hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hahh nikajua unataka unikande kwa kuleta uthibitisho usio na doubts kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,...kumbe unaleta equation.Leo nataka nikukande hateeb10 yaani miaka miwili nimekomaa na chand, universal phy na nelkon..
Leo nakupa na full equation ujue kwanini T³ = t²
Nakubaliana na wewe kwamba on paper na equation (s) ni rahisi kuonyesha kwamba Dunia inazunguka ila kwenye uhalisia ndiyo mnaanza hadithi kwamba unajua unajua,...........
Hahh umenikumbusha kuhusu Chand kuna Jamaa wa PCM walikua wakiishika hiyo Chand na ukubwa wake pages kibao wana feel kama ni Newton au Tesla (Jokes),...kwa ufupi na appreciate elimu kwa kiwango kikubwa lakini hiyo haizuii kuweka criticism kwenye vitu vinavyo tatiza.