Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hawa majamaa hamna kazi ๐๐๐๐๐๐ Hii ndo akili ya flat Earthers. Yaani hiyo picha inadhihirisha mawazo Yao kuhusu umbo la Dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa majamaa hamna kazi ๐๐๐๐๐๐ Hii ndo akili ya flat Earthers. Yaani hiyo picha inadhihirisha mawazo Yao kuhusu umbo la Dunia.
Alafu mbona unachagua sana hoja na maswali ya kujibuHujaelewa kwanini nimeweka hiyo quote,.. Lengo ni kuonyesha kwamba kuna vitu unachukulia kama ndiyo vipo hivyo 100% kumbe theories zake zilianza kwa imagination tu,. that's why hutakiwi kuufunga mlango wa kudadisi na kujiuliza maswali zaidi,. ikiwa utapata doubts zozote kwenye fikra zako,.
Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?Ila ya nini tena? Jibu ni Moja tu huna ushahidi na huo ushahidi wa namna hiyo haiwezekani.
1. Kutoona Wala kuhisi Dunia ikimove wakati umeshindwa kunipa video nzima inayoonesha Dunia nzima ikiwa haimove sio uthibitisho.
2. Flatness huwez kuipima Kwa kuangalia sehem ndogo sana ya Dunia less than 1% ya Dunia nzima. Hapo utakuwa unajidanganya mwenyewe
Lastly, theoretically umeshindwa kuthibitisha umbo ya Dunia flat hata video pia umeshindwa then unasema Dunia ni flat, unaona upo sawa kweli?
Wewe sio wa kwanza na Wala hutakuwa wa mwisho kuja na madai haya lakini siku zote ukweli utasimama. Most of Flat Earthers mnatofautiana mawazo yenu Kwa sababu mnachokisema Hamna ushahidinacho zaidi ya maelezo ambayo kimsingi hayana connection nzuri na uhalisia wa mambo.
Mfano mdogo tu kuonesha hoja zenu ni dhaifu hata theoretically:
1. Mkiulizwa muelezee solar na lunar eclipse na lunar phases huwa mnaleta story za kisadikika. Mfano wewe mwenyewe uliwahi kuleta majibu ya kisadikika ambayo hata ww hujui umeyatoa wapi.
2. a) Mnadai pembezoni mwa Dunia Kuna ice walls ambazo ndio zinazuia maji yasimwagike. Sasa swali la kujiuliza tu hata kama huna elimu kwanza kwann maji yamwagike?
b) Achana na Hilo mkaenda mbali zaidi mnadai hakuna mtu anaruhusiwa kwenda huko Kwasabab ni more secured place. Sasa kama ni hivyo wao walijuaje? Na mpka Kuna ramani zenu je nan alietengeneza hizo raman kama hakuna aliewah kufika huko?
3. Sunset na sunrise, hapa mnadai kuwa ni PERSPECTIVE, yaani kwamba Jua linaenda mbali zaidi na UPEO wa macho yetu kiasi kwamba linapungua size mpk linapotea. Swali dogo tu kwann katika uhalisia Jua halipungui size kama mnavyodai? Bali tunaona ni kama linazama(linaenda below our horizon) likiwa Kubwa vile vile? Hili swali hata wewe ulishindwa kujibu badala yake ukanipa majibu yaliyokosa maelezo kama REFRACTION na ILLUSION.
Ni kweli REFRACTION inaelezewa vzr kabisa kwenye Dunia duara kwamba wakat Jua linazama(sunset) huwa Kuna saa Moja ambalo kiuhalisia Jua linakuwa limeshazama(linakuwa below our horizon) lakini Bado tunakuwa tunaliona. Hii inatokana na refraction.
View attachment 3184041
Hawa majamaa hamna kazi ๐๐๐๐
Elewa, ushahidi wa aina yako Sina, ila ushahidi juu ya umbo la Dunia umbo na hutaki bila sababu๐๐,Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?
Kweli ww unalishwa matangopori, unakuja na meme za ajabu humu kweli? Kama unaweza hoja lete maelezo ya majibu yangu ila umeshindwa, basi lete video(kama ulivyoomba ww) umeshindwa then ww unahoja gani sasa?
Swala ni hoja zako dhaifu badala uje kutetea nilichopoint out umekuja kusema mbona mm Sina ushahidi, serious?? Kwahy umekubali huna hoja?Sasa wewe mbona huo uthibitisho huna,...tutakuamini vipi bila evidence yoyote?
