Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Unaambiwa chanzo cha gravity ni uzito wa vitu,... that means kama uzito usipokuepo na gravity inakua hakuna,.....
Na ndio maana unaambiwa gravity inavuta vitu vyote vyenye mass kwenda kwenye center of the earth. Force yoyote lazima ihusishe MASS, wewe unaweza kusukuma kitu hakina mass? Huwezi.
kama una akili hii ingetosha kuhitimisha kwamba the so called gravity is just an A.K.A of Uzito!!!

The celebrity
Sasa nimekuuliza kwann huo uzito unaelekea downward tu?? Na sio other directions?? Naona unaogopa kujibu😀😀😀😀😀
 
Ungesoma hapa ungepata mwanga zaidi lakini naona unajitia upofu ila sitokata tamaa kukukumbusha unaporuka
 
Kwani wewe nikikuambia kati ya Object A & B ipi ina uzito mkubwa,..utaanza kuuliza kuhusu weight na Mass?........kwa maana kwamba huelewi directly uzito ni kitu gani? hata layman hawezi ku complicate hapo.

Kweli kukariri ni tatizo,.
 
Kwani wewe nikikuambia kati ya Object A & B ipi ina uzito mkubwa,..utaanza kuuliza kuhusu weight na Mass?........kwa maana kwamba huelewi directly uzito ni kitu gani? hata layman hawezi ku complicate hapo.

Kweli kukariri ni tatizo,.
Kwann unaogopa kujibu?? Okay tuachane na Hilo. Mass ni scalar au ni vector quantity??
 
You need to solce this questions to prove your hyoothesis

1. Dunia ingekuwa flat Ingekuwa na center, To prove the world is flat please show the center na Ingekuwa na corners in which it takes the same time to reach the center from each corner of the world, show the center and the corners

2. Dunia ingekuwa flat, then it will not be possible to approach a country from two different sides. Yaani ukitaka kwenda Marekani basi lazima uikaribie from one direction, yaani ndege zoote ziikaribie from east or west. Let's say unakaribia from east, then others countries will be very close to Marekani while others they are always very far. Kwa mfano nikienda china, then nikataka kwenda Marekani inabidi nicross tena Tanzania ili nikuambie Marekani from east.

If you show that then you can prove your point.
 
Wewe unajichanganya,.. ulisema gravity ni jina lingine la uzito,.. si ndiyo?

Sasa kama gravity ni jina lingine la uzito,......that means mtu akitumia statement " Uzito unavuta vitu vyote vyenye uzito kwenda kwenye center of the earth"....atakuwa sawa.?


Hata ukiangalia jinsi mizani inavyofanya kazi,. ndiyo utajua hakuna force inayovuta vitu chini,..bali chenye uzito zaidi kitashuka chini and that's just a natural law,.
 
Wewe unajichanganya,.. ulisema gravity ni jina lingine la uzito,.. si ndiyo?
Nilimaanisha huwezi kuongelea uzito(weight) bila kuhusisha gravity.
Sasa kama gravity ni jina lingine la uzito,......that means mtu akitumia statement " Uzito unavuta vitu vyote vyenye uzito kwenda kwenye center of the earth"....atakuwa sawa.?
Hawezi kuwa sawa, Bali uzito ndio unavutwa.
Hata ukiangalia jinsi mizani inavyofanya kazi,. ndiyo utajua hakuna force inayovuta vitu chini,.
Unaumwa ww!! Mzani unavyofanya kazi ni uthibitisho tosha, unavyokuwa na uzito mkubwa una exert more force ndo maana mshale utaenda zaidi ya yule mwenye uzito mdogo that's simple.
.bali chenye uzito zaidi kitashuka chini and that's just a natural law,.
Nimekuuliza kwann chini? Kwann uzito uelekee chini tu?
 
Je, uzito usipokuwepo,...gravity itakuepo?
 
Unaposoma uwe unaelewa...
hateeb10
Hahh ngoja nikuwekee statement yako mwenyewe hapa usije sema nakusingizia,.... " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."

Sasa kwa kauli yako hiyo,. kwa mfano wewe ukiwa na majina mawili tutasema nyie ni watu wawili tofauti?

NOTE: Hiyo kauli niliyo bold hapo juu ni yako mwenyewe,. usije sema ulikua umelewa.
 
(Weight)??????
 
Unaniuliza mimi tena?

Wakati ulisema mwenyewe kwamba,,,,, . " na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity."
Namaanisha niliweka kwenye mabano weight, yes weight ni another name for gravitational force
 
Utakuwepo ndio, ila haitavuta kitu. Kwani chuma isipokuwepo usumaku kwenye sumaku haupo?
Ushasema uzito ni jina lingine la gravity,.. so logically kama uzito hakuna na gravity hakuna.


Labda tuondoe logic hapo,. au ubadilishe kauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…