SHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.
FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.
Okay!!😎
Just observe this👇
,
View attachment 3191482
Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.
Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni
ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain