Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sasa kama unajua Ndoo ukiigeuza upside down,.. Maji yatamwagika............kwanini unaamini Licha ya kwamba Dunia ni tufe (which means it's not a container) Maji yana stick bila kumwagika?

Unasema wewe kila swali nikikuuliza unajibu,,..mbona nakuomba uthibitisho wa jinsi maji yanavyostick kwenye uncontained spinning-ball huleti uthibitisho,..unatoa hadithi tu?
 
kuhusu vitu ku fall mbona tushajadili sana humu,. au unataka majibu mapya?

Umeshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka?
Tushajadiri kivipi? Tungekuwa Bado hapa? Ni nn hiko unaogopa kuelezea bwana? Kama unajua unajua tu we leta Nondo.
 
Sasa kama unajua Ndoo ukiigeuza upside down,.. Maji yatamwagika............kwanini unaamini Licha ya kwamba Dunia ni tufe (which means it's not a container) Maji yana stick bila kumwagika?
Hivi ww unawaza Kwa kutumia nini? Jibu nimeshakupa ni GRAVITY ya Dunia inayovuta vitu vyote vilivyopo Duniani including hayo maji is strong compared to nguvu ya hayo maji kuivuta Dunia. Na ndo maana as a result maji ndo yanavutwa na Dunia.

Sasa wewe uliposema kuwa container ndo inafanya vitu vistick mbn tulipogeuza ndoo maji hayajastick?
 
hateeb10
Au hujui hata concept ya gravity? Kama ulisoma hapo juu Kuna maelezo nilitoa mazuri tu kuhusu gravity sijaona ukipagusaπŸ˜„πŸ˜„
Soma hapa uelewe then uliza ambapo hujaelewa.
 
kuhusu vitu ku fall mbona tushajadili sana humu,. au unataka majibu mapya?
Leta majibu tueleweshane acha janja janja kama umeshindwa sema. Sema kwanini vitu vinafall maana hiyo phenomenon ya vitu kufall iliitwa GRAVITY wewe unaikataa Sasa labda utuambie je ukiruaha vitu juu havifall down? Kama vitafall basi hiyo phenomen inaitwa gravity, Haina haja ya kuleta equation Kwa observation kama hiyo.
 
Huyo akija atakwepa swali na kukurudisha nyuma utasikia "nithibitishie kwa nini dunia ni tufe na inazunguka"
 
Huyo akija atakwepa swali na kukurudisha nyuma utasikia "nithibitishie kwa nini dunia ni tufe na inazunguka"
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kichwa wazi yule. Yaani huyo jamaa hata mm nikigeuka nikaanza kutetea hoja ya flat nayeye atetee ya duara Bado atakuwa mweupe tu.
 
Nimekuambia thibitisha jinsi maji yanavyostick kwenye dunia tufe linalozunguka........

Kusema tu gravity,.haimaanishi umethibitisha "THIBITISHA.........au hujui maana ya kuthibitisha.
 
Huyo akija atakwepa swali na kukurudisha nyuma utasikia "nithibitishie kwa nini dunia ni tufe na inazunguka"
Harudishwi nyuma bali hiyo ndiyo hoja ya msingi,........kama unamuonea huruma msaidie kuthibitisha!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kichwa wazi yule. Yaani huyo jamaa hata mm nikigeuka nikaanza kutetea hoja ya flat nayeye atetee ya duara Bado atakuwa mweupe tu.
Sawa sawa,... Kuthibitisha kama kichwa chako sio empty lete uthibitisho kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.,hadithi za gravity hazitokuokoa bali you are just beating around the bush.....
 
Kinachokataliwa kuhusu gravity ni exaggeration (inatiwa chumvi nyingi),.......kwa mfano mtu akishindwa kuelezea kitu utasikia gravity hiyo ndiyo ina sababisha,.....kwa mfano nimekuambia Thibitisha jinsi maji yanavyoweza kustick kwenye spinning-ball,...Badala ya kuleta uthibitisho unaingizia gravity ukiambiwa thibitisha basi gravity inafanya vipi maji yastick kwenye ball 🌎 huwezi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…