Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Scenario kwenye pande zote (flat&round) zinafanana,.. ukiwa kwenye sphere kuna hatua ukifika lazima ubadili mwendo kwa mfano ukiwa una approach the curve, kumbuka tunaposema kitu kina curve maana yake previous surface before the curvature ilikua flat,.

so mwanzo utatoka na mwendo mnyoofu,..ila ukifika kwenye mkunjo huwezi ukaendelea na mwendo huo huo lazima na wewe uta bend down kufuata curvature,.
 
Mada haipo kwenye surface,.. mada ilikua inazungumzia mwisho wa object husika kwa ujumla wake... ukizungumzia surface basi hata ubao flat tutasema hauna mwisho cause unaweza ukauzunguka continously...
Kwani tulikuwa tunaongelea nini?? Si Dunia??
Lakini pia tunasema kuna curvature ila wewe tokea uzaliwe hujawahi kushuhudia curvature zaidi ya kwenye picha....
🙄🙄, unaweza vipi kuishuhudia curvature??? Kwamba ukienda kwenye point fulani au nchi fulan utaikuta curve??? Ndo maana nilikuuliza na hukunijibu "unaweza kunambia kwenye Mpira ni point Ipi Kuna curvature??" Au unaweza kunambia Mpira una mikunjo/ncha/pembe ngapi???
Hoja ya msingi ni kwamba objects zote flat & Round zina mwisho,..so unapodai uonyeshwe mwisho wa flat earth, usisahau pia kuonyesha mwisho wa round-earth.
Kwani wewe upo kwenye surface ya earth au ndani ya earth??? Labda tuanzie hapo😁
 
Scenario kwenye pande zote (flat&round) zinafanana,.. ukiwa kwenye sphere kuna hatua ukifika lazima ubadili mwendo
Sio kuna hatua😎, direction inabadirika muda wote na katika rate Ile ile mpk unazunguka sphere yote.
kwa mfano ukiwa una approach the curve, kumbuka tunaposema kitu kina curve maana yake previous surface before the curvature ilikua flat,.
Sio sahihi kusema previous part ilikuwa flat!! Kwenye perfect sphere hakuna flatness, all points kwenye hiyo sphere ni curvature.
so mwanzo utatoka na mwendo mnyoofu,..ila ukifika kwenye mkunjo huwezi ukaendelea na mwendo huo huo lazima na wewe uta bend down kufuata curvature,.
Haupo sahihi!!!
 
hateeb10 hapa kama hujapaona😁😁
 
Kwahiyo hatuwezi kushuhudia curvature? sawa,. kama ni hivyo ni kitu gani kinachofanya uamini curvature ya Dunia ipo?
 
Kwahiyo hatuwezi kushuhudia curvature? sawa,. kama ni hivyo ni kitu gani kinachofanya uamini curvature ya Dunia ipo?
Sio huwezi, huwez kuona curvature ikiwa upo kwenye hiyo curvature?? Itabidi utoke nje ya hicho kitu at reasonable distance Ili uweze kuona, mfano from space tunaweza kuona curvature ya Dunia.

Chukulia mfano Mpira unaona unacurvature Kwa sababu upo mbali nao ww haupo kwenye surface yake.

Do kukujibu; naamini kutokana na sababu kazaa ikiwepo hiyo ya picha kutoka space.
 
Mimi nipo kwenye surface,.
Sasa kama upo kwenye surface ya Dunia ndio maana hata kwenye mfano wangu nimeongelea surface, so surface ya Dunia is almost CONTINOUS bila kuwa na pembe yoyote, Wala hakuna ABRUPT CHANGE IN DIRECTION. Change in direction inakuwa smoothly and continous
 
sio surface ya sphere tu zipo shapes nyingi zenye surface ambayo ni continous including ubao flat na kadhalika.
Ubao flat sio continous!! Una segment nne kwahy ukitaka uzunguke huo ubao itakubidi umalize segment Moja ndio uingize nyingne, na hapo utakutana na pembe(either 90° n.k) na kutakuwa na abrupt change ya direction.

Halafu usijitoe akili, tukirudi kwenye mada kuu, kwani wewe unapodai Dunia ni flat unamaanisha hata pembeni na chini ya hiyo Dunia bapa Kuna watu au makazi au mazingira yoyote?? Kama sivyo!! Basi tunayo haki ya kukuuliza mwisho wa Dunia yako bapa!!
 
Nipo naww kwenye hili🤣🤣🤣
 
Bado hujatulia eeh???
Okay ipo hivi,.. kama nilivyokuambia mwanzo kwamba zipo scenarios ambazo curved path inaweza kuwa shorter than straight path,..kwa mfano ikitokea straight path ina mwiinuko ndani yake basi practically the curved path ambayo haina mwinuko wowote inakua ndiyo short path/option.

Tukija kwenye ishu ya Great circle route huwezi ukaitumia kama proof ya kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..
 
Wewe hujawahi kutoka nje ya the so called curvature,..that means umeambiwa tu kuna curvature,.,. picha ambazo zinakufanya uamini ni Computer generated,. kwanini usisubiri siku moja tupate teknolojia ambayo itawezesha ku zoom Dunia ili tuone jinsi shape na structure ilivyo huku tukishuhudia viumbe mbali mbali wanavyoishi kwenye Dunia tufe bila kuanguka away from it due to gravity?
 
Hapana,.. ukiwa unatembea kwenye round surface ukikutana na mkunjo (CURVE) lazima ufuate mkunjo huo,... na ukifuata mkunjo maana yake abrupt change in direction tayari imetokea!
 
hateeb10
Au tuongelee mfano wako w ubao, tu assume ndio Dunia unayoisemea(flat).

Naamini Kwa maelezo yako unasema sisi tunaishi juu ya huo ubao, including natural things zote( milima, mito, bahari, viumbe n.k) kwahy kwenye surface ya huo ubao,(Dunia) ndio tulipo na sio chini wala pembeni sivyo!!?? Sasa tunayo haki ya kukuuliza mwisho wake Kwa sababu kwenye Dunia yako Kuna point ambayo kuendelea mbele hakuna maisha, hakuna watu, hakuna natural things kama mito nfo maana mkasema mwisho mwa Dunia yenu Kuna ukuta wa barafu😁.

Ukija kwenye sphere(Dunia duara) Kila eneo kuzunguka Dunia Kuna natural things kama milima miti bahari n.k plus watu wanaishi so hakuna point utafikia useme Kuna ukomo.
 
"unaweza kunambia kwenye Mpira ni point Ipi Kuna curvature??" Au unaweza kunambia Mpira una mikunjo/ncha/pembe ngapi???
Mpira una mikunjo miwili,.based on point of reference ya observer,.


Kama ukiambiwa utazame mpira kisha utaje ina mikunjo mingapi, ukishindwa, basi wewe ni kilaza.
 
Kitu kishaandikwa mtandaoni kuna siri hapo tena???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…