hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Mimi nimeumbwa,.Kwanza wewe sio copy, wewe ni fusion ya Adamu na Eva. Kwahy umekubali ww hujaumbwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeumbwa,.Kwanza wewe sio copy, wewe ni fusion ya Adamu na Eva. Kwahy umekubali ww hujaumbwa?
ungeimalizia sentesi nzima halafu unipe maelezo ya dunia inavyojizungusha kama shape ya No 9maana hapo ndipo uweza wa Mungu unapotamalaki.Kwahiyo Dunia ndio haiwezi kuzunguka kwa uwezo wa Mungu mwenyewe 😁
Usiseme tu Dunia inazunguka,...Thibitisha kama inazunguka.Kwahiyo Dunia ndio haiwezi kuzunguka kwa uwezo wa Mungu mwenyewe 😁
Asante Kwa kuelewa kuwa uwezo wangu wa kukuelewa ni mdogo basi nijibu direct.Sasa nimeelewa tunapopishania.. ni hivi uwezo wako wakunielewa mimi ni mdogo. pili mimi sikujibu direct na swali au hoja yako kwakua napenda utumie tafakari kulipata jibu la kile ulichouliza.
Safi kabisa, kwahy nikisema mm sijala inamaana ni mm tu na sio binadamu wengine.ni kweli nimejibu ulichouliza tofauti na majibu uliyoyataka wewe. ukisema mimi sijala hapo tutadeal na wewe kama wewe kupitia jina lako. the celebrity hajala.
Kisichowezekana kivipi wakati Mimi silagi na naishi? Yaani unatengeneza mfano mwenyewe alafu unauwekea mazingira ya kutowezekana. Kwahy kwenye mfano wako hapo mm ntakuwa nimedanganya ama?sasa mimi nikajibu, kama ukisema silagi hapo utakua umejumlisha binadamu wote maana tutasema ni kitu kisichowezekana.
Unajua kwann sikuuliza kama binadamu ameumbwa na nikakuuliza ww kama umeumbwa? kwahy kutengeneza swali lako na kulijibu sio sawa unatakiwa ujibu swali husiku basi.ndio narudi kwako, ulipouliza kua je mimi nimeumbwa? hapo nilichoelewa ni mimi kama binadamu na jibu lake ni ndio. kwasababu natokana na chanzo cha binaadam kuumbwa. kipi sasa ambacho sikukijibu. au kwavile nilikujibu kwa mfumo wa swali la kati ya kichanga na mtu mzima binaadam alianzia wapi? Mbona hili haulijibu.
Kutokana na chanzo kilichoumbwa haimaanishi naww umeumbwa, nikiandika barua Moja alafu nikatoa copy nyingi, je UTASEMA nimeandika barua zote Mimi?jibu lake ni ndio. kwasababu natokana na chanzo cha binaadam kuumbwa. kipi sasa ambacho sikukijibu. au kwavile nilikujibu kwa mfumo wa swali la kati ya kichanga na mtu mzima binaadam alianzia wapi? Mbona hili haulijibu.
Soma swali lako vzr alafu uliza upya.kwavile nilikujibu kwa mfumo wa swali la kati ya kichanga na mtu mzima binaadam alianzia wapi? Mbona hili haulijibu.
Mbona wewe unaelimu ya Dunia duara na huiamini? Na sijasema Unabishana? Usiweke double standards kaka.Mi ndio nakwambia Upo hapa Kubishana maana tayari unachokiuliza una elimu nacho na haukiamini
Usiseme hivyo😀,, naomba nijibu tu maswali yangu 🙏🙏.kama unaamini mimi nazunguka kukujibu, acha niamini, uwezo wako wa kunielewa mimi ni mdogo. Asante kwa muda wako kama ni Ushindi nimekupa muda tuu au hadi Makombe?
Kwahy wewe MUNGU amekuumba? Nini maana ya kuumba?Sisi pia tumeumbwa maana hata huo mfumo wa kuzaliana lengo ni kuendeleza Uumbaji........ Yaani sawa na wewe ufanye innovation ya product mpya then utengeneze mfumo unaowezesha ku recreate.
Kwahy MUNGU Bado anaumba?Mimi nimeumbwa,.
Hahh dah,...sasa ushasema umezitoa copy,... that means hazijajitoa copy zenyewe umezitoa copy wewe!!Kutokana na chanzo kilichoumbwa haimaanishi naww umeumbwa, nikiandika barua Moja alafu nikatoa copy nyingi, je UTASEMA nimeandika barua zote Mimi?
Sasa kutoa COPY ndio KUANDIKA?Hahh dah,...sasa ushasema umezitoa copy,... that means hazijajitoa copy zenyewe umezitoa copy wewe!!
Mbona unajichanganya sana,..
