The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Nadhani ww ndo hujaelewaπ , alitoa mfano wa sumaku inavovuta na kunasa vitu, akataka ifanane na gravity(feel), Sasa ww hapo unaona unahisi unavutwa kama sumaku ifanyavyo?πππππππ Wee si umesema ujawahi hisi ukivutwa na gravity
hateeb10 naskia anatumia mbege kwanza π π π πNadhani ww ndo hujaelewaπ , alitoa mfano wa sumaku inavovuta na kunasa vitu, akataka ifanane na gravity(feel), Sasa ww hapo unaona unahisi unavutwa kama sumaku ifanyavyo?
Elezea Sasa Kwa mpangilio, jinsi weight na density zinafanya vitu vifall.Hivi unaelewa kweli kaka,...Nimekuambia Density & Weight kwa pamoja zina influence kipi kiende chini na kipi kibaki juu,....
Sasa inasababishaje vitu vifall?Umeuliza, Je Density ni force?,...nakujibu, HAPANA DENSITY SIO FORCE,.
How weight Ina exert force?Kuhusu weight,.. Weight,..Yes Weight ina exert force na ni kanuni ya kiasili kitu chenye uzito zaidi kushuka chini kufuata kanuni ya kiasili (Natural law)....
Huelewekiπ π ππππ....zingatia kwamba hakuna force yoyote inayovuta vitu chini kama ulivyokiri mwenyewe kwenye previous posts.
Alafu unasema hamna forceππWeight,..Yes Weight ina exert force
Me naona tunazunguka tuππ, mtu kshasema vitu vinaanguka Kwa sabab ya weight, Sasa ambacho yeye Bado haelewi ni nn?? Au weight anayoongelea ni ipi??hateeb10 naskia anatumia mbege kwanza π π π π
Hahh,.. yap hatuvutwi mkuu therefore hakuna hiyo force inayovuta vitu&watu chini.Nadhani ww ndo hujaelewaπ , alitoa mfano wa sumaku inavovuta na kunasa vitu, akataka ifanane na gravity(feel), Sasa ww hapo unaona unahisi unavutwa kama sumaku ifanyavyo?
Kwahiyo umekubali kwamba uzito ndiyo unafanya vitu vianguke na sio kwamba kuna force nyingine ya ziada (gravity) kama ulivyofundishwa?Me naona tunazunguka tuππ, mtu kshasema vitu vinaanguka Kwa sabab ya weight, Sasa ambacho yeye Bado haelewi ni nn?? Au weight anayoongelea ni ipi??
πUmesema umenipa uthibitisho,...samahani sijaona huo uthibitisho.
Naomba kwa mara ya mwisho uuweke hapa,...baada ya hapo sitokusumbua tena kuhusu uthibitisho wa Dunia kuwa tufe na kuzunguka....
Sorry sana kwa usumbufu,..weka tena uthibitisho kila mtu auone.
Force ya ziada Gani tena? Ulishasema mass ni scalar na sio force, Sasa weight ni vector na ni force,Kwahiyo umekubali kwamba uzito ndiyo unafanya vitu vianguke na sio kwamba kuna force nyingine ya ziada (gravity) kama ulivyofundishwa?
Vizuri,. ume graduate sasa.
Wewe ushakiri gravity hakuna kwa statement zako ulizotoa awali,...sasa ili kurahisisha mjadala futa statement zako zifuatazo:-Elezea Sasa Kwa mpangilio, jinsi weight na density zinafanya vitu vifall.
Sasa inasababishaje vitu vifall?
How weight Ina exert force?
Huelewekiπ π ππππ
Alafu unasema hamna forceππ
ππ Hapa nilisharekebisha na kumuelewesha ila umeamua kukaza sio makosa yangu.Wewe ushakiri gravity hakuna kwa statement zako ulizotoa awali,...sasa ili kurahisisha mjadala futa statement zako zifuatazo:-
a. "Uzito ni jina lingine la gravity."
Umequote wapi haya maelezo? Ila ndo ivo na haibadirishi uwepo wa Gravity.b. "Tokea nizaliwe sijawahi kuhisi nikivutwa chini na kitu chochote,......"
Huwezi kufunga ikiwa Bado Kuna maswaliππKwakuwa hizo statement ulizitoa mwenyewe,..nadhani ni busara tuhitimishe kwamba mjadala wa gravity umefungwa kwa kukubaliana kwamba gravity haipo,....unless useme ulitoa hizo kauli ukiwa hujitambui au umelewa.
Sasa hizo formula ulizofundishwa si ndiyo zinazofanya uamini vitu ambavyo kwenye uhalisia hujawahi kuhisi vikikuvuta?Force ya ziada Gani tena? Ulishasema mass ni scalar na sio force, Sasa weight ni vector na ni force,
Ulielewa haya maelezo sidhani kama utakupa shida tena, weight ni force inayokuwa exerted by gravity kwenye Kila object,
Weight = massΓ g.
Labda unieleze weight unayoongelea ww ni ipi?
Hahh wewe kuna mitego ulijiingiza mwenyewe,.....na unajua kwamba hamna chochote nilichokusingizia.ππ Hapa nilisharekebisha na kumuelewesha ila umeamua kukaza sio makosa yangu.
Umequote wapi haya maelezo? Ila ndo ivo na haibadirishi uwepo wa Gravity.
Huwezi kufunga ikiwa Bado Kuna maswaliππ
Nimekuuliza au ww weight unayoongelea ww ni ipi? Hujajibu.Sasa hizo formula ulizofundishwa si ndiyo zinazofanya uamini vitu ambavyo kwenye uhalisia hujawahi kuhisi vikikuvuta?
Ndo tunaitumia katika maisha ya Kila siku, na ulishawahi kukiri application yake humu humu, na hata katika engineering zote hasa za majengo lazima itumike, Sasa ww ndumila kuwili kutokea huko ulikotoka unasemaje??Wewe umeamini tu haimaanishi kwamba hiyo formula ndiyo uhalisia,...
Hakuna formula hapo ni uthibitisho unaletwa kama jinsi tu ambavyo ww ukienda kupima DNA na mtoto wakoni sawa na mtu anaeamini viumbe wote wametokana na ancestor mmoja ataleta formulas na documents nyingi tu akiamini ipo hivyo,...kumbe ni nadharia tu.
Hili chaka mnapenda kukimbiliaππ, sa hata kama naongea nilivyofundishwa si uvipinge Kwa hoja???Shida nyingine ni kuamini kwamba kila ulichofundishwa ni cha kweli.......
Jibu maswali acha siasaππHahh wewe kuna mitego ulijiingiza mwenyewe,.....na unajua kwamba hamna chochote nilichokusingizia.
Kikawaida Binadamu tukivutwa huwa tunahisi,.. gravity haipo ndiyo maana hatuhisi tukivutwa.
hateeb10 Hili swali ni la muhimu sana kwakoLabda unieleze weight unayoongelea ww ni ipi?
hateeb10 mpaka Sasa naona kimya?Elezea Sasa Kwa mpangilio, jinsi weight na density zinafanya vitu vifall.
Hahhh kaka huu ni uthibitisho au Katuni?
Maelezo ya awali yalikuwa yanajitegemea, density ulielezea kama density tu ndo sabab, ulipokuja kwenye weight ukaelezea weight tu kama ndo sabab,Nimeelezea sana,...labda kama maelezo niliyotoa hukubaliani nayo.