Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
dini kazi yake kubwa ni kudumaza uwezo wa kufikiri. unanyimwa uwezo wa kutumia akili yako. mwandishi wa makala hii ni kasuku. ktk hoja yake ya dunia tambarare, ni upi unene wa hiyo dunia? mbona jua halichomoko na kutua ghafla? ajiongeze kielimu.
 
Kama dunia inazunguka kwanini kila cku naona nyota hizo hizo haibadiliki kwa zaidi ya miezi 5
 
Mzee kuna ndege za watalii na wanamichezo ya kwenye ice zinakwenda huko.. Usiwe mvivu.. Fuatilia privates plane zipo nyingi huko.. Kuna watalii wengi tu wanaenda huko south na North pole mzee..
 
Kama dunia inazunguka kwanini kila cku naona nyota hizo hizo haibadiliki kwa zaidi ya miezi 5
Na baada ya hiyo miezi mitano zinakwenda wapi? Unajua ni kwa nini kuna kipindi sayari flani zinakuwa zinaonekana kwa macho na wakati mwingine huzioni? Unajua ni kwa nini kuna kipindi jua linakuwa kali sana afu kuna wakati linakuwa la kawaida..?
 
Kwaiyo tusiyaamnini macho yetu maana kuna vitu tutakuwa tunaviona vya duara wakati sio vya duara ila macho yetu ndo ya duara.. Ok
 
Ukilewa Sayansi utadanganywa na binadamu wenzako na kufanywa kama ndondocha kwa kuamini vitu ambavyo unapandikizwa bila kutumia akili yako, ukitumia akili za binadamu wa kawaida kutafakari utagundua kuwa dini iko sahihi kabisa kuhusu Dunia yetu.
Eti wanasayansi waligundua kifaa cha Carbon_14 ambacho kimepima umri wa binadamu wa kwanza kuwa kaishi miaka zaidi ya milion 3 na asili yake ilikuwa ni sokwe.
 
Kama dunia inazunguka kwanini kila cku naona nyota hizo hizo haibadiliki kwa zaidi ya miezi 5
Ni mtu asiyetaka kutafakari kwa ndani zaidi ndo anaweza akamuona mleta mada ni muongo ila ukiamua ufungue akili zako utaona kuwa yupo sahihi kabisa.
 
thibitisha Dunia ni duara... take your time and research alafu ulete majibu
 
You did well, umetafuta materials etc hongera. But Mimi najiuliza..kwanini tunahangaika na kujua earth is flat or round. Then what????
 
You did well, umetafuta materials etc hongera. But Mimi najiuliza..kwanini tunahangaika na kujua earth is flat or round. Then what????
Kwasababu ya darasani ni tofauti sana na ya mazingira halisi, mfano darasani tunaambiwa ukitaka kujua dunia duara angalia mei ikwa inagokea mbali itanza kuonekana juu kwanza kiha yote coz ipo ktk cve ya dunia, lakini ktk mazingira halisi hyohyo meli inayolnekan juu tuu ikiwa mbali kma uttumia darubini unaiona yote sasa kwanini tusihoji uhalisia wake?
 
Mkuu amejitahidi kuipinga theory ya spherical earth ila hajatoa ushahidi wa flat earth
 
Wewe uliyefuatilia hebu nipe mwanga wa hili, jamaa amesema dunia ni tambarare na maji yamezuiliwa kwa mabonge makubwa ya barafu. Swali, mwisho wa hayo mabonge ya barafu ni wapi na baada ya hayo mabonge kuna nini!
Mabonge ya barafu, siku yakipigwa na jua yakayeyuka hapo ndo tutaisoma namba.
 
Th
That's the point....
 
Kwa mfano hizo barafu ambazo ndo ukingo wa dunia zikiyeyuka ukaendelea na safari mwisho wake utakuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…