Jua sio kama object nyingine ndiyo maana hatulioni actually likipungua size yake kutokana na magnification effect!,.. The sun remains the same size as it recedes into the distance due to a magnification effect caused by the intense rays of light passing through the strata of the atmolayer.Kwahy unakataa uhalisia?? Kwamba kitu kikienda mbali halionekani kidg??
Mimi nimetumia size kwenye swali langu na hakuna shida, kwahy jibu swali
Jibu swali langu naongelea size, size ikipungua automatically hata mwanga utakuwa mdogo
Jibu kuhusu size🤣🤣🤣🤣
Narudia,.Great circle route haithibitishi kwamba Dunia ni tufe,.. hiyo route hata kwenye flattened earth inawezekana kabisa,.. kama inatumika flat map kuonyesha route husika kipi kinachokufanya udhanie kwamba kwenye flat earth huwezi kuwa na Great circle route?😎😎😎😎
Exactly, ukiongelea great circle tu hapo tayari unaongelea sphere😃. Ndo maana nikasema hujui Geometry na hujawah kusoma au kujifunza chochote kuhusu Great circle
Nilikuuliza swali hukujibu, nakuuliza tena
Angalia picha chini👇, hiyo line yenye rangi nyekundu ndio great circle na yellow ni direct route(Rhumb line).
Sasa ukiangalia hapo ipi ni route fupi na ipi ni ndefu?
View attachment 3198419
Unakichwa kigumu sana, kwahy ww uli expect uone ndege zina move aje ndo ujue Dunia ni duara??
Umemkamata balaa, Mpaka sasa hivi kashachanganyikiwa maana maswali yamezidi uwezo wakehateeb10 still nipo naww mpk utoe majibu
Ndiyo mnavyodanganyana hivyo?Umemkamata balaa, Mpaka sasa hivi kashachanganyikiwa maana maswali yamezidi uwezo wake
Ila anaona aibu tu kukiri kuwa nadharia yake ni hovyo
We huoni kuwa umekamatwa ?Ndiyo mnavyodanganyana hivyo?
😁😁, How magnification effect works in this scenario???Jua sio kama object nyingine ndiyo maana hatulioni actually likipungua size yake kutokana na magnification effect!,.. The sun remains the same size as it recedes into the distance due to a magnification effect caused by the intense rays of light passing through the strata of the atmolayer.
Sasa great circle kwenye flat inatafta nini???😃😃.Narudia,.Great circle route haithibitishi kwamba Dunia ni tufe,.. hiyo route hata kwenye flattened earth inawezekana kabisa,..
Ngoja nikuelimishe!! Unapotaja Kila muda kuwa "mbona imetumika flat map" inamaana Kuna globe map?? Mara ya ngapi sasa nakwambia??kama inatumika flat map kuonyesha route husika kipi kinachokufanya udhanie kwamba kwenye flat earth huwezi kuwa na Great circle route?
Sasa ndio maana nakushangaa unaposema great circle kwenye flat😁😁Unaposema sijui Great circle route wala geometry unakua unachekesha,..kwenye Dunia hii ya Sayansi na teknolojia ukitaka kujua kuhusu kitu chochote ni sekunde tu labda iwe ni elimu ya siri haipo published.,..
Hata sielewi swali lako tuliza kichwaSasa kwa mfano Ndege ikiwa inatoka Greenland,. na Lengo ni kufika Lesotho,... Ndege hiyo itafikaje kwenye destination husika (Lesotho) ikiwa itafanya Horizontal movement instead of vertical movement kwenda below upande wa kusini?
Anakataa sijamkamata??😁😁 BasiWe huoni kuwa umekamatwa ?
Alafu si kuna clip nmekutumia hapo nmekwambia ujifunze na uanze kufanya chunguzi taratibu,
Au haupo tayari kufanya chunguzi ili ujitoe ujinga kichwani ?
Nilikuuliza according to wewe, Jua linazungukaje? Mbioooo🎶 by Alikiba🤣🤣
hateeb10 kwann hujibu hapa🤣🤣🤣SHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.
FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.
Okay!!😎
Just observe this👇
, View attachment 3191482
Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.
Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
Statement niliyoweka inajieleza vizuri kabisa,.. Labda kama una uelewa mdogo ndiyo itakupa shida kuelewa.😁😁, How magnification effect works in this scenario???
Hiyo hoja ya ship visibility nishajibu humu mara nyingi sana,...sasa unapouliza again and again unategemea nitakupa majibu tofauti?hateeb10 kwann hujibu hapa🤣🤣🤣
Unauliza swali badala ya kujibu swaliHiyo hoja ya ship visibility nishajibu humu mara nyingi sana,...sasa unapouliza again and again unategemea nitakupa majibu tofauti?
Ulisema curvature ipo everywhere,..nikakuuliza kama hapo ulipo pia kuna curvature?? hujajibu mpaka leo.
Wewe na yeye akili zenu sawa ndiyo maana unaona nimekamatwa,... mimi naona easy tu.We huoni kuwa umekamatwa ?
Alafu si kuna clip nmekutumia hapo nmekwambia ujifunze na uanze kufanya chunguzi taratibu,
Au haupo tayari kufanya chunguzi ili ujitoe ujinga kichwani ?
Jua sio kama object nyingine ndiyo maana hatulioni actually likipungua size yake kutokana na magnification effect!,.. The sun remains the same size as it recedes into the distance due to a magnification effect caused by the intense rays of light passing through the strata of the atmolayer.
Hilo swali nishajibu humu na wewe unajua,..muambie apitie posts zilizopitaUnauliza swali badala ya kujibu swali
Unaambiwa elezea sio uulize maswali,
Elezea hii ni jinsi gani inatokea kwa Dunia ambayo ni flat
Stick kwenye hoja iliyopo sasa hivi,Wewe na yeye akili zenu sawa ndiyo maana unaona nimekamatwa,... mimi naona easy tu.
Kumbuka huyo unaesema kanikamata,.. ndiyo alisema kwamba "Tokea azaliwe hajawahi kuhisi akivutwa na gravity....." lakini anaamini gravity ipo, ipo wapi hajui?
Kwahiyo kwa akili zako kila jibu ni sahihi ilimradi umeshajibu hata kama ulijibu kitu ambacho hakikueleweka ?Hilo swali nishajibu humu na wewe unajua,..muambie apitie posts zilizopita
kwanini,..🤣🤣🤣🤣🤣, ukicopy usicopy baadhi ya maneno kopi yote🤣🤣Magnification of the Sun at Sunset
The phenomenon of the Sun's apparent magnification or shrinking throughout the day is a common cause of confusion among round earthers trying to understand the Flat Earth Theory. This article serves as an introduction to the subject.wiki.tfes.org
hateeb10
kwanini tuachane nayo?Stick kwenye hoja iliyopo sasa hivi,
Achana na Gravity kwanza
Ndio kinafanya tusimalizane, Umeulizwa ujibu kuhusu ship visibility unarudi kwenye Gravity maana yako ni ipi haswa ?kwanini tuachane nayo?