Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Alafu mbona unachagua sana hoja na maswali ya kujibu

Ukipigwa swali zito unapita kama huoni πŸ˜…
 
Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?
 
Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?
Elewa, ushahidi wa aina yako Sina, ila ushahidi juu ya umbo la Dunia umbo na hutaki bila sababuπŸ˜€πŸ˜€,

Chaajabu nimekuomba ushahidi wa aina unayotaka umeshindwa kuletaπŸ˜€πŸ˜€.
Umefeli theoretically na hata Kwa ushahidi wa picha na video, then unakuja kuongea nn hapa? Kama unaweza lete ushahidi hata wa CGI kama ambavyo unadai ww picha za NASA ni Generated and why hakuna picha ya CGI inayoonesha flat earth Kwa uhalisia kama za NASA? Au umeamua kujitwisha mzigo wa Kuni?






 
Kweli ww unalishwa matangopori, unakuja na meme za ajabu humu kweli? Kama unaweza hoja lete maelezo ya majibu yangu ila umeshindwa, basi lete video(kama ulivyoomba ww) umeshindwa then ww unahoja gani sasa?

Kuonesha ww huna point nilikuuliza kuhusu uwepo wa Gravity ukasema haipo nikakuuliza sasa kama hamna gravity why vitu vinafall ukaja na hoja ya density na buoyancy, nilivyokubana ukaacha kujibu kama mwezio NkumbiSon mpaka akaanza kusema nashindana.

Swala la sunset nalo umeshindwa hata Kwa maelezo tu, sasa wewe unahoja gani ndugu yangu au umeamua kukubali kitu blindly? Hata kama umekuja hapa kuchangamsha genge lkn uje na vitu vya maana.
 
Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?
Swala ni hoja zako dhaifu badala uje kutetea nilichopoint out umekuja kusema mbona mm Sina ushahidi, serious?? Kwahy umekubali huna hoja?
 
Umeamua kuja na vichekesho sasa,..
 
Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.

Kwa mfano,..kama hutaki kukubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza it just moves further away from your sight,..unataka nitumie mbinu gani tena uamini?


Unasema unataka video uthibitishe kwamba Dunia ni flat na Imetulia,...hivyo vitu viwili vipo observed tayari kwa macho na hisia, wewe unaesema vice versa of what we observe ndiyo mwenye jukumu la kuleta uthibitisho wa video,..kama huna basi unategemea utaaminika vipi?
 
Swala ni hoja zako dhaifu badala uje kutetea nilichopoint out umekuja kusema mbona mm Sina ushahidi, serious?? Kwahy umekubali huna hoja?
Hoja yangu ni kwamba,...wakati tunasubiri uthibitisho it's better tuamini kile ambacho our sense organs zinatuambia,...

Yaani kama huwezi kuthibitisha Dunia Ina move,... At the same time huioni wala kuihisi ikimove, Kwanini usiamini intuitives zako sasa wakati ukisubiri uthibitisho kutoka kwa waliokuambia Ina move?
 
Watu wanaoamini Dunia Ina move na hawana uthibitisho wowote,..ni WAPUMBAVU.

Watu wanaoamini Dunia ni tufe 🌎,.na hawana uthibitisho wowote, ni WAPUMBAVU.
Naomba unielimishe kama jua linaizunguka dunia kwanini position ya kuzama na kuchomoza kwa jua inabadilika? Kwa kutumia hiyo michoro yenu miliyotuletea humu
 
Burden of proof inamuangukia nani......?

Scenario:
Two people are walking together when they notice a car that appears to be parked by the roadside. The first person claims, "The car is moving," while the second person says, "No, it’s not moving."

Who bears the burden of proof?
In this situation, the burden of proof lies with the first person, who asserts that the car is moving. This is because making a positive claim (that the car is in motion) requires evidence to substantiate it, such as visible movement, engine noise, or a change in the car’s position relative to its surroundings.

The second person, who claims that the car is stationary, is making a negative claim, which generally does not carry the burden of proof unless they need to refute the evidence presented by the first person.


The celebrity
 
Yaani kama huwezi kuthibitisha Dunia Ina move,... At the same time huioni wala kuihisi ikimove, Kwanini usiamini intuitives zako sasa wakati ukisubiri uthibitisho kutoka kwa waliokuambia Ina move?
Nisubiri uthibitisho Gani bwana mdogo?? Kweli umejitwisha mzigo wa ujinga
 
Okay you're right πŸ‘
 
Sasa ww unatofauti Gani na huyu?

 
Swali langu umeliruka kama hujaliona vile ndio maana flat earthers wote nawaita wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…