The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ndio hakina mwisho, Kwa maana ya kwamba ukizunguka around it, hakuna mahali utafika utakwama kwamba huwezi kuendelea tena Bali utarudi kwenye point uliyilokuwepo awali na Bado unaweza kuzunguka hata Kwa awamu 1000+++,Kwahiyo kitu kikiwa sphere maana yake hakina mwisho.?
Unajua maana ya mwisho?
Mwisho ni nini?
lakin flat ukienda straight line bila kupinda, kwanza huwezi kurudi ulipokuwa(unless u turn back) na utafika mwisho ambapo huwezi kuendelea tena.