Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hivi mkuu hata hiyo van allen belt ulijishughulisha kusoma ukajua ni nini kabla ya kuandika?
mkuu labda ww ndo haujaisoma labda nikusaidie maelezo haya
A radiation belt is a zone of energetic charged particles ,
most of which originate from the solar wind that is
captured by and held around a planet by that planet's
magnetic field . The Earth has two such belts and
sometimes others may be temporarily created. The
discovery of the belts is credited to James Van Allen , and
as a result the Earth's belts are known as the Van Allen
belts. Earth's two main belts extend from an altitude of
about 1,000 to 60,000 kilometers above the surface in
which region radiation levels vary. Most of the particles
that form the belts are thought to come from solar wind
and other particles by cosmic rays. [1] By trapping the
solar wind, the magnetic field deflects those energetic
particles and protects the Earth's atmosphere from
destruction.
The belts are located in the inner region of the Earth's
magnetosphere. The belts trap energetic electrons and
protons . Other nuclei, such as alpha particles , are less
prevalent. The belts endanger satellites
 
Unadhani wanadanganya ili wapate nini?
Wamarekani, waingereza, wafaransa, wakanada na wataliano watudanganye sawa unadhani warusi, wachina na wakorea wangeendeleza uongo huo? Namaanisha "KIM JONG UN"

Hao sio ccm wewe.

Dunia ni duara.
Soma uzi kwa makini Mkuu.
 
We are not feeling the motion of the earth because we are moving with it..... nafikir kama ameenda shule hakuzingatia alichofundishwa na akama hajaelewa alichofundishwa na uwezo wa kumeza ni mdogo obvious alifeli. He questions about the earth kuwa duara ila hajawahi kuhoji vile alivyoaminishwa lakini hajawi kuviona....
 
Ndugu dunia ni duara! Na hii inaweza kujipambanua kwa namna mbalimbali! hata tu kwa namna usiku na Mchana unavyopishana katika dunia ingawa ingekuwa flat haya yasingetokea
 
Siku ambayo nitasikia au kusoma a bible au quran inayodai very clear dunia ni flat na jua ndio linaizunguka dunia... ndio mwisho wangu wa kuwa muumin.
 
Kama haielei chini kuna nini ukichimba beyond dunia na kinaanzia wapi mpaka wapi nikiwa na maana mfano nyumba hailei, inamsingi ulioanzia kwenye ardhi.
Sasa dunia imeanzia wapi ukisema iko hivi hivi hueleweki.
Kuna watu wengine sio wa kuwajibu huenda anafanya makusudi au ni kizibo.....
 
Hata upinde wa mvua ni duara, anyway ilitabiriwa kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka
 
Whatever you say about the world not being round/spherical, the world is definetely not flat...

I cant change what you wanna believe, but you are more of theorist than those propose what we know...

Natamani nikujibu kwenye kila point iliyopo hapo juu lakini itakuwa ndefu sana.

Mwisho, ukisema mtu mweupe alileta elimu hiyo ili kututawala weusi, sasa mbona weupe wanaisoma the same kind of education?... Na pia mbona walianza kututawala kabla ya elimu yenyewe kutolewa?... Na kuhusu vitabu vimeandikwa na watu wa nje, kwani ilitakiwaje labda coz we are not even interested in that...

Lets just stop blamming white people for everything wakati we are the ones who hate each other... Jiulize dunia imejaa utapeli na propaganda, lakini kwa nini ni sisi tu ndo hatupendani, tunauana, tunalogana, tunaibiana...

Do you know whats a lie? The love to each other.
 
He studied the other planets.... hapo mwanzoni watu walifikir kila tukionacho juu ni nyota except jua na mwezi.

Ni hivi hata kama umekaririshwa... inshu inabaki kwenye consistency and understanding, kuna mambo kama yalingelikuwa hayajawekwa sawa mimi na wewe tusingeelewana kamwe. Kila mtu angekuwa anaongea anavyoelewa yeye binafsi. (Maswali kama una nyumba ngapi au miti mingapi kwa aina ingekuwa vigumu kuexpress kwa mtu asiyeelewa your language)

Imagine, nikiweka 3 + 2 na 3 x 2.. ninaamini kila moja including yourself tutatoa majibu yanayofanana.

Dont say ni kukaririshwa ila ni language ambayo mimi na wewe tunaielewa. (Kama kuna mtu atakuja na kusema mstatili una pembe 5 hapa atakuwa hajabadili uhalisia bali alichokifanya ni renaming tu... kitu chenye nguvu hapa ni umbo na si jina... u can call whatever but fact itakuwa pale pale, je umbo hilo lina pembe ngapi?? Sasa ukiamua pembe 4 kuita pentagon na pembe tano kuita mstatili... is up to u. Cha msingi ni application ya kitu hiki, umuhimu wake utaujua kwenye kununua maeneo yaani kiwanja, tv, meza etc).
 
Haya mambo yapo wazi sana. .
Ila kuna waliosoma HKL ndio huwa wanaleta shida humu.
Kuna jamaa kauliza kitu simple tena kwa lengo la kuelimisha.
Kama dunia ni flat huko mwisho wa dunia kuna kitu gani?
Lakini ukitaka kujifunza vizuri angalia ndege inavoruka na zile space shuttle zinavo ruka.
Utapata jibu zuuuuuri kabisaa
 
Asante kwa somo la unajimu.Kama dunia si Duara chukua ndege Dar uruke kuelekea East same Latitute na umaintain height kama haujajikuta umerudi Daresalaam.Dunia si tambarare.
 
U ar not big enough to see the curvature of the earth..we are like a crawling baby.... je unajua kwamba kwenye jengo la Burj Khalifa Dubai lenye urefu zaidi ya half a mile (160 floors)... the difference between the sunrise/sunset kwa aliyekuwa at the top and at the base ni dakika 2??? How can this be explained katika flat earth???






CC: Kifyatu
 
Kuna option ya kuhakiki utufe wa dunia. Mzingo wa dunia ni takribani 40,045km ambapo ukizibadali kuwa katika nyuzi (degree) 360, nyuzi 1 = 111km, hivyo ili uone uviringo wake pale inapoanza ku-bend basi darubini yako iwe na uwezo kuona kuanzia nyuzi 45=5005km na kuendelea.
 
https://www.quora.com/Do-any-airline-flights-fly-over-Antarctica
 
mkui unauza ini alafu ubaki na nini.
 
Flat earth society wanadai jua lipo umbali wa mile 4000 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…