Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Tatizo huu uzi umekaa kibishani.. Wazee wa flat earth wanabase kwenye theories huku mpaka leo wameshindwa kupeleka mtu au hata chombo tu cha kupiga picha kuonyesha hiyo "sahani dunia" wanayotuambia ila wanawabishia wenzao ambao wamefanya na kuwaita waongo.. Chamsingi tusubiri siku flat earthers nao watume mtu wao outer space then watupe picha ya dunia flat inavyoelea kama sahani.. Manake sayari zote ambazo nyingine hadi kwa macho zinaonekana ni tufe ila dunia ni sahani.. Anyway!
 
Pia tuekeze kama dunia ni tambarare kwa nini anga kwa mbali ionekane kama inashuka chini? Na kwa nini meli ikiwa mbali isionekane yote, ionekane sehemu ya juu tuu, na pia Kama ni tambarare tuambie kama ni ya nviringo kama biskuti au ni mraba/ mststili. Pia tuoneshe ukingo wake.
 
Hii inatokana kuwa ss maskini lazima tuyapokee mapokeo yao, kuwa tajiri kama hatuki kupokea mapokeo yao
 
Mwishoni jibu linakuja tu kuwa dunia ni ya mviringo, ukatae au ukabali kwasababu duniani kuna mabara 7 tu, unaweza ukaanza safari Dar es Salaam kwa ndege na ukienda usawa ule ule bila kukata kona, utarudi pale pale (starting point and ending point)
 
physics ni somo la msingi sana,kama no flat ulishawah kujiuliza satellites znazotusaidia kurusha signal mbalimbali wanazipark VP hko ktk outer space?? Kuna parking orbit pia zkisha weka huwa znapewa velocity inaitwa parking velocity ya kuizunguka Dunia
 
Ok let's slow doqn a bit..hvi wanaofoji taarifa wananufaika nini na dunia kuwa flat/round kando ya hizi conspiracy theories?
 
Mwishoni jibu linakuja tu kuwa dunia ni ya mviringo, ukatae au ukabali kwasababu duniani kuna mabara 7 tu, unaweza ukaanza safari Dar es Salaam kwa ndege na ukienda usawa ule ule bila kukata kona, utarudi pale pale (starting point and ending point)
Mara ngapi turudie "sio ustaarabu kunakili habari ndefu" unatupa shida wenye simu kutelemsha uzi chini!!!
 
Hii inatokana kuwa ss maskini lazima tuyapokee mapokeo yao, kuwa tajiri kama hatuki kupokea mapokeo yao
Don't quote u idiot.... mnaboa aisee. Mtu anascroll kwa ajili ya sentensi moja.
 
I think flat earth society wanataka theory yao ionekane sahihi ili iweze kuprove biblical concept.
 
Hiyo theory ya flat au oblationess ili fail Siku nyingi mno tena yenyewe ndiyo iliyotangulia kabla ya hii earth is spherical in shape kama dunia siyo duara kwanini tunakuwa na sun rise sun set
 
Hiyo theory ya flat au oblationess ili fail Siku nyingi mno tena yenyewe ndiyo iliyotangulia kabla ya hii earth is spherical in shape kama dunia siyo duara kwanini tunakuwa na sun rise sun set
Jifunze kwanza kiundani kidogo.. Kauli zako hazijitoshelezi
 
sayansi haikinzani na dini, ni kutokuelewa tu kwa wana dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…