Umeamua kuja na vichekesho sasa,..Elewa, ushahidi wa aina yako Sina, ila ushahidi juu ya umbo la Dunia umbo na hutaki bila sababu๐๐,
Chaajabu nimekuomba ushahidi wa aina unayotaka umeshindwa kuleta๐๐.
Umefeli theoretically na hata Kwa ushahidi wa picha na video, then unakuja kuongea nn hapa? Kama unaweza lete ushahidi hata wa CGI kama ambavyo unadai ww picha za NASA ni Generated and why hakuna picha ya CGI inayoonesha flat earth Kwa uhalisia kama za NASA? Au umeamua kujitwisha mzigo wa Kuni?
View attachment 3185204
View attachment 3185206
View attachment 3185208
Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.Kweli ww unalishwa matangopori, unakuja na meme za ajabu humu kweli? Kama unaweza hoja lete maelezo ya majibu yangu ila umeshindwa, basi lete video(kama ulivyoomba ww) umeshindwa then ww unahoja gani sasa?
Kuonesha ww huna point nilikuuliza kuhusu uwepo wa Gravity ukasema haipo nikakuuliza sasa kama hamna gravity why vitu vinafall ukaja na hoja ya density na buoyancy, nilivyokubana ukaacha kujibu kama mwezio NkumbiSon mpaka akaanza kusema nashindana.
Swala la sunset nalo umeshindwa hata Kwa maelezo tu, sasa wewe unahoja gani ndugu yangu au umeamua kukubali kitu blindly? Hata kama umekuja hapa kuchangamsha genge lkn uje na vitu vya maana.
Hoja yangu ni kwamba,...wakati tunasubiri uthibitisho it's better tuamini kile ambacho our sense organs zinatuambia,...Swala ni hoja zako dhaifu badala uje kutetea nilichopoint out umekuja kusema mbona mm Sina ushahidi, serious?? Kwahy umekubali huna hoja?
Watu wanaoamini Dunia Ina move na hawana uthibitisho wowote,..ni WAPUMBAVU.Flat earthers wote wapumbavu
Naomba unielimishe kama jua linaizunguka dunia kwanini position ya kuzama na kuchomoza kwa jua inabadilika? Kwa kutumia hiyo michoro yenu miliyotuletea humuWatu wanaoamini Dunia Ina move na hawana uthibitisho wowote,..ni WAPUMBAVU.
Watu wanaoamini Dunia ni tufe ๐,.na hawana uthibitisho wowote, ni WAPUMBAVU.
Umejibu wapi?Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.
Nisubiri uthibitisho Gani bwana mdogo?? Kweli umejitwisha mzigo wa ujingaYaani kama huwezi kuthibitisha Dunia Ina move,... At the same time huioni wala kuihisi ikimove, Kwanini usiamini intuitives zako sasa wakati ukisubiri uthibitisho kutoka kwa waliokuambia Ina move?
Okay you're right ๐Burden of proof inamuangukia nani......?
Scenario:
Two people are walking together when they notice a car that appears to be parked by the roadside. The first person claims, "The car is moving," while the second person says, "No, itโs not moving."
Who bears the burden of proof?
In this situation, the burden of proof lies with the first person, who asserts that the car is moving. This is because making a positive claim (that the car is in motion) requires evidence to substantiate it, such as visible movement, engine noise, or a change in the carโs position relative to its surroundings.
The second person, who claims that the car is stationary, is making a negative claim, which generally does not carry the burden of proof unless they need to refute the evidence presented by the first person.
The celebrity
Sasa ww unatofauti Gani na huyu?Burden of proof inamuangukia nani......?

Swali langu umeliruka kama hujaliona vile ndio maana flat earthers wote nawaita wapumbavuBurden of proof inamuangukia nani......?
Scenario:
Two people are walking together when they notice a car that appears to be parked by the roadside. The first person claims, "The car is moving," while the second person says, "No, itโs not moving."
Who bears the burden of proof?
In this situation, the burden of proof lies with the first person, who asserts that the car is moving. This is because making a positive claim (that the car is in motion) requires evidence to substantiate it, such as visible movement, engine noise, or a change in the carโs position relative to its surroundings.
The second person, who claims that the car is stationary, is making a negative claim, which generally does not carry the burden of proof unless they need to refute the evidence presented by the first person.
The celebrity
Pitia post zilizopita,.utazionaUmejibu wapi?