Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
KInachokufanya upaniki ni nn?
Kwamba wewe unazani mimi naweza kupanik?
Mi nshawaambia nililetwa kuwafundisheni watu kama nyinyi, nakutanaga sana na watu wenye shida kama yenu iyo

Ama kuongea ukweli kama unamavi kichwani ni kupanick? Mzee jibu swali kwanza acha kujibu vitu vya ajabu. Unaamini picha za xray na ultrasound!?
Mkiambiwa mna mavi wabishi, unaweka hoja hoja inapingwa inawekwa hoja nyingine hujibu unazunguka sasa huoni kama afya ya akili inashida hapo shekhe?
 
Picha za xray na ultrasound hazina shida
 
Sasa kwanini unaziamini meanwhile unafahamu kama zinafanyiwa reconstruction halafu huamini picha za NASA kwasababu zinafanyiwa reconstruction ?
 
ULtrasound na xrays, hiz nime aprove hata kwa macho, mfano hizo ultrasound ukiscan 2D ukitransform into 3D ukaenda kuangalia na object ni the same kila kitu mpaka dimensions
 
Kwaiyo zile huamini kwasababu hujawahi kuona or kwasababu zimefanyiwa reconstruction? Unaenda kinyume na maelezo yako ya awali. What is your point?
 
Dunia ni flat and Stationary kama unavyoiona......Unazungumzia Curvature ukiambiwa uthibitishe the exact point ward/street ambapo Dunia inaanza ku curve utaweza?

Unachojua ni kutamka neno mavi tu,...hapo ndipo ubora wako ulipo.
 
Narudia tena iingie vizur kwenye kichwa chako.
Sio mimi tu mtafute mtu yeyote mwenye taaluma ya uhandisi wa mawasiliano aliyewahi kufunga microwave transmitters kwa mawasiliano ya masafa marefu atakwambia jinsi tunavyohangaika kuziset kutokana na curvature ya dunia. Hizi dishes lazima ziangaliane ndo signal itoke mnara mmoja kwenda mwengine, sasa wewe huna experience yoyote uliyothibitisha kwa vipimo ikakuonesha Earth ni flat halafu unabishana huoni kama una mavi?
 
kwahiyo distance kutoka microwave transmitter moja kwenda nyingine ipo affected na curvature?

Umbali wa Dar es Salaam mpaka Kigoma upo affected na curvature?....Kama jibu ni "NDIYO" railway line imetandikwaje horizontally toka DSM kwenda Kigoma?
 
Dunia ni flat and Stationary kama unavyoiona......Unazungumzia Curvature ukiambiwa uthibitishe the exact point ward/street ambapo Dunia inaanza ku curve utaweza?

Unachojua ni kutamka neno mavi tu,...hapo ndipo ubora wako ulipo.
Akithibitisha Hili Mniite..
Tofauti na Kusema Mathe na theory athibitishe Dunia Mahali fulani inaanza Kuwa Curved
 
Nadhani bado anapambana kufungua mafaiili ya nadharia kuona Ipi itathibitisha kuhusu hilo......

abdulrahman Said Ukipata uthibitisho urudi hapa utuambie the exact street/ward ambapo Dunia inaanza ku curve.
 
kwahiyo distance kutoka microwave transmitter moja kwenda nyingine ipo affected na curvature?

Umbali wa Dar es Salaam mpaka Kigoma upo affected na curvature?....Kama jibu ni "NDIYO" railway line imetandikwaje horizontally toka DSM kwenda Kigoma?
Nimeshakujibu sioni haja ya kuendelea tena kukuelezea, nitakujibu tena NDIYO
 
Nadhani bado anapambana kufungua mafaiili ya nadharia kuona Ipi itathibitisha kuhusu hilo......

abdulrahman Said Ukipata uthibitisho urudi hapa utuambie the exact street/ward ambapo Dunia inaanza ku curve.
Sioni haja ya kujaza text, nimeweka link ya kufanya live meeting hamjajoin sasa kwanini kama mnajiamini hamtaki kufanya live?
Weka ratiba zako nitafuteni tafuta mashuhuda njoeni na wenzako wote wa flat Earth. Msipokuja na hapa basi kuendelea kutuma humu ni upuuzi

abdul01.j@gmail.com
 
kwahiyo distance kutoka microwave transmitter moja kwenda nyingine ipo affected na curvature?

Umbali wa Dar es Salaam mpaka Kigoma upo affected na curvature?....Kama jibu ni "NDIYO" railway line imetandikwaje horizontally toka DSM kwenda Kigoma?
Ntakupa tu hii elimu inase kwenye kichwa hiko.
Microwaves hazispread kama radio frequency mawasiliano yake yanataka ufix dishes ziangaliane. Kama unafunga kwa masafa marefu zinashindwa kufika point ya pili kwa sababu ya curvature ya dunia
Sasa wewe umekaa umekaririshwa na watu tu huko dunia ni flat nahujawahi kufanya kipimo chochote unaongea mavi.

Nimekupeni email, andaeni ratiba zenu vizuri kisha ntumieni baada ya hapo wewe utaiunga tu hiyo email kwa siku tuliyokubaliana halafu ndo tufanye mjadala sio kujaza jaza text. Kama mnajiamini andaeni ntafuteni, mimi niliandaa mkasema blah blah blah hamjaja sasa andaeni nyinyi

abdul01.j@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…