una uhakika Nacho kwanini Utumie Imagination ?Mkuu niliposema inamove at constant speed huenda hukunipata nilimaanisha nini? Kitu kikishaanza kutikisika si tayri kipo kwenye oscilatory motion? Sasa kuna oscilatory motion ambayo spidi ni constant???
Just close your eyes, start thinking of yourself inside a box moving veru steadily at constant speed.
The only thing you can feel ni acceleration (change in speed) as we have inertia lakini kama speed haibadiliki huwezi kufeel chochote, ndo sawa na dunia it has constant speed how are you expecting to sense kama inamove meanwhile you're also moving with Earth?
Akili za kushikiwa kivipi?,.. Kujua kwamba Dunia Ipo stationary na flat sio mpaka uambiwe hata mtoto mdogo ambae bado hajamezeshwa nadharia za kutunga atajua tu.Ndo mana nasema,
Mnasikiliza maneno ya watu!
Mzee hii kitu nimeshaongea naona bado huelewi, nimekwambia huwezi kuthibitisha kama dunia ni flat simply kwa kusema eti umeona kwa macho. Wewe unamatatizo gani?
Mbna ni kitu cha kufikiria tu kwa akili za kawaida!!? Sasa iyo video ndo inaonesha nini? Unakuwa na akili za kushikiwa kama mtu hafikirii, simply put, how is it possible kwa hizo Jua, stars etc kuzunguka dunia.
Nmekupa mfano rahisi, a periodic function (maybe huelewi function ntakupa mfano mwingine)
Jaalia unagari linazunguka around a circular path, katika hiyo njia tuweke moto pahala na barafu pahala in that case kila baada ya muda flani kupita itapita tena kwenye moto na kwenye barafu kwa kujirudia. Hapa duniani kila baada ya 365 days siku zinajirudia zinaanza upya can't your sense tells you the Earth is in a periodic motion??
Nakupa mfano mwingine, nilikwambia chukuwa jiwe funga na kamba alafu shika kamba kwa mkono wako, mkono ukiwa chini inua juu jiwe halafu liachie likiwa juu linafanyaje? Si linaanguka, sasa anza kuzungusha ile kamba katika mduara jiwe litaanguka?
Sasa wewe flat Earther nkikuuliza nini kinashikilia dunia isianguke chini utasema ni kitu gani???
Upuuzi mkubwa zaidi ni kuona kwamba kila kitu kinachoenda tofauti na unachoamini wewe ni upuuzi...Halafu usinilete video za upuuzi hapa, toa points acha kuleta upuuzi wa mtu fulani aliyeamua kuwajaza ujinga
Sijawahi kuiona zanzibar nikiwa ferry! Meli inapoingia huwa naona bendera kwanza halafu meli inaanza kuonekana taratiibu kuanzia juu . Naomba nijibu hapo.Akili za kushikiwa kivipi?,.. Kujua kwamba Dunia Ipo stationary na flat sio mpaka uambiwe hata mtoto mdogo ambae bado hajamezeshwa nadharia za kutunga atajua tu.
Watu wa Dunia tufe ndiyo mmeshikiwa akili,.. you can't prove your claims until someone/organization(s) says so....
Hivi,.kati ya Kuona kwa macho + logic, na kuambiwa tu kwamba Dunia ni tufe linalozunguka kisha ukaamini.., Njia ipi ni sahihi kwako kuifuata?
kwanza size ya Mwezi na Jua inaonekana haipishani sana,.... kisha usiseme MWEZI una abstract light from reaching the earth unapaswa unyooshe maelezo kwamba Mwezi una abstract mwanga wa Jua kufika Duniani, that's why kadri Mwezi unavyoliachia Jua Mwanga unaanza kuonekana!! na huo ndiyo uthibitisho tosha kwamba Jua ndiyo linalotoa mwanga wake duniani.Kupatwa kwa jua mwezi unakuwa kati kati ya jua na dunia what If I say mwezi ndio mkubwa kuliko every thing else thus why it Abstract light from reaching the Earth including the sun itself which is just part of the system that receives the light?? Kwanini wewe ukakimbilia jua ndo linatoa mwanga !
I'm not saying jua halitoi mwanga najaribu kukuonesha jinsi ulivyokuwa na matatizo kwenye critical thinking
Unaposema mfano ulingane na umbo halisi point yako ni nn?Sasa Mfano usiolingana Haufai Kuwa Mfano..
