Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Ndo maana upo hapa tutoe tulichofundishwa lete hoja zako kuhusu umbo la Dunia tambarare zenye logic, me nakujaji kulingana na unachosema ww.
 
Mimi nina elimu zote juu ya umbo la dunia kati ya utambarare duara na mviringo duara ndio maana kupitia milango yangu ya fahamu nimeujua ukweli ni upi. Je wewe una Elimu ya dunia ni Tambarare? Au je Elimu ya Dunia Mviringo uliipatia hapa jukwaani.?
Basi kwann unazunguka lete hiyo elimu, elezea Hilo umbo tambarare nasi tutakuuliza maswali uelezee
 
Sawa, sasa kwann Kuna muda Jua linapotea kabisa? Kumbuka lipo juu hata liende mbali litaonekana tu,
chukulia mfano upo sehemu tambarare Kubwa tu tuseme hata uwanjan wa Mpira, then wewe uwe gori la upande mmoja mwingine awe gori la upande mwingine alafu awashe torch ya simu, ule mwanga wa simu utaonekana tu, sasa kwann Jua usiku haliinekani??
 
Seriously hii ndo proof!! Uthibitisho wako haujafikia hata kuitwa theory, labda tuite hekaya maana unaongea tu bila ushahidi.
 
What is your point here??
 
The celebrity wee jamaa ukishakunywa chai tuu unakuja huku kubishana kama dunia duara au dunia tufe...

The celebrity sio mchana wala usiku wewe upo hapa kuwaambia watu dunia duara...

The celebrity wewe upo tayari chakula cha mchana ukose ila tu watu wajue dunia duara

Sasa wewe sio mda tutakuloga ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hata chai sijanywa๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„, Hawa jamaa wanajiona wanauwezo wa pekee na wanafikria kuliko wengine.

Sasa mtu anakwambia toa ulivyofundishwa alafu tumia akili yako angalia unaona Dunia ni duara na inazunguka? Sasa kwann kwanza aniambie nitoe nilivyofundishwa๐Ÿ˜„?? Na wanakimbilia tumemezeshwa as if sisi hatifikrii tunachofundishwa.

Na wanaujua ukweli na ndio maana wanakataa GRAVITY haipo. Wakikubali tu Kuna gravity mjadala unaisha na wanajua Hilo,
 
Hapo kumbe ujanywa chai mkuu..
Naona mku wewe upo seriously mtu anapogusa habari za dunia flat Mara duara..

Endelea kuwapa dozi naona wanaanza kupungua maana watu walikua wanaogopa hu uzi maana ukija na phy yako ya form four wanakukanda vilivyo๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Na ukija na physics wanakuja na biblia Ili ubishane na MUNGU๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 

Explain this, how is it possible kwenye Dunia tambarare?
 
abdulrahman Said tukichukua ndoo tukaijaza maji kisha tukaifunga kamba na kuizungusha constantly maji hayatomwagika....


JE, tukichukua object ambayo Ipo ball- shaped kisha tukaweka maji kwenye hiyo object na kuanza kuizungusha constantly,..nini kitatokea?





Your browser is not able to display this video.
 
Ukomo wa hiyo circular line ni any point after the black circle ring............ Nimejaribu kukuwekea alama ujue kikomo cha hiyo ring ni kipi......bila shaka utaelewa.
We unaona umeeleweka hapo?? Sasa ukomo wake ni wapi hapo? Maana Kuna mishale minne na mwingne anaweza kuongeza atakavyo kama ulivyofanya wewe.

Na hapo umeonesha Kwa nje nje Kwa ndani?๐Ÿ˜„
 

Attachments

  • PXL_20241214_170722152.NIGHT.jpg
    251.9 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