Kuna maswali huko nyuma hujajibu umekuja KUANDIKA haya maneno yako hapa. Daah!!Mpaka leo hakuna yoyote aliyeweza kuthibitisha kwamba:-
1. Dunia ni tufe 🌎
2. Dunia inazunguka...........
The celebrity Chosen Rich
Dah, naomba niwe upande wa SIJUI. hapa nadhani tutakua tumemalizana vizuri.NkumbiSon acha kukimbilia kichaka Cha kusema Mimi nabishana, au kuuliza maswali kuhusu dhana yako ndo kubishana?
Unasema Kwa sababu ninaelimu ya Dunia flat na inanitatiza ndo unatumia kusema nipo hapa kubishana, mbona wewe una Elimu ya Dunia Duara na huiamini sijasema wewe upo hapa kubishana?
Tuondoe Janja Janja tuweke hoja mezani tusitafte kichaka Cha eti Mimi nipo hapa KUBISHANA ni wapi nimebishana? Kama kitu hujui unasema tu.
hateeb10 naona umerudi lakn maswali ya awali umeruka😀, naomba majibu hapa.Toa maelezo mafupi kama unayo, how illusion sio kusema tu illusion. nimekuuliza swali dogo tu kama Jua linapotea Kwa sababu linaenda mbali zaidi na tulipo, kwann tusione likipungua size mpk tuone like a point of light then ndio lipotee instead tunaona linapotea likiwa na size yake Ile ile?
Labda nikuulize tu kati ya Nyota na Jua kipi kikubwa na kipi Kiko mbali zaidi kutoka tulipo?
Napenda mtu analeta hoja na kujibu maswaliThibitisha mwenyewe Ruka juu je hautarudi chini? Sasa hiyo observation ndo tunaita GRAVITY. Au wewe una allergy na neno Gravity?
Hoja zote hivi umeziruka futi sitaSawa kabisa, Sasa chukua container let say ndoo weka maji then inyanyue na uigeuze upside down, je maji yataendelea kukaa kwenye ndoo? Kumbuka hata hapo yapo kwenye container(contained).
K
Kama hazitoniikoa nijibu ni kwann vitu vinafall😀😀😀, kwann unalikimbia hili swali?? Na Bado hujajibu maswala yako ya Illusion na refraction lkn Bado uko hapa kuuliza maswali yako ambayo nayajibu.
ACHA UOGA.
Wewe kweli kichwa wazi😀😀,
Kwanza unakubaliana namm Kuna kitu kinaitwa GRAVITY na kinatokea??
Nataka nikufundishe GRAVITY tu kwanza maana nishagundua hujui lolote kuhusu gravity 😀
SAWA kama umeamua kuwa mchoyo wa ELIMU yako,Dah, naomba niwe upande wa SIJUI. hapa nadhani tutakua tumemalizana vizuri.
Kuumba ni kitendo cha kufanya kitu ambacho hakikiuepo mwanzo, kuwepo...Kwahy wewe MUNGU amekuumba? Nini maana ya kuumba?
Kwahy COPY na KUANDIKA ni vitu sawa?Hahh dah,...sasa ushasema umezitoa copy,... that means hazijajitoa copy zenyewe umezitoa copy wewe!!
Mbona unajichanganya sana,..
Kutokana na chanzo kilichoumbwa haimaanishi naww umeumbwa, NIKIANDIKA barua Moja alafu nikatoa COPY nyingi, je UTASEMA nimeandika barua zote Mimi?
Nilikuambia Grvaity ipo exaggarated,.. ukiona kitu huwezi kuelezea unasingizia gravity,.... kwa mfano nilikuuliza Maji yanaweza kustick kwenye object ambayo ipo round kama mpira,,.ukajibu maji hayawezi kustick kwenye object yenye umbo hilo yatamwagika,........Unakumbuka si ndiyohateeb10 naona umerudi lakn maswali ya awali umeruka😀, naomba majibu hapa.
Napenda mtu analeta hoja na kujibu maswali
Hoja zote hivi umeziruka futi sita
Tusizunguke sana kwenye mada ambayo Haina maana Kwa sasa, Kwa kifupi wewe hujaumbwa Bali ni zao la uumbaji wa awali. Kama unaamini umeumbwa ni sawa pia Kwa mtamzamo wako lakini maana tunayomanisha ni hiyo hiyo.Kuumba ni kitendo cha kufanya kitu ambacho hakikiuepo mwanzo, kuwepo...
Sasa kwa akili ya kawaida tu,...Mimi nikiunda kitu kisha ndani ya hicho kitu nikatengeneza mfumo wa hicho kitu kutoa copy nyingi za aina hiyo hiyo,....huwezi kusema hizo copy sijaziunda mimi kwa kuwa mfumo wote mimi ndiyo nimeuunda,.