Mfano ili uwe mfano au kifani ni Lazima Ulingane na Umbo halisi
Math ilikuwepo tangu kabla ya yesu, sasa unapotoa mfano wa miaka ya 1500 kwamba unafikiri kipindi hiko hakukuwa na Math?Hizo ulizoelezea Ni theory baada ya Kugundulika kwa Maths na Technology mbalimbali Ila usisahau theory nyingi ni Before that hao walifanyaje?
Kuziibua Hizo theory?
Usikaze Shingo sheikh Mfano Ruthaf... na Kina Niegel theory Nyingi ziliibuka miaka ya 1500 na 1700 na 1800 it was before Technology Evolvements
Pitia vizuri utaelewa, nimekwambia what was gour key point? Kwamba alikuwa amekaa wapi ndo nini? Nimekwambia theory za spherical earth zilikuwepo tangu kabla ya cristo sasa kushangaa amejuaje kama Earth ni sphere tangu miaka ya 1500's sielewi unashangaa kitu gani??Hivi Unaelewa Kuwa Hujajibu Swali ila Umeejielezea Wewe Kuwa Unasoma Engeeneer?
Nimekuuliza Kwanini Bado tunatumia Ramani ya Mwaka 1500s na Maswali mengine hapo Juu Ila hujajibu Insteady umenieleza Kuwa wewe ni Engeeneer Mimi Pia Ni Daktari Majoring Paediatric Specified In Neonatology...😅😅😅
Enough of the Introduction..Can we Sticks to the Question please
Hapana ! Hapana! Hapana!Soma Swali.kabla Ya Kujibu hayo unayoyaongelea Ni Sayansi ya Sasa Hivi na sio ya Zamani zamani hakukuwa na Maendeleo makubwa Hivyo Mtu alikuwa akiwaza kitu au akiona Kitu kwenye Jamii.kinaaminika basi anakiprove factuality..
Reseaech miaka ya Karne ya 4 ilifanyikaje? Au karne ya Tano??..
Newton alipodondokewa na Apple Hiyo haikuwa Internal Awareness??
Kwamba Aliamini kwamba Huyo sio Mungu alieangusha Tunda Ila kuna nguvu imeangusha Hilo tunda Ngoja nikatafakari ni Nguvu gani limeangusha Tufaa?
Hapo sasa ndo upuuzi, umekaa tu ukafikiria ni 5000Km unahisi theory zinatungwa kwa kukaa tu na kufikiria kisha kufika conclusion??Ndiyo nataka kujua Hizo theory accuracy yake na Unaweza Vipi kuthibitisha Accuracy ya Kitu ambacho hujawahi kukichunguza Kutumia Theory ya Mtu ambaye naye hajawahi Kuchunguza???
Ametumia Only maths..
Mimi ninaweza Kusema Nilipo Hapa Chicago Maybe mpaka Hapo.Dar Ni kilometer 5000 nikatunga Theory kusaport nachowaza na Nikaithibitisha Theory hiyo je theory itakuwa na Ukweli wakati sijawahi kufika Dar Nikitokea Chicago...
Sometimes tusiwe Wajinga wa Kushikiwa Mawazo tujitahidi Kureason kila kitu..
Jiulize Huyo.aliyekutungia Hizo theory alifika Mwezini? hapana, Ila alifanga maths estimation!
Then jiulize Maths Estimation aliyofanya Is It accuracy enough to relay in?
Vipi kama Amekupotosha??
Siujui umeelewa ulichokiandika??Kwanini Unatumia Neno Think na Una uhakika Kitu ambacho una uhakika Nacho kwanini Utumie Imagination ?
Nabase na common sense tu mzee, dp you think every thing is just how you see? Wewe mbona unamatatizoAkili za kushikiwa kivipi?,.. Kujua kwamba Dunia Ipo stationary na flat sio mpaka uambiwe hata mtoto mdogo ambae bado hajamezeshwa nadharia za kutunga atajua tu.
Watu wa Dunia tufe ndiyo mmeshikiwa akili,.. you can't prove your claims until someone/organization(s) says so....
Hivi,.kati ya Kuona kwa macho + logic, na kuambiwa tu kwamba Dunia ni tufe linalozunguka kisha ukaamini.., Njia ipi ni sahihi kwako kuifuata?