Jibu nimeshakupa hapo juu, 👇
Kwahy chenye mass Kubwa kitavutwa Kwa force Kubwa kuliko chenye mass ndogo. Najua ubongo wako ni mdogo kuelewa ila usijali nipo hapa Kwa ajili yako.
Unaona sasa😀, usijali. Nitakupa mfano wa sumaku, si inatabia ya kuvuka material ya chuma?
Sasa chukua kitu(objects) ziwe mbili zenye the same materials, let's say chuma. Assume ziwe Cube, Moja iwe na uzito 1kg na nyingne iwe 0.15kg je ni chuma ipi itavutwa Kwa nguvu Kubwa na sumaku?
Ukielewa huu mfano sizani kama utauliza tena hili swali lako.🙏